Kwa mwenye uwezo wa kuona beyond the Box, hii kesi baada ya uchaguzi kupita ni kama haitakuwepo. Shida ni Mh.Lissu anakazana atoke kabla ya uchaguzi na wanajua kwamba yeye Lissu hataki uchaguzi ufanyike bila reforms na aliahidi kukinukisha na hilo hawalitaki litokee.Wala hata hawana nia ya kumfunga kama unavyodhani..
Lengo ni kumuweka ndani uchaguzi upite tu.
Uko sahihiTundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahakama zetu ili dunia ujue.
Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.
Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu maisha ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais ndani ya miaka miwili.
Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.
Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo. Wasipofanya hivo madaraka yao yako mashakani, utawang'oa kwenye mamlaka zao. Wewe ni tishio kubwa sana kwa watawala.
Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.
Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea. Mungu ataenda kufanya jambo watanzania watashangaa na hawataamini.
Umenikumbusha case za Mh.Trump kule Amerika alizokuwa nazo kabla ya uchaguzi lakini hakukata tamaa bali alienda nao hivyo hivyo na kwasasa ndie Rais wa nchi.Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahakama zetu ili dunia ujue.
Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.
Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu maisha ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais ndani ya miaka miwili.
Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.
Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo. Wasipofanya hivo madaraka yao yako mashakani, utawang'oa kwenye mamlaka zao. Wewe ni tishio kubwa sana kwa watawala.
Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.
Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea. Mungu ataenda kufanya jambo watanzania watashangaa na hawataamini.
Hakuna cha kugomea kesi, tunataka mashahidi wote wa mh lissu wafike mahakamani, mmoja baada ya mwingine.Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahakama zetu ili dunia ujue.
Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.
Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu maisha ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais ndani ya miaka miwili.
Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.
Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo. Wasipofanya hivo madaraka yao yako mashakani, utawang'oa kwenye mamlaka zao. Wewe ni tishio kubwa sana kwa watawala.
Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.
Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea. Mungu ataenda kufanya jambo watanzania watashangaa na hawataamini.
Bora kesi za Trump zilikuwa na mashiko. Siyo hizi za kipuuzi puuzi tu. Pia majaji wa kule hawaendeshi na watawala.Umenikumbusha case za Mh.Trump kule Amerika alizokuwa nazo kabla ya uchaguzi lakini hakukata tamaa bali alienda nao hivyo hivyo na kwasasa ndie Rais wa nchi.
Hapa wanasheria watusaidie ,shaihidi asipofika mahakamani sheria inasemaje?Wanaweza wasifike mahakamani bali zinaletwa Video za AI.
Je ikitokea ukaleta vedio za Al na mahakama ikagundua what next kwa shahidiUshahidi wa video unakubalika mahakamani. Wa sauti ndo haukubaliki
Ni Taifa la watu wajinga. Wakubali kunyanyaswa na kakikundi kadogo tu kisa eti wao wana madaraka na silaha.UKIACHA MFUMO WA KISHENZI WA MAMLAKA ZA TANZANIA, TATIZO KUBWA ZAIDI NI RAIA WENYEWE WA TANZANIA. TUMEGUBIKWA NA UBINAFSI, HOFU NA UOGA WA KIJINGA KABISA. VYOTE HIVYO NDIO HAZINA KUU YA CCM. ULIMBUKENI NA UOGA WETU WA TZ.
Hapo itasaidia nini wakiandamana moyoni. Watawala wanajua hilo nintqifa la watu wajinga ndo maana wanafanya maovu yote hayo. Mtawafanua mini??Umma unaandamana moyoni unasikitika unanungāunika kwa wingi mungu atawapa jawabu soon, hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake
Watu gan? Watanzania š¤£Hautakuwa Uamuzi sahihi kwake. Kutokana na kuwepo kwa hali mbaya Sana ya 'mchafukoge' iliyogubika Mahakama katika Nchi hii kwa sasa, Uamuzi sahihi na wa HAKI kamwe hautaweza kupatikana kupitia kwenye hizi Mahakama za Kangaroo. Uamuzi wa HAKI kwa Sasa ni lazima upatikane nje ya Mahakama hizo.
Wakati njia halali za Watu kuweza kupita ili kuzifikia HAKI zao zilizodhulumiwa inapofungwa, basi Watu hao watalazimika kupita katika njia haramu ili waweze kuzifikia Haki zao.
Aidha, kadiri uovu na udhalimu vinaposhamiri na kuzidi kikomo katika Nchi, hofu ya kifo huondoka na Watu wataamua kutumia njia yoyote ile watakayoona inafaa ili kudai na kupigania HAKI zao.
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
By Martin Luther King Jr.
Naamini haitachukua muda mrefu sana mambo kama haya yatabakia kuwa historia.
Muda utaongea, let us wait and see.