GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kiungwana kabisa nawashauri na kuwaombeni kuanzia sasa wana CHADEMA wote wekezeni mno katika Kuzisoma Nyendo za Viongozi wenu Waandamizi ili msije mkawa ama mnadanganywa au mnatumika kama Mitaji yao ya kuwa Maarufu Kitaifa na Kimataifa.
Yaani Mtu Mmoja kafanya Upuuzi wake tokea Mwezi Septemba na baada ya kujua ameyakoroga kama si kuyakanyaga akaanza kuhamisha Familia yake na alipokuwa anataka Kutorokea Kenya aende Dubai akajua Watu wa 'Nyakoro' wanamlia 'timing' wamkamate na Kuficha 'udhaifu' wake akaona aje na Ajenda ya Katiba, atengeneze 'Presha' kwa Wafuasi ili akikamatwa ionekane ni kutokana na Kudai Katiba.
Wana CHADEMA punguzeni na kataeni kuendelea kufanywa Mitaji ya kiumaarufu na kimkakati ya baadhi ya Viongozi wenu Waandamizi huku Chama chenu kikizidi kupoteza Dira yake na kuhamishia Siasa zenu barabarani, Gerezani Segerea na katika 'Corridors' za Mahakama ya Kisutu.
Najua kwa Ukweli wangu huu Mchungu kwenu mtakuja na kila dhihaka na Matusi Kwangu kwakuwa ni mwana CCM (niliyejiweka wazi JamiiForums) ila nina uhakika kuna Jambo jema sana hapa GENTAMYCINE nimewaambia na Kuwasaidieni hivyo mtayatafakari, mtajitathmini na kubadilika upesi.
Msipobadilika tutaipenda 'CCM' Milele.