Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.

Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata Kagame tu anazitoaga jasho sana.

Ukitaka kuwa salama nenda Marekani au nchi yeyote ya Umoja wa Ulaya ila sio Uturuki.

Nimemaliza
1736700772892_1.jpg
 
mnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
You are deadly wrong
 
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!
Kamkosoa Samia Kawa salama!

Kajaribu kukosoa uenyekiti wa Mangi wamepita nae!
Uenyekiti wa CHADEMA una Nini? Kwanini kila anayejaribu kuchallenge anashughulikiwa namna hii?
Kwanini kila anayegombea uenyekiti wa Mbowe lazima aumizwe?
 
mnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
Wapinzani wa Putin wanakimbilia UK na kupewa uraia ila wanafuatwa huku huku na kuuwawa tena kwa sumu
Wiki kadhaa kwaheri
Huwezi kuwa na amani popote
 
Unaenda Kenya hapo tu kwa wapenda rushwa muda wowote wanakuuza,nimeona X huko SATIVA alipewa miezi mitatu kukaa Kenya wakati anaendelea na taratibu za kupata permanent residence,sasa inaisha soon na hajapata mpya......sasa ameshatukana sana huku bongo,akirudishwa bongo huku si ndiyo basi tena 😀
 
Wewe ndio unajidanganya na kujilisha mashudu...
Wanaoweza hio michezo ni idara kama FSB, mwaka 2006 walimmaliza Alexander Litvinenko kwa radiation poisoning, jamaa walitumwa na Putin moja kwa moja na head wa FSB..

Alexander alikuwa ni forer FSB akiishi UK huku anamkosoa Putin, Alexander alishirikiana na idara za usalama wa UK na Spain akitoa siri za Russian mafia waliopo Ulaya na uhusiano wake na serikali ya Russia.

Kumbuka Alexander na yeye alikuwa ni agent hatari na ndio walikuwa wanatumika na FSB kufanya mauaji ya watu bali mbali...

Ndipo hapo Mr Putin akatuma watu wakammaliza kwa sumu ya mionzi...

Nchi zenye uchumi na kujiweza na kutotembeza bakuli ndio wanaweza hayo.. kingine FSB ni moja ya idara bora kabisa na hatari sana duniani..

Lakini hata hivyo idara za usalama UK walifuatilia hadi kutambua ni nani na nani walimpa jamaa sumu, hio ni Russia..

Je US unafikiri mtathubutu? kwa sababu kwa vyovyote mtafahamika, halafu ndipo mtajua muwa ni tunda ama mti.
Kwakweli hawa wanatulisha matango pori humu
Bora umesema ukweli
 
Back
Top Bottom