Umma alishaamua kumtoa sadaka ndo maana hakuna reaction kutoka kwa umma.unamtoa mbuzi wa sadaka,
kwa serikali hii na mahakama hizi, they cant wait for that to happen
Hawatamnyonga kwa sababu Kuna matawi ya mti uyapendi lakini ukiyakata yanaangukia nyumba.Akiwalegezea watamnyonga kweupee iwe tishio kwa wengine.
Viongozi wetu wanautaka umungu mtu
kifupi kumkata ngebe,Wala hata hawana nia ya kumfunga kama unavyodhani..
Lengo ni kumuweka ndani uchaguzi upite tu.
saddam hussain alifanya hivyohivyo walinyonga, mdanganyeni hii sio mahakama ya pilato kuwa itashinikizwa na umati wa watuNamimi najiwazia hivyo hivyo kwani akigoma kutetewa na kujitetea waamue wenyewe...imeonekana hakuna haki dhahiri...kuna haja Gani ya kupoteza nguvu na muda kujibu mambo yao ya kipumbavu.
Ninachokiona, lisu akitolewa wakati huu...atakuwa maarufu sana na atakuwa anazungumzwa yeye tu Hadi pale uchaguzi utakapoisha..tutasahau kuwa nchi Ina viongozi wakuu...viongozi wa nchi watazidiwa Kila kitu kwa Kila mahali na huyu Bwana..na akiitisha mikutano ndio itakuwa balaa zaidi...uongozi wa nchi una hofu hapa...ndio maana wanajaribu kumsitiri bimkubwa asidhalaulike zaidi kwa muda mrefu
Pili naona baada ya uchaguzi kupita, atakayepewa nchi kuiongoza atapata tabu sana..maana huko duniani wanaona kinachoendelea mahakamani..wanajionea wazi haki haitendeki, wale wawekezaji waliokuwa na lengo la kuja kuwekeza nchi wajipange vizuri...maana wakija kuikosea serikali kesi zikiwa mahakamani wajue nao watakuwa wanahukumiwa hivyo...ndio picha inayoenda duniani huko...wawekezaji wengi wataogopa sana hii nchi....yaani tumetupa taulo tupo uchi wanatucheka tu tumeshindwa kujifanyia usafi hekalu letu...
Ni aibu, lisu angekubali kujitoa zaidi awe sadaka...asitetewe na yeyote na asijiteteee ili dhamila yao itimie yaishe...tumeaibika taifa Zima...tunaonekana matahila wote
Ila Mbowe hajamshitaki Lissu bali ni watawala. Hapo tutamsingizia Mbowe bure.Naunga mkono hoja.
Na Mbowe kaamua kutokuweka uzito wa kisiasa kusaidia mwenzie kisa ru alimshinda katika uchaguzi.
Sidhani kama upo sahihi, naamini labda huenda wewe binafsi katika maisha yako ya hapa duniani kamwe haujawahi kukumbana na dhahama za udhalimu na dhuluma za kiutawala za kuwahi kutotendewa HAKI na Watawala. Endapo kama ungewahi nadhani usingeweza kuandika hicho ulichoandika hapa. Tambua tu ya kwamba Wapo Watu wengi sana katika Nchi hii wameshawahi kuumizwa vibaya sana, Wananchi hao wanaishi huku wamebeba maumivu makubwa na makali Sana mioyoni mwao. Watu hao wamekuwa wakiungulika ndani kwa ndani kwenye mioyo yao, na hawana mahali pa kwenda ili kuweza kupunguza maumivu yao waliyonayo Wala hakuna njia yoyote ile ya kuweza kupunguza maumivu hayo waliyonayo.Itatuchukua miaka 200 kufikia unachokisema. Kwa sasa Umma uko kwenye usingizi Tororoo ule wa kukoroma kabisa. Na sababu ni hizi
1. Ubinafsi uliopindukia
2. Ujinga uliopindukia
3. Umasikini wa kifikra uliopindukia
4. Taifa linaongozwa na wapu........ vu
Mahakama ni muhimili tofauti unaojitegemea usiite mahakama serekaliMimi ni mwana CCM lakini hili la leo limeniumiza sana. Kwa nini wanamfanyia hila za wazi kabisa? Serikali inaogopa nini hata kesi ingerushhwa live ?
Kungekuwa na reaction tangu mwanzo kutoka kwa umma wangekuwa wameshamwachia siku nyingi sana.
Nisome vizuri. Usikurupuke.Huo ushauri unaompeleka Lissu kunyongwa unaoutoa, laiti kama ungekua na ujasiri hata robo wa wewe kuutekeleza sahivi ungekua upo barabarani unaandamana kwaajili yake, ila nyumbu umejificha nyuma ya keyboard unaandika ujinga
Kwa tulikofikia ..amejitoa kwa yote..angemaliza tu...watakachoamua waamue ila watanzania wote wanaelewa na Dunia inaelewa. Nguvu ya kujua hii ndio ushindi wenyewesaddam hussain alifanya hivyohivyo walinyonga, mdanganyeni hii sio mahakama ya pilato kuwa itashinikizwa na umati wa watu
Ushauri ulioutoa ni ujinga mtupuNisome vizuri. Usikurupuke.
Mahakamaccm haijitegemei ni Tawi la ibilisi wa ccm na haifanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali inafanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka ccmMahakama ni muhimili tofauti unaojitegemea usiite mahakama serekali
Wameshaamua sasa utafanyaje. Mahakama ni yao. Bora awaachie watoe hukumu yao katikati ya uchaguzi. Badala ya kuwachekewesha kutoa maamuzi ambayo tayari wanayo. Dunia yote imeangazia Tanzania.saddam hussain alifanya hivyohivyo walinyonga, mdanganyeni hii sio mahakama ya pilato kuwa itashinikizwa na umati wa watu