Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahama zetu ili dunia ujue.
Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.
Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais.
Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.
Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo.
Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.
Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea.
unamtoa mbuzi wa sadaka,Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahakama zetu ili dunia ujue.
Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.
Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu maisha ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais ndani ya miaka miwili.
Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.
Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo. Wasipofanya hivo madaraka yao yako mashakani, utawang'oa kwenye mamlaka zao. Wewe ni tishio kubwa sana kwa watawala.
Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.
Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea. Mungu ataenda kufanya jambo watanzania watashangaa na hawataamini.
Itatuchukua miaka 200 kufikia unachokisema. Kwa sasa Umma uko kwenye usingizi Tororoo ule wa kukoroma kabisa. Na sababu ni hiziHautakuwa Uamuzi sahihi kwake. Kutokana na kuwepo kwa hali mbaya Sana ya 'mchafukoge' iliyogubika Mahakama katika Nchi hii kwa sasa, Uamuzi sahihi na wa HAKI kamwe hautaweza kupatikana kupitia kwenye hizi Mahakama za Kangaroo. Uamuzi wa HAKI kwa Sasa ni lazima utapatikana nje ya Mahakama hizo.
Wakati njia halali za Watu kuweza kupita ili kuzifikia HAKI zao zilizodhulumiwa inapofungwa, basi Watu hao watalazimika kupita katika njia haramu ili waweze kuzifikia Haki zao.
Aidha, kadiri uovu na udhalimu vinaposhamiri na kuzidi kikomo katika Nchi, hofu ya kifo huondoka na Watu wataamua kutumia njia yoyote ile watakayoona inafaa ili kudai na kupigania HAKI zao.
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
By Martin Luther King Jr.
Naamini haitachukua muda mrefu sana mambo kama haya yatabakia kuwa historia.
Muda utaongea, let us wait and see.
Hakuna kitu kama hicho bwana..Umeona lakini muhtasari wa mashahidi??Trust me, nia yao ni kumfunga ili akose sifa za kugombea. Ni threat kwa watawala huyu kiumbe
Wale waliochanga mapesa mengi wanamwogopa sana Lissu akishika madaraka atawanyoosha maana sheria zita apply bila mapindo.Naunga hoja.wataleta ushahidi wa AI ili wambane nakukutwa na hatia then bda ya hapo watamzuia asifanye shuguli zozote za kisiasa na hapo yale majizi yaliyoweka sherehe mlimani city watakuwa huru kutafuna na kuuza nch kiholela.uwe ccm cdm act wote tutapigwa mnada kwamana hawana hofu tena
Wanataka maovu yao yafanyike gizani. Lissu alishasema. Last time Lissu alitoa hoja nzito sana. Lakini wapi. Umeona hakimu alichofanya leo. Maagizo toka juu.Mimi ni mwana CCM lakini hili la leo limeniumiza sana. Kwa nini wanamfanyia hila za wazi kabisa? Serikali inaogopa nini hata kesi ingerushhwa live ?
Si unafahamu kwamba kesi inaweza endelea hata kama mtuhumiwa hayupo?Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: