Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

Kuna utofauti mkubwa sana kati ya Mwanamke na Msichana pia Mvulana na Mwanaume.

Nadhani umewazunguzia Wavulana na Wasichana katika hii Mada.
 
Sasa huu muda wa kufungua nyuzi tafuta hela...humu husaidiwi kitu zaidi ya blah blah
Eeee we nanii kua na heshima bana Jiheshimu Narudia tena jiheshimu ALISIKIKA HAJI MANARA AKISEMA HIVI [emoji1787][emoji1787]
 
Pambana tu na hali yako kutongoza kuko palepale wewe kama huwezi Wanaume wenzako wanaweza.
 
Kwa ufupi ni kwamba hili unalopendekeza lina ufanisi zaidi kuliko kutongoza. Nakubaliana nawe. Unapiga kazi weekdays wikend wee ni mwendo wa warembo wa chuo unawapa an offer they cant refuse unagonga threesome maisha yanaendelea
 
Kwanini Barabara na siku hizi mambo dhambi imekuwa Digitalized
 
Baada ya kusoma uzi huu murua nikaona nijisogeze mahali nikatumie pesa yangu kihalali bila stress [emoji2][emoji2]
 
Permanent girl is the most expensive girl .. cuz atakuchuna Kila atakapo jisikia kukuchuna in the name of love na auna chakumfanya ...
 
Mwanamke wa kununua binafsi nakosa kabisa hisia kwasababu najua kabisa alichofuata kwangu ni pesa tu ila hajanipenda.
Kula mzigo Broh. Mambo ya hisia weka pembeni.
 
Aisee
 
Emwaaaaaaa wanawake wengi wanajiuza sema style na eneo la soko ndo tofauti...Tena wanatongoza kabisa.... Wale wa VICOBA
Kweli kabsa hata wenye viofisi mshenzi hasa wa mpesa/tigopesa nk, mdada ana mpesa ya laki 5 eti ndio inamfanya aishi mjini.
 
Hao ni wengi balaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…