Dea mie sitaki jaman [emoji23][emoji23][emoji23]Yaan jf imekuwa sijui mahakama?
Mambo yanafanyika mtaani jitu linafungua uzi humu mbio, as if likitangaza humu tutakufa[emoji57][emoji57]
Mwanaume anayejifungilisha mauzi humu namuona kama Ke tu
[emoji122][emoji122][emoji122]Ni fedheha kubwa mwanaume kamili unalialia hapa kwa sababu ya wanawake wanaoomba pesa
Tafuta wa saizi yako mkuu, ukiona vyaelea vimeundwa
Pia wewe huwezi gharamia demu anajiuza kwa viwango, utaishia hao wa 2000-5000
Ni fedheha kubwa mwanaume kamili unalialia hapa kwa sababu ya wanawake wanaoomba pesa
Tafuta wa saizi yako mkuu, ukiona vyaelea vimeundwa
Pia wewe huwezi gharamia demu anajiuza kwa viwango, utaishia hao wa 2000-5000
Katafute pesa wewe...we si umeleta lijiuzi lako public, so usinipangie[emoji19][emoji57][emoji57]Rafiki, hujalazimishwa kusoma huu uzi, kama umekukera uwekee dislike, uendelee na mambo yako, unachosha joints za vidole vyako bure kunitukana. witnessj
Imagine yaanDea mie sitaki jaman [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu ukute huyo anayemzungumzia hata JF haijui khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine yaan
Full kujaza server
Haaahaaahaa wewe ndo umeua khaa[emoji16][emoji16]ukiwa kwenye mahusiano , tayari uko na 'muuzaji' , ni vile tu utoaji wa pesa uko tofauti
kwenye mahusiano: leo utatoa 30k, kesho 15k, kesho 40k, akifikisha 100-150k sasa ndiyo anakupa 'uchi'
nini kifanyike: njoo chaputa
Ni ukweli huo, bila pesa uchi hupati, utanyimwa tu, wengine watakupa kama ukifosi ila 'utelezi' hautokuwepo,Haaahaaahaa wewe ndo umeua khaa[emoji16][emoji16]
Laiti ungejuwa mara ya mwisho mm kumtongoza au kumshobokea mdada kimapenzi, ilikuwa mwaka jana mwezi wa pili, since then nanunuaga makahaba tu, sitongozi, sinaga time wala Shobo na wadada wa mtaani.Dea mie sitaki jaman [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu ukute huyo anayemzungumzia hata JF haijui khaaah.
Basi sawa.Laiti ungejuwa mara ya mwisho mm kumtongoza au kumshobokea mdada kimapenzi, ilikuwa mwaka jana mwezi wa pili, since then nanunuaga makahaba tu, sitongozi, sinaga time wala Shobo na wadada wa mtaani.
Usifikiri nimeanzisha huu uzi coz kuna mdada kaniomba hela masaa matatu yaliyopita nope,
cocastic
Kwani Nan kasem hatk kumpa ela mwanamke kwasabb ye sio baba ake ...point hap ni kwamb Kam mwanaume kuwa kweny mahusiano na wew lazm akupe ela una utofaut gn na wanaojiuza? Utagundua hapo utofaut Ni bei tu wanaojiuza wana bei rahc zaidWaleteeeeeeee,kwani wao wanasemaje??View attachment 1843072
Dada mbona umejaa gesi kiasi hiki kuna nini kati yako na mleta uzi?Yaan jf imekuwa sijui mahakama?
Mambo yanafanyika mtaani jitu linafungua uzi humu mbio, as if likitangaza humu tutakufa[emoji57][emoji57]
Mwanaume anayejifungilisha mauzi humu namuona kama Ke tu
Kwahiyo wewe kutongoza ni mzito sana?Laiti ungejuwa mara ya mwisho mm kumtongoza au kumshobokea mdada kimapenzi, ilikuwa mwaka jana mwezi wa pili, since then nanunuaga makahaba tu, sitongozi, sinaga time wala Shobo na wadada wa mtaani.
Usifikiri nimeanzisha huu uzi coz kuna mdada kaniomba hela masaa matatu yaliyopita nope,
cocastic
Emwaaaaaaa wanawake wengi wanajiuza sema style na eneo la soko ndo tofauti...Tena wanatongoza kabisa.... Wale wa VICOBAKwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii, sasa na wanaume tulivo ukiwa na Wadada 3 wa hivyo muda si mrefu, utafilisika hadi utaishia kuomba kipande cha mkate...
kwa utafiti usio rasmi ukihonga unabarikiwa sana coz unaowahonga wengine wanahudumia familia, wengine wanasomesha watoto/ndugu zao, wengine wanahudumia wagonjwa na nk... kama unabisha angalia wanaosifika kuhonga sana ka washapungukiwa pesa.