Mapato hayapotei maana wafanyabiashara wako hadi shekilango pale. Nadhani ungeshauri stand ya magufuli kwakua ni international, basi iwe kama Airport, ondoa wapigadebe wote ndani, kujaza wapiga debe ndani ya stand na wafanyabiashara imefanya stand kupoteza mvuto.
Utateseka vipi wakati kuna daladala, mwendokasi, bajaji na bodaboda zote zinakufikisha mpaka katikati ya mji!Mbona mabasi yote ni lazima yaingie magufuli na kushushwa shekilango,then yanaelekea ofisini kwao,
Binafsi sishukiagi magufuli,nashukia kariakoo,ulisema lazima abiria wote washuke magufuli mbona tutateseka
Hiyo ndiyo agenda ya msingi.Isitoshe management ya Magufuli bus stand siyo professional wala haiko customer friendly. SIPENDI SIPENDI na nasema SIPENDI kwenda Magufuli Terminal
Hiyo ndiyo agenda ya msingi.Isitoshe management ya Magufuli bus stand siyo professional wala haiko customer friendly. SIPENDI SIPENDI na nasema SIPENDI kwenda Magufuli Terminal
Kuwa na mizigo mingi pamoja na kusafiri na watoto nafikiri hilo ni suala binafsi. Msafiri mwenyewe anatakiwa kujipangaHilo wala sio tatizo,
Tatizo ni mtu mwenye mizigo yake anayeshukia hapo Mbezi Magufuli akiwa na mizigo na watoto atafikaje Ubungo, Kinondoni, Kariakoo, Posta, Kigamboni n.k
Kama walikuwa wanataka Dar iwe na stendi moja tu ya mabasi sehemu ya kuijenga ilifaa iwe Ubungo, Mwenge, Sinza, Shekilango, Kariakoo, Posta au Kigamboni.
Yapo mabasi ambayo hayaingi magufuli. Yanashusha na kuchukua abiria nje ya kituoMbona mabasi yote ni lazima yaingie magufuli na kushushwa shekilango,then yanaelekea ofisini kwao,
Binafsi sishukiagi magufuli,nashukia kariakoo,ulisema lazima abiria wote washuke magufuli mbona tutateseka
Kama serikali ilikuwa ina shida sana ya kuwa na stendi moja tu Dar yenyewe ndio ilitakiwa ijipange mapeme kuweka hiyo Stendi mwisho wa mji, Posta au Kigamboni, mambo mengi yoyote ya kutaka abiria wote wa Dar kutumia Magufuli ni ujinga usio na mfano.Kuwa na mizigo mingi pamoja na kusafiri na watoto nafikiri hilo ni suala binafsi. Msafiri mwenyewe anatakiwa kujipanga
Siyo kweli, machinga wanaofanya biashara hapo Magufuli pamoja na wapiga debe ndiyo wanaochafua hiyo terminal.Tukiwafelisha tutatengeza wezi na vibaka , hapo ndo sehemu wanapookoteza riziki zao kwahiyo ni vzr kuwatengenezea mazingira rafiki ya biashara
Mkuu lakini stendi binafsi zilikuwepo hata kipindi ambacho stendi kuu ipo pale ubungo. Kama lengo ni kuondoa msongamano serikali ilitakiwa kuzipiga ban hizi stendi ndogo pale pale mwanzo wakati stendi ya magufuli inaanza kutumiaka. Sasa hivi italeta shida, na ukizingatia wabongo tukishazoeshwa kuvunja sheria tunaona ni haki yetu.Mwezi mmoja uliopita mkuu wa wilaya wa ubungo alitembelea pale stand ya magufuli , nilitazama kwenye TV namna wafanyabiashara wa Mbezi magufuli wakilalamika baadhi ya mabasi yakitoka mikoani yanapitiliza hayashushi abiria mbezi magufuli
In summation
Dhumuni la kujenga kituo cha Magufuli ni kusogeza mabasi ya mikoani yasifike city centre , kama sio hivo basi sioni umuhimu wa Serikali kujenga stand ya magufuli kila kampuni ya mabasi ingejenga stand yake kiholela
Mikusanyiko uliopo Terminal hauwahusu wafanyabiashara.Yes ofcz stand ni target ya wafanyabishara maana kuna mkusanyiko wa watu 24 /7
Mkuu mji unapanuka hata wakati stendi ya ubungo inatengenezwa mji ulikua unaishia magomeni kama sikosei. Mshua akishawahi kuniambia miaka ya zamani stendi kuu ilikua mnazi mmoja. Hata hii magufuli kuna kipindi kitafika italazimua isogezwe magari saba au mbele zaidi, kwahiyo hauwezi kusema stendi ijengwe sehemu moja na ibakie hapo hapo mpaka mwisho wa dohariKama serikali ilikuwa ina shida sana ya kuwa na stendi moja tu Dar yenyewe ndio ilitakiwa ijipange mapeme kuweka hiyo Stendi mwisho wa mji, Posta au Kigamboni, mambo mengi yoyote ya kutaka abiria wote wa Dar kutumia Magufuli ni ujinga usio na mfano.
