Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu mgogoro wa India na Canada na US?Kagame na ujanja wake wote hagusi ulaya na marekani. Anaishia UAE tu hapo
Niambie wewe unayejua...Hujui kitu wewe!
Baki hivyo hivyo!Niambie wewe unayejua...
Waulize India 2023 kilichotokea walipotuma kachero wakimpa $100,000 kummaliza raia wa US anaishi NY...
Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata Kagame tu anazitoaga jasho sana.
Ukitaka kuwa salama nenda Marekani au nchi yeyote ya Umoja wa Ulaya ila sio Uturuki.
Nimemaliza
Yeye ndio kinara wa hizi siasa za kishamba. Aendelee kuungua na moto wa milele.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
You are deadly wrongmnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
Wanafanya sasa hv wametumwa na nanYeye ndio kinara wa hizi siasa za kishamba. Aendelee kuungua na moto wa milele.
Umelewa mvinyo wa propaganda uchwaraPK popote anakudondosha
Ni wanafunzi wake.Wanafanya sasa hv wametumwa na nan
Kwahy ww ukiwa mvuta bangi bc n umerithi kutoka kwa wazazi wako?Ni wanafunzi wake.
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata Kagame tu anazitoaga jasho sana.
Ukitaka kuwa salama nenda Marekani au nchi yeyote ya Umoja wa Ulaya ila sio Uturuki.
Nimemaliza
Duh wameninyima visa😂Marekani wamekuwa na process nyingi za kijinga na za kibaguzi sana..
Scandinavian countries all the way.
USA au Scandinavian..😀Duh wameninyima visa😂
Wapinzani wa Putin wanakimbilia UK na kupewa uraia ila wanafuatwa huku huku na kuuwawa tena kwa sumumnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
Kwakweli hawa wanatulisha matango pori humuWewe ndio unajidanganya na kujilisha mashudu...
Wanaoweza hio michezo ni idara kama FSB, mwaka 2006 walimmaliza Alexander Litvinenko kwa radiation poisoning, jamaa walitumwa na Putin moja kwa moja na head wa FSB..
Alexander alikuwa ni forer FSB akiishi UK huku anamkosoa Putin, Alexander alishirikiana na idara za usalama wa UK na Spain akitoa siri za Russian mafia waliopo Ulaya na uhusiano wake na serikali ya Russia.
Kumbuka Alexander na yeye alikuwa ni agent hatari na ndio walikuwa wanatumika na FSB kufanya mauaji ya watu bali mbali...
Ndipo hapo Mr Putin akatuma watu wakammaliza kwa sumu ya mionzi...
Nchi zenye uchumi na kujiweza na kutotembeza bakuli ndio wanaweza hayo.. kingine FSB ni moja ya idara bora kabisa na hatari sana duniani..
Lakini hata hivyo idara za usalama UK walifuatilia hadi kutambua ni nani na nani walimpa jamaa sumu, hio ni Russia..
Je US unafikiri mtathubutu? kwa sababu kwa vyovyote mtafahamika, halafu ndipo mtajua muwa ni tunda ama mti.
Hapo sasaMwanaharakati anayekemea watu kutekwa na kuuwawa bila ya kufikishwa mahakamani na yeye anatekwa?!🤔