Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

Wala hata hawana nia ya kumfunga kama unavyodhani..
Lengo ni kumuweka ndani uchaguzi upite tu.
Kwa mwenye uwezo wa kuona beyond the Box, hii kesi baada ya uchaguzi kupita ni kama haitakuwepo. Shida ni Mh.Lissu anakazana atoke kabla ya uchaguzi na wanajua kwamba yeye Lissu hataki uchaguzi ufanyike bila reforms na aliahidi kukinukisha na hilo hawalitaki litokee.
 
Uko sahihi
 
Umenikumbusha case za Mh.Trump kule Amerika alizokuwa nazo kabla ya uchaguzi lakini hakukata tamaa bali alienda nao hivyo hivyo na kwasasa ndie Rais wa nchi.
 
Hakuna cha kugomea kesi, tunataka mashahidi wote wa mh lissu wafike mahakamani, mmoja baada ya mwingine.

Hii kesi hii yajayo yatashangaza
 
Awaambie tu anaachana na siasa za kuwapigania wasio tayari kujipigania na ameamua kujikita kwenye ujasiriamali. Hakuna haja ya kufungwa.
 
Umenikumbusha case za Mh.Trump kule Amerika alizokuwa nazo kabla ya uchaguzi lakini hakukata tamaa bali alienda nao hivyo hivyo na kwasasa ndie Rais wa nchi.
Bora kesi za Trump zilikuwa na mashiko. Siyo hizi za kipuuzi puuzi tu. Pia majaji wa kule hawaendeshi na watawala.
 
Hakuna cha kugomea kesi, tunataka mashahidi wote wa mh lissu wafike mahakamani, mmoja baada ya mwingine.

Hii kesi hii yajayo yatashangaza
Wanaweza wasifike mahakamani bali zinaletwa Video za AI.
 
UKIACHA MFUMO WA KISHENZI WA MAMLAKA ZA TANZANIA, TATIZO KUBWA ZAIDI NI RAIA WENYEWE WA TANZANIA. TUMEGUBIKWA NA UBINAFSI, HOFU NA UOGA WA KIJINGA KABISA. VYOTE HIVYO NDIO HAZINA KUU YA CCM. ULIMBUKENI NA UOGA WETU WA TZ.
Ni Taifa la watu wajinga. Wakubali kunyanyaswa na kakikundi kadogo tu kisa eti wao wana madaraka na silaha.
 
Umma unaandamana moyoni unasikitika unanung’unika kwa wingi mungu atawapa jawabu soon, hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake
Hapo itasaidia nini wakiandamana moyoni. Watawala wanajua hilo nintqifa la watu wajinga ndo maana wanafanya maovu yote hayo. Mtawafanua mini??
 
Mkisema hadi uchaguzi upite ndio watamuachia, kwani uchaguzi una maana gani kama hauna upinzani halisi?
 
Mkisema hadi uchaguzi upite ndio watamuachia, kwani uchaguzi una maana gani kama hauna upinzani halisi?
Wanatumia makalio kufikiri. Lakini.mihimu wanamwogopa sana Lissu. Uchaguzi wa huru na Haki saa 2 asubuhi anawang'oa.
 
Watu gan? Watanzania 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…