Ushauri wa bure tu na wenye 'Ukweli Mchungu' kwa Wanachadema wote Mitandaoni na Kwingineko duniani

CHADEMA bwana!!! Mnataka nchi iongozwe kihisia,yaani mtu anamshauri Rais,eti shughulikia suala la mbowe Ili ukuze demokrasia
 
Rais amezungumza vizuri kweli tena kwa uwazi ulio uwazi kwamba sauli hili sio la leo lilikuwepo na bw yule yule alikuwa analifahamu fika na baadhi ya wahusika wa jambo hili walikuwepo rumamnde kwa muda mrefu tu kabla bwana yule hajakamatwa isipokuwa bw yule ni intelegent wa kutisha sana ana akili nyingi sana akaona atafanyaje suala hile alipe mlangpo au mwonekano mwingine wa ki umma zaidi akaingilia kwa kasi ya katiba mpya bahati mbaya kondoo wake hawajui haya au intelegency aliyonayo kiongozi wao katika kuwatumia vyema koondoo wake, ''Rais amesaema mahakama itatupa majawabu sahihi baada ya mahakimu na wanasheria wa pande zote mbili kukabiliana kwa kina na kuja na jawabu moja tuvute subraaaaa'
 
gaidi akiachiwa kwa NOLLE uje hapa tena kutetea hoja zako pia
 
Jumuiya zipi za kimataifa hizihizi zinazoleta kila siku misaada, hii kesi ya Mbowe ingekuwa kwelii kuna hila za kuonewa basi hata ubalozi wa marekani tungesikia wakitoa kauli, lakini ukiangalia hata wao wanajua kinachoendelea ndomana wamekaa kimya tuu.
 
Mkuu Bei ya mafuta ya kula dumu la lita 20 n tsh 90000/=

Hivi hii Bei ukiwa na kadi ya CCM ukaenda nayo dukan bei haishuki kweli?

"""""Mbowe siyo gaidi""""""

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Rais amezungumza vizuri kweli tena kwa uwazi ulio uwazi kwamba shauri hili sio la leo lilikuwepo na bw yule yule alikuwa analifahamu fika na baadhi ya wahusika wa jambo hili walikuwepo rumamnde kwa muda mrefu tu kabla bwana yule hajakamatwa isipokuwa bw yule ni intelegent wa kutisha sana ana akili nyingi sana akaona atafanyaje suala hile alipe mlango au mwonekano mwingine wa ki umma zaidi akaingilia kwa kasi ya katiba mpya bahati mbaya kondoo wake hawajui haya au intelegency aliyonayo kiongozi wao katika kuwatumia vyema koondoo wake, ''Rais amesaema mahakama itatupa majawabu sahihi baada ya mahakimu na wanasheria wa pande zote mbili kukabiliana kwa kina na kuja na jawabu moja tuvute subraaaaa
 
Kuanzia Leo sitasoma Uzi wako milele na nitakudharau Kama ninavyomdharau pasco
Mimi nadhani kiongozi endelea tu kusoma tu nyuzi zake hata kama unakwazika nazo kwa kuwa hiyo ndio demokrasia....na pia mawazo kinzani ndio yanaleta ukomavu kisiasa na kifikra......itafika muda utamzoea tu.......relax kiongozi penye wengi pana mengi....
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Ila mandamano ya kumpongeza raisi ni halali kwa ccm ila kwa vya upinzani ni vurugu.
na wizi.
ukweli serikali ndio inaipa nguvu chadema na umarufu kwa mbowe.
jiulize swali kesi ya mashehe ili ishia wapi! Je walikuwa magaidi kweli ndivyo kesi ya mbowe itakavyo kuwa.
hamna jipya ccm ndio unatengenezea chadema umarufu badala ya kuishusha.
 
Comment hii imeonyesha jinsi ulivyo mpumbavu, mpaka nimecheka aisee
 
Ninaendelea kufuatilia kesi ya Sabaya Kwa utulivu mkubwa. Kama huo ushahidi ni kweli Kwa huyu muwakilishi WA Rais basi Mimi mwisho kuwa mzalendo WA nchi hii na kuamini tuna serikali Chino ya CCM basi. Zote ni takataka toka Rais Hadi kitongoji. Haya ni majambazi tunahitaji kupambana na kuyachoma Moto.
 
Wewe ni nani kwenye nchi hii ? kwanini hamjifunzi kwa yaliyotokea kwa jiwe ?
 
Hatari sana nchi kuwa na wananchi kama wewe
 
Inasikitisha mno kuona Watanzania wenzangu wanavyokaririshwa versions hizi za script za POLICE,CCM&Serikali yake kuhalalisha tuhuma za ugaidi dhidi ya Mh.Mbowe.
Najiuliza itakuwaje akishinda kesi hii?Viongozi hawa wa CCM na serikali watakuwa tayari kujiuzulu.Hizi ni tuhuma sawa na kuua.CHADEMA na wapinzani wa kweli nchi hii wanavumilia mengi na kunyanyaswa kama wageni(Hata Wakimbizi) wanatakiwa kulindwa na kusikilizwa.
Haya yote yanatukumbusha umuhimu wa Katiba Mpya itakayolinda Haki,Umoja na Utu wetu sisi Wananchi.
 
..mnaharibu kutetea makosa ya wazi kabisa aliyofanya Maza.

..suala hili bora mngeacha lipoe lenyewe jinsi muda unavyokwenda.
Yaani, mama ana jeshi lake la mtandaoni la kutetea matakataka ya sirikali
 
Tunachojua Kiongozi Mbowe, siyo gaidi hadi pale Mahakama itatakavyotafsiri hivyo vinginevyo tuendelee kubaki humo.
 
Mkuu nilikua nakuheshimu sana kwenye mabandiko yako ya awali wakati una akili kidogo hata za kuvukia barabara, kokote Duniani kwa watu walio smart hawapambani na upinzani wala hawawaoni kama ni kikwazo, maana kama unafanya mambo yako na wananchi wanakukubali kwanini utumie nguvu kukubalika? na pili hairuhusiwi kuzungumzia chochote kilichoko mahakamani hata kama wewe ni Rais maana lolote likitokea kule utaonekana dhahiri kuwa ulishinikiza hiyo hukumu, kwa maneno ya mama yenu sasa naamini kwamba hata yeye anapiga simu kwa majaji kuwaelekeza cha kufanya , Hatakuwa Rais kwa kipindi kingine Take it from me, maana kwakua yuko weak wanamwendesha wanavyotaka na yeye anajaa tu kichwa kichwa. She cant even reason.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…