Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

Mahakamaccm ni mali binafsi ya ccm kwa sasa kumpeleka Lisu kwenye chombo binafsi cha ibilisi wa ccm unategemea nini? Hakuna haki na mahakamaccm haifanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali inafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa ibilisi wa ccm
 
Hakimu kada wa ccm
Mawakili makada wa ccm
Mahakama mali ya ccm,kuna haki hapo?
 
Mbowe anatamani Lisu afie jela ili afanye mapinduzi arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba na haya yote yanayomkuta Lisu yalipangwa na kusukwa na Mbowe kisha akawashirikisha ibilisi wa ccm watekelezaji wa unyama mateso yote kwa lisu
Kwa nini mnapenda Sana kumzungumzia Mbowe kwenye suala hili?
Yaani kutokana na matendo ya huyo Mtu bado mna Imani kwamba Mbowe ni mpinzani wa kweli dhidi ya Chama Tawala?Kuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba Mtu huyo aidha ni Afisa Kipenyo au Afisa Kificho wa hao jamaa. Ni Mtu wao huyo. Don't waste your time in dealing with him!
 
It is an individual duty in fighting the War against injustices within the country.

Wajibu wa Mtu mmoja mmoja wa kujitolea katika kupinga na kupigana dhidi ya Udhalimu, ndio huzaa matunda ya kuweza kuuondosha udhalimu uliotamalaki katika Nchi yote kwa ujumla.

Barrack Obama wakati alipofanya ziara nchini Afrika Kusini na kisha kukutana ana kwa ana na Nelson Mandela, aliwahi kusema kwamba "the motives of only one person can move the world."
Huenda hunielewi vizuri anaposema kuhusu
1. Ubinafsi uliopindukia. Ukiwa mbinafsi daima utasema si ni yeye, si ni wao, mimi yananihusu nini. Huo ndo umma wa watanganyika. Watawala wanajua sana hilo na ndo silaha yao

2. Ujinga uliotopea. Taifa limejaa watu wajinga ni zaidi ya 90%. Haijalishi mtu ana masters, PhD au ni Prof. Wamejaa ujinga utadhani hawajaenda shule. Mstari unaowatenganisha wasomi wetu na wasio wasomi ni mwembamba sana. Ujinga uketamalaki kwenye taifa hili. Na watawala wanajua hilo, na hiyo no silaha yao.

3. Umasikini wa kifikra. Hii ni matokeo ya namba 1 na 2. Hapa napo ukikutana na Prof au PhD unaweza ukastaajabu ya Mussa. Kuanzia watawala, watawalia wote ni makanyanga. Watanganyika walio wengi hawajui ni kwa namna gani wanaweza kulikomboa taifa lao kutoka kwa watawala wa hovyo. Ndiyo maana leo hii taifa limejaa machawa na makunguni. Ni kujipendekeza mwanzo mwisho ili upate unachotaka hata kama ni haki yako. Watawala wanalijua sana hili na ndiyo ngao yao.

4. Taifa liwejawa na watawala wapumbavu, waliolewa madaraka yao kuanzia chini hadi juu. Wanajiona kuwa ni mungu watu. Waliojali haki za wengine, wanaojali matumbo yao etc.
 
Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.

Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahakama zetu ili dunia ujue.

Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.

Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu maisha ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais ndani ya miaka miwili.

Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.

Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo. Wasipofanya hivo madaraka yao yako mashakani, utawang'oa kwenye mamlaka zao. Wewe ni tishio kubwa sana kwa watawala.

Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.

Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea. Mungu ataenda kufanya jambo watanzania watashangaa na hawataamini.
Lisu mwenyewe anajua kosa lake ndiomana kwasasa tumbo joto kitambi kitapotea son tu .

Kuwekwa mashahidi wa siri ndicho kinachomtisha vibaya mana kaongea na wengi kapanga na wengi mipango michafu kumbe wenzie wanamchota!!!

mkiambiwa hii nchi ngumu
sana masikio mnaziba pamba.!!

Sasa tuwe tunachunguza kwa macho na kile kitambi tuone kitafika October 1
 
Lisu mwenyewe anajua kosa lake ndiomana kwasasa tumbo joto kitambi kitapotea son tu .

Kuwekwa mashahidi wa siri ndicho kinachomtisha vibaya mana kaongea na wengi kapanga na wengi mipango michafu kumbe wenzie wanamchota!!!

mkiambiwa hii nchi ngumu
sana masikio mnaziba pamba.!!

Sasa tuwe tunachunguza kwa macho na kile kitambi tuone kitafika October 1
Kama ushahidi upo kwa nini usiwekwe wazi.

Kwa nini wawe mashahidi wa gizani. ????

Kwa nini mahakama iendeshwe gizani???

Nini kinaogopwa????
 
Mimi ni mwana CCM lakini hili la leo limeniumiza sana. Kwa nini wanamfanyia hila za wazi kabisa? Serikali inaogopa nini hata kesi ingerushhwa live ?
Serikali sio inaogopa elewa ila mashahidi wanatakiwa wasijulikane kwasababu ya usalama wao na familia zao kesi kubwa hii sio kesi za kuibiana kuku!!!

mashahidi pia wanatakiwa waendelee na majukum yao uko walipokuwa kwaiyo kuwaweka wazi ni kutokuwatendea haki mashahidi.
 
Unategemea mahakama za simu moja??
At least mahakama ya rufaa majaji wapo huru...Labda waamue kujikengeusha tu.
Uhuru pekee ambao hawana ni usalama wa maisha yao kama ambavyo kila raia wa Tz hana.
 
Huu ushauri wa kijinga ulitolewa Twitter na wewe ukaubeba kutuletea bila kuuchuja..!!

Awakubalie ujinga?
Hapo akaze ili hata wakimuhukumu iwe wazi tuna kangaroo court..!!
 
Kama ushahidi upo kwa nini usiwekwe wazi.

Kwa nini wawe mashahidi wa gizani. ????

Kwa nini mahakama iendeshwe gizani???

Nini kinaogopwa????
Kwenye maisha yako umewai kusikia kesi ya uhaini kwenye mahakama yoyote Duniani mashahidi wake wakawekwa wazi¿¿¿¿

ata pale ICC kuna kesi mashahidi wanafichwa na ile ndio mahakama ya Kimataifa kwaiyo wewe ndio ujui lkn ipo ivyo ndugu yangu.

Wapinzani wanatapatapa lkn jambo sio geni kimataifa..
 
Pale hakuna kesi ya Uhaini, maana mashahidi wenyewe ni mchongo mtakarifu
Kesi ipo ukumsikia Lisu mwenyewe akidai kaiyona hofu yake tayali shahidi wa siri na kesi ya siri ndio kesi za uhaini zinavyoendeshwa so kesi ipo.
 
Hakimu kada wa ccm
Mawakili makada wa ccm
Mahakama mali ya ccm,kuna haki hapo?
Ni sawa lkn ww upo huru ikiwa ndio ivyo muhimu kuacha matendo ya kuvunja Sheria kutukana watu ovyo tena Bure Bure mana ulipwi kumdhalilisha mtu lkn unajikuta matatani pekeyako. Tufuate Sheria ndio dawa ya kuepukana na Mahakama unazo ziponda
 
At least mahakama ya rufaa majaji wapo huru...Labda waamue kujikengeusha tu.
Uhuru pekee ambao hawana ni usalama wa maisha yao kama ambavyo kila raia wa Tz hana.
Tatizo ni kujipendekeza ndo kunaleta matatizo yote haya. Hata mahakama za Rufani hazina uhuru huo kama unavyodhani.
 
Back
Top Bottom