Fanfa
JF-Expert Member
- Sep 25, 2009
- 2,399
- 3,775
Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahakama zetu ili dunia ujue.
Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.
Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu maisha ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais ndani ya miaka miwili.
Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.
Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo. Wasipofanya hivo madaraka yao yako mashakani, utawang'oa kwenye mamlaka zao. Wewe ni tishio kubwa sana kwa watawala.
Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.
Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea. Mungu ataenda kufanya jambo watanzania watashangaa na hawataamini.