Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

Toto la 2000 naona umeandika baada ya kushiba wali maharage hapo kwenu. Marekani inazihitaji nchi za Afrika kuliko unavyodhani. Tanzania, DRC, Zambia, Ghana na nchi zingine zilizobarikiwa madini ni hot cakes. Ukikua utaelewa haya mambo.
Too bad utu uzima haukukusaidia kuona yajayo. Imagine katoto ka 2000 kamekuzidi hekima.
 
Back
Top Bottom