Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mtawala ameshasema Mbowe ni gaidi na wakati yeye mwenyewe ni gaidi na katiliTunachojua Kiongozi Mbowe, siyo gaidi hadi pale Mahakama itatakavyotafsiri hivyo vinginevyo tuendelee kubaki humo.
Mimi ni 'Think Tank' wa Tanzania nzima.Wewe ni nani kwenye nchi hii ? kwanini hamjifunzi kwa yaliyotokea kwa jiwe ?
Kwahiyo GENTAMYCINE nikiisema CCM Watu wa CHADEMA mnanikubali na kuniona nina Akili ila Siku nikigeuka na kuwasema CHADEMA na Kuwatetea CCM na Rais Samia naonekana sina Akili si ndiyo?Mkuu nilikua nakuheshimu sana kwenye mabandiko yako ya awali wakati una akili kidogo hata za kuvukia barabara, kokote Duniani kwa watu walio smart hawapambani na upinzani wala hawawaoni kama ni kikwazo, maana kama unafanya mambo yako na wananchi wanakukubali kwanini utumie nguvu kukubalika? na pili hairuhusiwi kuzungumzia chochote kilichoko mahakamani hata kama wewe ni Rais maana lolote likitokea kule utaonekana dhahiri kuwa ulishinikiza hiyo hukumu, kwa maneno ya mama yenu sasa naamini kwamba hata yeye anapiga simu kwa majaji kuwaelekeza cha kufanya , Hatakuwa Rais kwa kipindi kingine Take it from me, maana kwakua yuko weak wanamwendesha wanavyotaka na yeye anajaa tu kichwa kichwa. She cant even reason.
Kucheka ucheke wewe....Comment hii imeonyesha jinsi ulivyo mpumbavu, mpaka nimecheka aisee
😞Mkuu nilikua nakuheshimu sana kwenye mabandiko yako ya awali wakati una akili kidogo hata za kuvukia barabara, kokote Duniani kwa watu walio smart hawapambani na upinzani wala hawawaoni kama ni kikwazo, maana kama unafanya mambo yako na wananchi wanakukubali kwanini utumie nguvu kukubalika? na pili hairuhusiwi kuzungumzia chochote kilichoko mahakamani hata kama wewe ni Rais maana lolote likitokea kule utaonekana dhahiri kuwa ulishinikiza hiyo hukumu, kwa maneno ya mama yenu sasa naamini kwamba hata yeye anapiga simu kwa majaji kuwaelekeza cha kufanya , Hatakuwa Rais kwa kipindi kingine Take it from me, maana kwakua yuko weak wanamwendesha wanavyotaka na yeye anajaa tu kichwa kichwa. She cant even reason.
Chadema walimuita Kikwete dikteta....baadaye wakamuita DHAIFU.....
Hakuwa na hana mpango wa kuwa rais mbona mnakusha maneno wapi amesema anataka kuendelea na urais hatua aliifikia ni kubwa na ya kihistoria yake na vizazi vyake. Umeelewa wewe janja weedMkuu nilikua nakuheshimu sana kwenye mabandiko yako ya awali wakati una akili kidogo hata za kuvukia barabara, kokote Duniani kwa watu walio smart hawapambani na upinzani wala hawawaoni kama ni kikwazo, maana kama unafanya mambo yako na wananchi wanakukubali kwanini utumie nguvu kukubalika? na pili hairuhusiwi kuzungumzia chochote kilichoko mahakamani hata kama wewe ni Rais maana lolote likitokea kule utaonekana dhahiri kuwa ulishinikiza hiyo hukumu, kwa maneno ya mama yenu sasa naamini kwamba hata yeye anapiga simu kwa majaji kuwaelekeza cha kufanya , Hatakuwa Rais kwa kipindi kingine Take it from me, maana kwakua yuko weak wanamwendesha wanavyotaka na yeye anajaa tu kichwa kichwa. She cant even reason.
Subiri sasa uone kama ataacha kugombea , maana hata mwendazake alijitia hatakaa hata dakika moja muda wake ukifika , lakini akawa anawatuma kina Kessi na Ndugai pamoja na lile zee Jah people kushinikiza hoja ya kuongezewa muda, Urais hasa wa nchi zetu maskini maskini hizi hata siku moja hawatakagi kutoka believe in itHakuwa na hana mpango wa kuwa rais mbona mnakusha maneno wapi amesema anataka kuendelea na urais hatua aliifikia ni kubwa na ya kihistoria yake na vizazi vyake. Umeelewa wewe janja weed
Wew siyo kweli kuwa ni mjinga, sema unajitia ujinga mwenyewe lakini uko timamu kabisa.Kucheka ucheke wewe....
Kusema useme wewe.....
Mimi naingiaje sasa?[emoji1787]
Tulia sindano ziwaingie.....
ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO
Wew siyo kweli kuwa ni mjinga, sema unajitia ujinga mwenyewe lakini uko timamu kabisa.Kucheka ucheke wewe....
Kusema useme wewe.....
Mimi naingiaje sasa?[emoji1787]
Tulia sindano ziwaingie.....
ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO