Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii watabinywa sana kende kama Nicolas Maduro na Ayatollah KhameneiWatekaji na wauaji wa Watanzania bila kufuata sheria wajiandae kisaikolojia
Ni habari mbaya zaidi Kwa chadema kwasabab trump huwa hajihusishi na demokrasia za mataifa mengineIjapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM.
View attachment 3145176
Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya machawa na wachumiatumbo wachache.
Sasa kwa kuwa Trump kaingia madarakani, CCM na serikali yake pamoja na machawa wanaopenda pesa za ubwete, wajiandae kufa njaa. Kwa kawaida Trump hashughuliki na ustawi wa nchi nyingine, hasa nchi za Afrika zinazonuka rushwa, ufisadi na uchawa.
MAONI YANGU
Nawapongeza sana wamarekani kwa kumrejesha Trump madarakani ili asaidie kuwanyoosha hawa akina Matonya wanaotandaranda huko na huko kutafuta misaada ili kujazia matumbo yao mapana yasiyoshiba. Sasa tutaelewana tu. Trump endelea kukaza hivyo hivyo hadi kieleweke. Maji mtayaita mma nyie ombaomba msiokuwa na haya. Trump mwaga mboga tukose wote. Machawa wote mnaotusumbua nchi hii, kiyama chenu kimewadia.
SI ndo wanapenda kukimbilia Kwa mabeberu pia inasapoti ushoga ambao hauungwi mkono na Trump?Kivipi mkuu? CHADEMA inaingiaje hapa?
Na hawo chawa wake anaowalea atafute mbeleko awabebe. Hatuwezi kukubali pesa za umma zinatumiwa kujenga Kisimkazi na nyingine zinaliwa na machawa wapuuzi akina Steve Nyerere, Kitenge na Mwijaku. Kama anawapenda sana atoe mshahara wake awalipe. Hakuna pesa za bwerere kutoka Marekani atakazopata safari hii. Ubaya, ubwela!Mama atafute Chaka kingine la kujificha Na si kuendekeza kuomba kuhongwa hongwa Tabia Za kupokea pokea Za wanawake ndo ameintroduce kwenye uongozi wa nchi
KIMSINGI MAJIZI YA CCM HAYAWEZI KUTETEREKA, LABDA WANANCHI WATOKE USINGIZINI.Nasapoti Trump kuinyima Tanzania misaada, maana wezi na walafi wa madaraka huitumia kwa manufaa yao binafsi. Ccm ikikosa misaada humu ndani, njaa kali itasababisha hadi chawa wa kijani kuona umuhimu wa KATIBA MPYA.
Wakati upigaji kura unaendelea CCM walikuwa wanafuatilia kwa karibu kama vile fisi anavyomfuata mtu nyuma akitarajia mkono udondoke ale nyama, lakini mpaka dakika hii hakuna mkono wowote uliodondoka. Ngoja sasa wajiandae kula ma.vi.Ni mtu mwemye msimamo na tangu awali alionyesha hilo.
Trump asitume fedha huku kwetu ni kuchezea Kodi za USAIjapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM.View attachment 3145176
Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya machawa na wachumiatumbo wachache.
Sasa kwa kuwa Trump kaingia madarakani, CCM na serikali yake pamoja na machawa wanaopenda pesa za ubwete, wajiandae kufa njaa. Kwa kawaida Trump hashughuliki na ustawi wa nchi nyingine, hasa nchi za Afrika zinazonuka rushwa, ufisadi na uchawa.
MAONI YANGU
Nawapongeza sana wamarekani kwa kumrejesha Trump madarakani ili asaidie kuwanyoosha hawa akina Matonya wanaotandaranda huko na huko kutafuta misaada ili kujaza matumbo yao mapana yasiyoshiba. Sasa tutaelewana tu. Trump endelea kukaza hivyo hivyo hadi kieleweke. Maji mtayaita mma nyie ombaomba msiokuwa na haya. Trump mwaga mboga tukose wote. Machawa wote mnaotusumbua nchi hii, kiyama chenu kimewadia.
Trump ni mkombozi kwa wale wanaotaka kujitegemea na kuachana na kutegemea uombaomba na vya dezo kana kwamba hawana vichwa wala mikono. Mnaotegemea makombo mtakoma miaka minne ya Trump. Kaza kamba mwanangu Trump shitholes wamezidi. Mali wanayo lakini wanaikalia.Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM.View attachment 3145176
Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya machawa na wachumiatumbo wachache.
Sasa kwa kuwa Trump kaingia madarakani, CCM na serikali yake pamoja na machawa wanaopenda pesa za ubwete, wajiandae kufa njaa. Kwa kawaida Trump hashughuliki na ustawi wa nchi nyingine, hasa nchi za Afrika zinazonuka rushwa, ufisadi na uchawa.
MAONI YANGU
Nawapongeza sana wamarekani kwa kumrejesha Trump madarakani ili asaidie kuwanyoosha hawa akina Matonya wanaotandaranda huko na huko kutafuta misaada ili kujaza matumbo yao mapana yasiyoshiba. Sasa tutaelewana tu. Trump endelea kukaza hivyo hivyo hadi kieleweke. Maji mtayaita mma nyie ombaomba msiokuwa na haya. Trump mwaga mboga tukose wote. Machawa wote mnaotusumbua nchi hii, kiyama chenu kimewadia.
Je, unadhani waafrika wanaweza kusimama wenyewe bila misaada chinj ya hizi tawala za kiimla, kama huu wa Tanzania?Trump ni mkombozi kwa wale wanaotaka kujitegemea na kuachana na kutegemea uombaomba na vya dezo kana kwamba hawana vichwa wala mikono. Mnaotegemea makombo mtakoma miaka minne ya Trump. Kaza kamba mwanangu Trump shitholes wamezidi. Mali wanayo lakini wanaikalia.