Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

Siku hizi kila kitu simu..

Masuala ya Benki - Simu

Ulipaji Kodi - Simu
Kufuatilia Uhalifu - Simu
Kufuatilia Mahusiano - Simu
Utoaji Maoni Dira Ya Taifa - Simu

Mwaka 2025 tutashuudia mageuzi makubwa ya upigwaji wa kura ambapo mpigaji kura atatumia simu yake ya mkononi kupiga simu Hasa ukizingatia wanaomiliki simu wapo zaidi ya milioni 53.1.

Hakika Ndani Ya Siku 3 Matokeo Ya Uraisi Yatakuwa Yameshatangazwa.
View attachment 3145189
Endelea kuota
 
Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM.
View attachment 3145176
Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya machawa na wachumiatumbo wachache.

Sasa kwa kuwa Trump kaingia madarakani, CCM na serikali yake pamoja na machawa wanaopenda pesa za ubwete, wajiandae kufa njaa. Kwa kawaida Trump hashughuliki na ustawi wa nchi nyingine, hasa nchi za Afrika zinazonuka rushwa, ufisadi na uchawa.

MAONI YANGU
Nawapongeza sana wamarekani kwa kumrejesha Trump madarakani ili asaidie kuwanyoosha hawa akina Matonya wanaotandaranda huko na huko kutafuta misaada ili kujazia matumbo yao mapana yasiyoshiba. Sasa tutaelewana tu. Trump endelea kukaza hivyo hivyo hadi kieleweke. Maji mtayaita mma nyie ombaomba msiokuwa na haya. Trump mwaga mboga tukose wote. Machawa wote mnaotusumbua nchi hii, kiyama chenu kimewadia.
Toto la 2000 naona umeandika baada ya kushiba wali maharage hapo kwenu. Marekani inazihitaji nchi za Afrika kuliko unavyodhani. Tanzania, DRC, Zambia, Ghana na nchi zingine zilizobarikiwa madini ni hot cakes. Ukikua utaelewa haya mambo.
 
Nimefurahi yaan kwetu tusifanye makosa kwa kweli, kama taifa kubwa namna ile limeshindwa kumchagua mwanamke kuongoza taifa sisi ni kina nani jaman tumchague mama fulani
 
Toto la 2000 naona umeandika baada ya kushiba wali maharage hapo kwenu. Marekani inazihitaji nchi za Afrika kuliko unavyodhani. Tanzania, DRC, Zambia, Ghana na nchi zingine zilizobarikiwa madini ni hot cakes. Ukikua utaelewa haya mambo.
Kivipi mkuu? Hebu fafanua kwanza.
 
Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM.
View attachment 3145176
Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya machawa na wachumiatumbo wachache.

Sasa kwa kuwa Trump kaingia madarakani, CCM na serikali yake pamoja na machawa wanaopenda pesa za ubwete, wajiandae kufa njaa. Kwa kawaida Trump hashughuliki na ustawi wa nchi nyingine, hasa nchi za Afrika zinazonuka rushwa, ufisadi na uchawa.

MAONI YANGU
Nawapongeza sana wamarekani kwa kumrejesha Trump madarakani ili asaidie kuwanyoosha hawa akina Matonya wanaotandaranda huko na huko kutafuta misaada ili kujazia matumbo yao mapana yasiyoshiba. Sasa tutaelewana tu. Trump endelea kukaza hivyo hivyo hadi kieleweke. Maji mtayaita mma nyie ombaomba msiokuwa na haya. Trump mwaga mboga tukose wote. Machawa wote mnaotusumbua nchi hii, kiyama chenu kimewadia.
Habari njema sana hii

Pesa za NGO zilitumika sana kuleta taharuki nyakati za uchaguzi, na kuna chama kimezila sana hizi pesa

Muda sasa kila mtu abebe msalaba wake
 
Back
Top Bottom