Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.

Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata Kagame tu anazitoaga jasho sana.

Ukitaka kuwa salama nenda Marekani au nchi yeyote ya Umoja wa Ulaya ila sio Uturuki.

Nimemaliza
ili wakapate nafasi nzuri na uhuru zaidi ya kutukana na kuiporomoshea matusi mazito ardhi na nchi ya uzao wao, ili laana ya usaliti iwazeeshe na kuwahangaisha kama mzee wilbroad peter slaa :pulpTRAVOLTA:
 
Kwani Mange wamempata?

Nenda kajaribu kumfanyia ujinga mange ndo utajua kama Dunia inazunguka au imesimama?
Mange mwenyewe alilizwa na familia ya Diamond kwa kutaka kumfungulia mashtaka. Yeye mwenyewe alikiri kutotii wito wa FBI kwa mahojiano... na baada ya hapo akaacha upuuzi wa kutukana hovyo. Hadi leo kimya kwa sababu alishaona mambo sio mambo.
 
Kagame na ujanja wake wote hagusi ulaya na marekani. Anaishia UAE tu hapo

nani kakudanganya? inategemea adui yako ni nani siku zote, kuna sababu kwa nini assad wa syria kakimbilia urusi na siyo sweden au sijui brussels au Snowden kakimbilia urusi na siyo sweden au brussels unafikiri ni kwa nini kama hizo nchi za ulaya zinafwata “human rights” kama mnavyoamini?
 
Mange mwenyewe alilizwa na familia ya Diamond kwa kutaka kumfungulia mashtaka. Yeye mwenyewe alikiri kutotii wito wa FBI kwa mahojiano... na baada ya hapo akaacha upuuzi wa kutukana hovyo. Hadi leo kimya kwa sababu alishaona mambo sio mambo.
Mtu aliye marekani unaweza kumtuliza kwa kumuhonga tu!

Unaweza kuta dogo Abdul keshafanya yake Bi dada kaingiziwa mpunga wa uhakika. Marekani ukiwa mpinzani wa Serikali yako tu wanakuwekea surveillance sasa ajaribu mtu kukugusa atakiona cha mtema kuni.

Ndo mana hata Mange kawahi kusema kuwa walishawai kumuonya
 
ili wakapate nafasi nzuri na uhuru zaidi ya kutukana na kuiporomoshea matusi mazito ardhi na nchi ya uzao wao, ili laana ya usaliti iwazeeshe na kuwahangaisha kama mzee wilbroad peter slaa :pulpTRAVOLTA:
Vijana waelewe kuwa hakuna nchi duniani inayokubali ujinga wa kuchafuliwa hovyo. Marekani wenyewe wakimkamata Snowden atakiona cha moto. Maria anawaponza vijana kama kina Sativa kwa kuwaingiza kwenye ushenzi.
 
Mtu aliye marekani unaweza kumtuliza kwa kumuhonga tu!

Unaweza kuta dogo Abdul keshafanya yake Bi dada kaingiziwa mpunga wa uhakika. Marekani ukiwa mpinzani wa Serikali yako tu wanakuwekea surveillance sasa ajaribu mtu kukugusa atakiona cha mtema kuni.

Ndo mana hata Mange kawahi kusema kuwa walishawai kumuonya
Uko nyuma ya wakati. Mange mwenyewe alishawahi kulia hadharani kwa kujambishwa na kina Diamond. Na kwa mujibu wa yeye mwenyewe ilikuwa FBI wamkamate akashauriwa na wakilina wake asiende kwenye mahojiano. Ukiwa mhalifu hakuna sehemu salama kwako. Marekani sio mbinguni.
 
Kama wewe ni mhalifu hakuna sehemu utakimbilia usipatikane. Mange mwenyewe kazima fegi kwa utawala huu wa Mama Samia. Hata kama huna kazi jiepushe na kazi ya kuishambulia serikali iliyopo madarakani kwa harakati uchwara. Watu wachache hamuwezi vumiliwa mvuruge amani ya watu zaidi ya milioni 60 huku nyie mkila kuku ughaibuni.
Inaelekea huijui USA wewe, simu zote za mama yako zinazoingia na kutoka, whatsapp na sms CIA wanazisoma zote...
Taifa masikini kama Tz na usalama vichwa panzi hawana uwezo kumfanya chochote raia wa USA, endeleeni na siasa za maji safi na vyoo...
 
Jidanganye.
 
Back
Top Bottom