Wanachinga kwa kweli ni lazima wadhibitiwe. Sio stend tu hata kwenye masoko na barabarani pia. Wanasababisha usumbufu na kero.Hao wamachinga wa Mbezi Magufuli warudi kijijini wakalime, kama wameshindwa kufanya biashara zao sehemu nyingine Dar. Kwanza stendi ni kwa ajili ya abiria kushuka, kupanda bus na kujisaidia, hayo mengine ya kula biscuits, crisps na mayai ni ziada tu.
Kama kila mji ukipanuka stendi inasogezwa, miaka michache ijayo mtasema mabasi ya Dar yaishie stendi ya Kibaha.Mkuu mji unapanuka hata wakati stendi ya ubungo inatengenezwa mji ulikua unaishia magomeni kama sikosei. Mshua akishawahi kuniambia miaka ya zamani stendi kuu ilikua mnazi mmoja. Hata hii magufuli kuna kipindi kitafika italazimua isogezwe magari saba au mbele zaidi, kwahiyo hauwezi kusema stendi ijengwe sehemu moja na ibakie hapo hapo mpaka mwisho wa dohari
Viongozi wetu ni mabingwa wa mipango mibovu. So the worst is yet to comeKama kila mji ukipanuka stendi inasogezwa, miaka michache ijayo mtasema mabasi ya Dar yaishie stendi ya Kibaha.
Nimekwenda SA kabla wewe hujazaliwa zadi ya mara 20 kuanzia 199 hadi 2015. Nimepita Joburg, PE, Capetown na Pretoria. Joburg naijuwa zaidi na nilikuwa naishi kitongoji cha Bruma Lake karibu na EastgateNabisha wewe passport huna kuijua unaijua kupitia TV
FACTMkuu mji unapanuka hata wakati stendi ya ubungo inatengenezwa mji ulikua unaishia magomeni kama sikosei. Mshua akishawahi kuniambia miaka ya zamani stendi kuu ilikua mnazi mmoja. Hata hii magufuli kuna kipindi kitafika italazimua isogezwe magari saba au mbele zaidi, kwahiyo hauwezi kusema stendi ijengwe sehemu moja na ibakie hapo hapo mpaka mwisho wa dohari
Umetaja mitaa ya ndani sana hapo nakubaliNimekwenda SA kabla wewe hujazaliwa zadi ya mara 20 kuanzia 199 hadi 2015. Nimepita Joburg, PE, Capetown na Pretoria. Joburg naijuwa zaidi na nilikuwa naishi kitongoji cha Bruma Lake karibu na Eastgate
Inasikitisha sana Stesheni ya Mbezi Magufuli inahujumiwaMagufuli alijitahidi Kudhibiti hio hali Lakini Kwa sasa naona Shekilango, Riverside na mazese kote Wamiliki wa mabus wanazidi Kujenga Vituo
sidhani km kulikuwa na haja ya kutukana ungemuelewesha vzr tu nadhani labda angeelewa.. pengine ulichoandika ww ndo cha kijinga kbs!Una akili za kijinga sana sana Ndugu yangu, Una akili ndogo sana, Mabasi yako mangapi? Most of them yanaondoka na kuingia usiku, huo msongamano unaosema ni upi?<