sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,935
Lisu agome kula tu siku ya nne watatimiza hakiTundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu kuonyesha kuwa hakuna haki kwenye mahakama zetu ili dunia ujue.
Tegemea kuletewa mashahidi wa AI, na hata ushahidi wa video za AI mahakamani. Technology imekuwa sana.
Nina uhakika na jambo moja tu watakuhukumu maisha ila hawatakunyonga. Utapata msamaha wa Rais ndani ya miaka miwili.
Wakifanya hivo uachie umma utaamua. Lengo lao ni moja tu wanataka kukuhukumu na baadae upate msamaha wa Rais ili kukuondolea sifa za kugombea madaraka ya kisiasa.
Kwenye lengo lao hata ufanyaje watalitimiza tu wameshaamua kufanya hivo. Wasipofanya hivo madaraka yao yako mashakani, utawang'oa kwenye mamlaka zao. Wewe ni tishio kubwa sana kwa watawala.
Kama umma umeamua kukuterekeza na umeshindwa kufanya kinachotakiwa ili kutetea haki katika taifa hili achana nao kuwahangaikia na kuendelea kuwatetea.
Ni mungu tu atafanya jambo kwa watesi wako wala siyo umma unaoutegemea. Mungu ataenda kufanya jambo watanzania watashangaa na hawataamini.
Dawa ya huyo hakimu ibilisi na hao Mawakili wa ccm mashetani wakubwa ni kuwasomea Albadiri kubwa na visomo vingi mungu aamue haki itendekeKwa tulikofikia ..amejitoa kwa yote..angemaliza tu...watakachoamua waamue ila watanzania wote wanaelewa na Dunia inaelewa. Nguvu ya kujua hii ndio ushindi wenyewe
Nyie washamba wa mitandao AI itafanya nini kwenye hiyo kesi wahusika wote wapo mahakamani.ushahidi wa AI
Hakimu asomewe Albadiri kubwa na Uzuri mashahidi wa mchongo wavaa vinyago kuficha sura wamejulikana wote watasomewa Albadiri kubwa zaidiKuna comment humu nazisoma kwa hasira sana asee
Watu mnawezaje kuwa wakatili kiasi hiki?
Well said and narrated.Namimi najiwazia hivyo hivyo kwani akigoma kutetewa na kujitetea waamue wenyewe...imeonekana hakuna haki dhahiri...kuna haja Gani ya kupoteza nguvu na muda kujibu mambo yao ya kipumbavu.
Ninachokiona, lisu akitolewa wakati huu...atakuwa maarufu sana na atakuwa anazungumzwa yeye tu Hadi pale uchaguzi utakapoisha..tutasahau kuwa nchi Ina viongozi wakuu...viongozi wa nchi watazidiwa Kila kitu kwa Kila mahali na huyu Bwana..na akiitisha mikutano ndio itakuwa balaa zaidi...uongozi wa nchi una hofu hapa...ndio maana wanajaribu kumsitiri bimkubwa asidhalaulike zaidi kwa muda mrefu
Pili naona baada ya uchaguzi kupita, atakayepewa nchi kuiongoza atapata tabu sana..maana huko duniani wanaona kinachoendelea mahakamani..wanajionea wazi haki haitendeki, wale wawekezaji waliokuwa na lengo la kuja kuwekeza nchi wajipange vizuri...maana wakija kuikosea serikali kesi zikiwa mahakamani wajue nao watakuwa wanahukumiwa hivyo...ndio picha inayoenda duniani huko...wawekezaji wengi wataogopa sana hii nchi....yaani tumetupa taulo tupo uchi wanatucheka tu tumeshindwa kujifanyia usafi hekalu letu...
Ni aibu, lisu angekubali kujitoa zaidi awe sadaka...asitetewe na yeyote na asijiteteee ili dhamila yao itimie yaishe...tumeaibika taifa Zima...tunaonekana matahila wote
Pia awataje mashahidi wa Uongo ambao sasa wamejulikana wote wakiongozwa na kileo mrema Yericko Nyerere na Salum mwalimuLisu agome kula tu siku ya nne watatimiza haki
Umma unaandamana moyoni unasikitika unanung’unika kwa wingi mungu atawapa jawabu soon, hakuna mabaya yasiyo na mwisho wakeUmma alishaamua kumtoa sadaka ndo maana hakuna reaction kutoka kwa umma.
Watawala walishajua wana deal na umma wa aina gani. Watafanya chochote wanachotaka and nothing will happen from the Public.
ibilisi wa ccm hutumia Polisiccm kuwatisha umma lakini umma sasa unalia na mungu matokeo watayaona tu, walikuwepo akina Bokasa mabutu makaburi, iddy Amin Dada, Elibashiri madikiteta hatari leo hii wapo wapi? Mwisho wa ubaya ni Aibu kubwaUKIACHA MFUMO WA KISHENZI WA MAMLAKA ZA TANZANIA, TATIZO KUBWA ZAIDI NI RAIA WENYEWE WA TANZANIA. TUMEGUBIKWA NA UBINAFSI, HOFU NA UOGA WA KIJINGA KABISA. VYOTE HIVYO NDIO HAZINA KUU YA CCM. ULIMBUKENI NA UOGA WETU WA TZ.
