Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Huyo kijana bado anajitafutaKuna tatizo gani mtoa mada kutoa angalizo? Kama muhalifu mwenyewe anasema mna michezo ya sumu, Lisu ni nani asipewe tahadhari? Au ww ndio uko kitengo Cha kupakaa sumu Nini?
Waandaji wa kipindi hasa Gerald Hando walikurupuka kualika mtu kwenye kipindi bila kuwajuza wenye media…hii ndio shida Huyu Hando atawaponza sana …nafikiri atasimamishwa tena maana ana gundu sana😂😂😂View attachment 2896938
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo
Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .
Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?
Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .
Naomba kuwasilisha .
Kuna kila daliliWaandaji wa kipindi hasa Gerald Hando walikurupuka kualika mtu kwenye kipindi bila kuwajuza wenye media…hii ndio shida Huyu Hando atawaponza sana …nafikiri atasimamishwa tena maana ana gundu sana😂😂😂
Si akahijiwe na Tanzania Daima ?View attachment 2896938
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo
Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .
Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?
Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .
Naomba kuwasilisha .
Mmnapoambiwa kuwa mzee Mbowe anapeleka wapi ruzuku mnaanza kupiga mayowe,imagine chama kina zaidi ya miaka thelathini hakina hata gazeti ,hawa ndio wanataka eti kupewa nchi ?jamani watanzania sio wajinga eti🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hii tabia imekuwepo kwa media house nyingi, hao WASAFI sio wa kwanza, na ninaamini hawatakuwa wa mwisho, so kwa ushauri wako kuna iwezekano wa Lissu kuja kuzigomea media nyingine mbele ya safari, ikiwa hivyo what's a way forward?!
Chadema waifanye kazi ya kutoa taarifa zao wenyewe kupitia online outlets, zaidi iwe mitandaoni, kuendelea kulalamika kuchezewa rafu na hao WASAFI au wengineo ni kuwakuza tu bila sababu, interviews zimeshakuwepo nyingi na zitakuwepo tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Na ukasikiliza kama mtu aliye hai ukaielewa kabisa sababu hiyo iliyoyolewa?Mawazo mgando.
Kunasababu zimeshatolewa maelezo wewe unakuja na ngojera zako
Bwashee kuna tofauti kubwa Kati ya kutumia Media zako kutoa taarifa na Kualikwa na Independent media KuhojiwaHii tabia imekuwepo kwa media house nyingi, hao WASAFI sio wa kwanza, na ninaamini hawatakuwa wa mwisho, so kwa ushauri wako kuna iwezekano wa Lissu kuja kuzigomea media nyingine mbele ya safari, ikiwa hivyo what's a way forward?!
Chadema waifanye kazi ya kutoa taarifa zao wenyewe kupitia online outlets, zaidi iwe mitandaoni, kuendelea kulalamika kuchezewa rafu na hao WASAFI au wengineo ni kuwakuza tu bila sababu, interviews zimeshakuwepo nyingi na zitakuwepo tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Aliyekudanganya amekuwezaMmnapoambiwa kuwa mzee Mbowe anapeleka wapi ruzuku mnaanza kupiga mayowe,imagine chama kina zaidi ya miaka thelathini hakina hata gazeti ,hawa ndio wanataka eti kupewa nchi ?jamani watanzania sio wajinga eti🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kwa hiyo wewe ndio utaishi daima ,huu ujinga wa kuombea watu vifo hawa kenge wa cdm wameurithi toka kwa LemaWasafi kumbe takataka..na huyo alie juu mwambieni kuna yule alie juu zaidi mawinguni...huyo ndio kiboko ya binadamu wote
Eti maaelekezo kutoka juu..hahaha bullshit
Kwa hiyo cdm haamini katika kumilika media zake ,mtaendelea kulilia hadi mwisho wa dunia walaiAliyekudanganya amekuweza
Ingekuwa ni takataka huyu mwendawazimu wenu angetaka wamhoji ?kumbe mpuuzi Lissu alikuwa akahoniwe na takataka?Wasafi kumbe takataka..na huyo alie juu mwambieni kuna yule alie juu zaidi mawinguni...huyo ndio kiboko ya binadamu wote
Eti maaelekezo kutoka juu..hahaha bullshit
NIMEONAUngemtambua mleta mada kwahza hata usingejisumbua, kila siku huyo hutupatia habari zisizo na maana kama hivyo!
Sasa kama hizi media za ndani zinaogopa wafanyeje? au ndio wawalazimishe kama Lissu alivyogoma kuondoka hapo ofisini kwa WASAFI mpaka wamwambie nani kawatuma kuzuia interview yake?Bwashee kuna tofauti kubwa Kati ya kutumia Media zako kutoa taarifa na Kualikwa na Independent media Kuhojiwa
Pale Juu umefafanua vizuri
Mkapa alipohojiwa na Hard Talk BBC alisikilizwa na Dunia kadhalika huyu huyu TAL
Dawa ni kutoisikiliza na kuotazama tena WCB.View attachment 2896938
Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo
Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .
Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?
Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .
Naomba kuwasilisha .
Acha kudandia mambo...Kwa hiyo wewe ndio utaishi daima ,huu ujinga wa kuombea watu vifo hawa kenge wa cdm wameurithi toka kwa Lema