Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Salama yake hata hapo Kenya aondoke tu!
Madhalimu yakikuamulia hutoboi. Kuwaweza we kimbilia kwa wapenda demokrasia tu!Mwanaharakati anayekemea watu kutekwa na kuuwawa nje bila ya kufikishwa mahakamani na yeye anatekwa?!🤔
Ni jana tu tulikuwa tunamshauri Dr.Slaa akimbilie Kenya baada ya kesi, kumbe huko nako mapolisi yanafika?!Madhalimu yakikuamulia hutoboi. Kuwaweza we kimbilia kwa wapenda demokrasia tu!
Huo ni ujumbe wamemtumia huyo Bi dada kuwa tunaweza kukupata na kukuchukua muda wowote tukitaka. Akitaka kufanikiwa akimbilie US au UK au nchi yeyote ya EU (Sio Uturuki)
Hakuna muhuni yeyote wa Tanzania anayewaza fanya mission kwenye hizo nchi hapo.mnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani …
Kwani Mange wamempata?Kama wewe ni mhalifu hakuna sehemu utakimbilia usipatikane. Mange mwenyewe kazima fegi kwa utawala huu wa Mama Samia. Hata kama huna kazi jiepushe na kazi ya kuishambulia serikali iliyopo madarakani kwa harakati uchwara. Watu wachache hamuwezi vumiliwa mvuruge amani ya watu zaidi ya milioni 60 huku nyie mkila kuku ughaibuni.
Kwann asingiziwe yeye tu??JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Hakuna muhuni yeyote wa Tanzania anayewaza fanya mission kwenye hizo nchi hapo.
Wale ndo wenye dunia. Gusa unase
Kagame na ujanja wake wote hagusi ulaya na marekani. Anaishia UAE tu hapondio maana nimeandika inategemea adui yako ni nani, kama ukimess with the wrong people watakufanyizia huko, maadui wa serikali ya rwanda wapo wengi tu wakiokimbilia huko ulaya na kufanyiziwa huko huko aidha walikamatwa na hao hao wazungu na kurudishwa rwanda au worse …
Unamjua PK ? alimkill target ndani ya U.S na mwengine S.ANawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata Kagame tu anazitoaga jasho sana.
Ukitaka kuwa salama nenda Marekani au nchi yeyote ya Umoja wa Ulaya ila sio Uturuki.
Nimemaliza
Kwa sababu walibanwa vilivyo, mbona kipindi cha JK watu waling'olewa had meno lkn hatukusikia hizi kelele mana waliachiwa wafanye mambo yao, ila JPM kuwabana kila mahali bc kelele kwenda mbeleKwann asingiziwe yeye tu??
Nafikiri humfahamu PK wewe uliza wapinzani wake wapi aliwaua huko U.SKagame na ujanja wake wote hagusi ulaya na marekani. Anaishia UAE tu hapo