Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

kitu nme notice huyo Scars na Sayville ni jitu moja ID tofauti
Kama kuna kaukweli vile. Maana mmoja kati yao akianzisha tu uzi, basi mwingine lazima asogee kumsapoti!! 😁

Ni kama tu yule mdogo wangu wa hiyari! Akipigwa tu umeme, muda huo huo unashangaa Cognizant na Minocycline wanaibuka kutoka mafichoni.
 
Hivi katika michuano ya msimu huu ni timu ipi nyingine iliyotoa point 10 zaidi ya kundi lenu tu. Yaani timu moja anajihakikishia kufuzu mapema kabisa. Lakini makundi mengine yote hakuna anayejua kitatokea nini juu ya msimamo wa kundi hadi mechi ya tano pengine au mechi ya mwishoni huko.
 
Kama kuna kaukweli vile. Maana mmoja kati yao akianzisha tu uzi, basi mwingine lazima asogee kumsapoti!! 😁

Ni kama tu yule mdogo wangu wa hiyari! Akipigwa tu umeme, muda huo huo unashangaa Cognizant na Minocycline wanaibuka kutoka mafichoni.
Unamaanisha nini? Sijakupata vizuri
 
Kuna mangese huwa yanakaa chini kuandika ujinga mwingi sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Sisi huku hatuna mzaha ni sisi tu tulipoteana wenyewe hapo katikati

Kiufupi ile nafasi ya Asec ilikuwa yetu
 
Wakati kundi linapangwa lilikuwa
1.Aly Ahly
2. Belouzdad
3.Yanga
4.Mediama .
Na ndivyo msimamo utakavyokuwa hadi mwisho. Yanga washukuru Ahly na Belouzdad kutocheza mechi yao ya 4 angalau nao wameonja hiyo nafasi ya pili kwa muda.
 
Kama kuna kaukweli vile. Maana mmoja kati yao akianzisha tu uzi, basi mwingine lazima asogee kumsapoti!! 😁

Ni kama tu yule mdogo wangu wa hiyari! Akipigwa tu umeme, muda huo huo unashangaa Cognizant na Minocycline wanaibuka kutoka mafichoni.
Hadi wewe umeingia mkenge kuandika huu utumbo?
 
Ana maanisha mimi na wewe ni mtu mmoja

Yani na switch tu ID

Hao ni vibogoyo wa ubongo
Duh. Huu uzi umewagusa pabaya sana ndiyo maana wamekimbilia matusi na hatimaye baada ya kushindwa kote huko wamefikia kwenye hoja za kuswitch ID. Bahati mbaya au nzuri sikuja hata na uzi wa kuwatukana, nimewaambia ukweli plain and simpo kwa faida yao wenyewe.

Wangejua kuwa wamekuja kwa hasira zile zile nilivyowategemea. Hawana hoja tuendelee kuwapiga za utosi, hahahah.
 
Sisi huku hatuna mzaha ni sisi tu tulipoteana wenyewe hapo katikati

Kiufupi ile nafasi ya Asec ilikuwa yetu
Sijui ulivyokuwa unaandika ulitafakari unachokiandika!
"Sisi huku hatuna mzaha" maanake mmejijumuisha kwa wasio na mzaha.
"Sisi tu tulipoteana wenyewe hapo katikati" maanake mmejiweka kwenye kundi la wafanya mzaha.
 
Ile situation haikuwa mzaha
 
Hivi mashabiki wa yanga hii timu mlichaguliwa kuishabikia au mliipenda wenyewe? Hivi mtu unaanzaje kuwa shabiki wa gongowazi? Hua najiuliza sana hili swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…