Mange hajaacha kuivaa serikali yako. Bali nchi yako wamewahonga meta account za mange zooote zikazimwa so unaongea upuuzi gani mkuuMange mwenyewe alilizwa na familia ya Diamond kwa kutaka kumfungulia mashtaka. Yeye mwenyewe alikiri kutotii wito wa FBI kwa mahojiano... na baada ya hapo akaacha upuuzi wa kutukana hovyo. Hadi leo kimya kwa sababu alishaona mambo sio mambo.
😂😂😂😂Hao hawajui kitu na akili hawana, hatuna uwezo wowote wa kucheza na idara za usalama na nchi za Ulaya au Amerika.
Wengine humu ni migambo na suma jkt walio na kadi za uanachama ccm, baada ya kupiga kwata asubuhi wanajiona makomando.
Mnoooo😂Wakuda hao utadhani unaenda Mbinguni😀
Bora useme ww anatudanganyaMange hajaacha kuivaa serikali yako. Bali nchi yako wamewahonga meta account za mange zooote zikazimwa so unaongea upuuzi gani mkuu
Walichoweza ni kuzima account zake za instagram basi.Bora useme ww anatudanganya
Maana mange hajaacha kuwanyoosha
Na kipindi Cha magu walishindwa eti Leo ndo wamuweze anatudanganya
Ndugu sikutegemea kama wewe ni mjinga kiasi hiki. Meta wanahongwa? Kama Meta ni wamarekani na wanahongwa inashindikanaje kwa wamarekani wengine? Kabla ya kupost comment isome vizuri ili kuepusha aibu ndogondogo.Mange hajaacha kuivaa serikali yako. Bali nchi yako wamewahonga meta account za mange zooote zikazimwa so unaongea upuuzi gani mkuu
Je, unakumbuka Kagame alivyo waua wale wapinzani wake walioenda South Africa, Uingereza na juzi yule mdada kule USA? Infact wasiojulikana wakikuamulia usalama wako unakuwa hatarini popote pale Duniani.Madhalimu yakikuamulia hutoboi. Kuwaweza we kimbilia kwa wapenda demokrasia tu!
Huo ni ujumbe wamemtumia huyo Bi dada kuwa tunaweza kukupata na kukuchukua muda wowote tukitaka. Akitaka kufanikiwa akimbilie US au UK au nchi yeyote ya EU (Sio Uturuki)
Kwa kifupi wamuige Lissu aliyekimbilia yeye na familia yake Ubeleji. Na sasa kaicha familia yake huko ili akinikishe huku pakichafuka anarudi Ubeleji kwenye familia yake raha mustarehe! Fuateni ushauri wa Lord denning bandugu!!Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata Kagame tu anazitoaga jasho sana.
Ukitaka kuwa salama nenda Marekani au nchi yeyote ya Umoja wa Ulaya ila sio Uturuki.
Nimemaliza