Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

Endelea kuota
 
Toto la 2000 naona umeandika baada ya kushiba wali maharage hapo kwenu. Marekani inazihitaji nchi za Afrika kuliko unavyodhani. Tanzania, DRC, Zambia, Ghana na nchi zingine zilizobarikiwa madini ni hot cakes. Ukikua utaelewa haya mambo.
 
Nimefurahi yaan kwetu tusifanye makosa kwa kweli, kama taifa kubwa namna ile limeshindwa kumchagua mwanamke kuongoza taifa sisi ni kina nani jaman tumchague mama fulani
 
Toto la 2000 naona umeandika baada ya kushiba wali maharage hapo kwenu. Marekani inazihitaji nchi za Afrika kuliko unavyodhani. Tanzania, DRC, Zambia, Ghana na nchi zingine zilizobarikiwa madini ni hot cakes. Ukikua utaelewa haya mambo.
Kivipi mkuu? Hebu fafanua kwanza.
 
Habari njema sana hii

Pesa za NGO zilitumika sana kuleta taharuki nyakati za uchaguzi, na kuna chama kimezila sana hizi pesa

Muda sasa kila mtu abebe msalaba wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…