UKIACHA MFUMO WA KISHENZI WA MAMLAKA ZA TANZANIA, TATIZO KUBWA ZAIDI NI RAIA WENYEWE WA TANZANIA. TUMEGUBIKWA NA UBINAFSI, HOFU NA UOGA WA KIJINGA KABISA. VYOTE HIVYO NDIO HAZINA KUU YA CCM. ULIMBUKENI NA UOGA WETU WA TZ.
Hoja siyo kupata maumivu na kuzizima kimya kimya. Hoja yangu ni reaction ya umma. Sasa kama watu wanauawa kila siku, wanatekwa na kusingizia kesi za kipumbavu na uchafu mwingi unaoendelea lakini umma uko kimya, ukiachilia wachache wanalalamika ambao hata 1% ya population Hawafikii.Sidhani kama upo sahihi, naamini labda huenda wewe binafsi katika maisha yako ya hapa duniani kamwe haujawahi kukumbana na dhahama za udhalimu na dhuluma za kiutawala za kuwahi kutotendewa HAKI na Watawala. Endapo kama ungewahi nadhani usingeweza kuandika hicho ulichoandika hapa. Tambua tu ya kwamba Wapo Watu wengi sana katika Nchi hii wameshawahi kuumizwa vibaya sana, Wananchi hao wanaishi huku wamebeba maumivu makubwa na makali Sana mioyoni mwao. Watu hao wamekuwa wakiungulika ndani kwa ndani kwenye mioyo yao, na hawana mahali pa kwenda ili kuweza kupunguza maumivu yao waliyonayo Wala hakuna njia yoyote ile ya kuweza kupunguza maumivu hayo waliyonayo.
Kwa taarifa yako, yule marehemu Hamza Mohammed wa tukio la pale Daraja la Sealander Dsm kamwe hakuwahi kuugua kichaa katika enzi za uhai wake! Endapo kama huyo marehemu Hamza Mohammed angeamua kukaa kimya Kama Watu wengine ambao wamewahi kufanyiwa udhalimu mbaya wa namna ile, badi naamini kwamba hadi leo hii mtu huyo angekuwa bado yupo hai uraiani huku akiendelea kuishi maisha yake yaliyojaa maumivu tele kwenye moyo wake kutokana na kitendo hicho kiovu alivyofanyiwa na wale Watu aliopambana nao pale kwenye Daraja la Sealander. Aidha, hata sisi Wananchi wa kawaida tusingeweza kujua kwamba mtu huyo amewahi kufanyiwa udhalimu mbaya Sana wa namna hiyo.
Wewe mbweha sisi tupo hapa hapa mahakamaccm yenu ya kishetani tunawaangalia jinsi mnavyofanya unyama wenu kishamba shamba lakini mungu atawaumbua, wewe ndiyo mjinga kushupalia kesi ya uonevu mkubwaNyie washamba wa mitandao AI itafanya nini kwenye hiyo kesi wahusika wote wapo mahakamani.
Acheni ujinga nyinyi madomo chaijaba
Mashahidi feki hewa wa mchongo ambaoewataficha sura ni Yericko Nyerere, Salum mwalimu, mrema Kileo na baadhi ya PolisiccmPale hakuna kesi ya Uhaini, maana mashahidi wenyewe ni mchongo mtakarifu
Uhuru wa kuongea sasa haupo pia chadema wamezuiwa kufanya mikutano baada ya mbowe kuwaundia zengwe chini ya uvunguTuongea sana vitendo sifuri hata watawala wanajua hilo kama kweli tunataka mageuzi tufanye kwa vitendo sasa.
Hoja siyo kupata maumivu na kuzizima kimya kimya. Hoja yangu ni reaction ya umma. Sasa kama watu wanauawa kila siku, wanatekwa na kusingizia kesi za kipumbavu na uchafu mwingi unaoendelea lakini umma uko kimya, ukiachilia wachache wanalalamika ambao hata 1% ya population Hawafikii.
Elewa hoja nne nilizozitaja hapo juu ambazo ndo vikwazo vikuu kwa watanganyika.
Maovu katika nchi hayaondoki bila nguvu ya umma. Kiviondoa hivo vigingi it will take 200 years.
kwa mtu yoyote mwelevu anajua hakuna kesi ila watafungua.Pale hakuna kesi ya Uhaini, maana mashahidi wenyewe ni mchongo mtakarifu