Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Dhana ya uongo hiyo!!Kwataarifa yako na yenu hatutaacha kudai katiba Tena mkizidisha ukandamizaji hata tunaodai kupitia keyboard tutatoka wazi rasmi maana hoja mbona ni rahisi ? Iko hivi!
Tusipodai katiba mpya Sasa 2025 wakurugenzi ambao ni makada wa ccm watasimamia uchaguzi halafu mtaiba kura then mtatuambia Tena 2026 onwards tusidai katiba kwasababu mnajenga nchi utopolo huu utakuwa ni endelevu kwenye uchumi tunaita viscious circle Sasa Basi. Imetosha
Mmejijenge dhana mfu ya uongo...
Imemea katika bongo zenu "kinyumbu".....huna ushahidi kuwa WAKURUGENZI huiba kura zenu....
Na huu uongo sijui lini UPINZANI utauacha kuwa kichaka cha visingizio ?🤣
Anyway watanzania wengi wala hawaihitaji hiyo katiba mpya.....tume ya Jaji Warioba ilizunguka na ushahidi watu waliona......
Japo mko wachache mnaotaka KATIBA MPYA ila haiwaondolei ukweli kuwa WATANZANIA HAWAKO TAYARI muwatumie kusukuma AJENDA ZENU kwa "njia zozote zile"......watanzania wengi si watu wa shari kama mlivyo baadhi yenu........
Tanzania ni ENEO LA KUPUMULIA shida za wenzetu....si eneo la kuwa kama MOCIMBOA DA PRAIA huko CABO DELGADO nchini Msumbiji......
#SerikaliMbiliMilele
#SiempreCCM
#NchiKwanza
#KaziIendelee