Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

Ni habari mbaya zaidi Kwa chadema kwasabab trump huwa hajihusishi na demokrasia za mataifa mengine
 
Umekosea kichwa cha habari ungesema habari mzuri kwa Tanzania na habari mbaya kwa raisi wa 🇹🇿
Kweli kabisa mkuu. Tunaomba mods wasaidie kubadilisha kichwa cha habari.
 
Mama atafute Chaka kingine la kujificha Na si kuendekeza kuomba kuhongwa hongwa Tabia Za kupokea pokea Za wanawake ndo ameintroduce kwenye uongozi wa nchi
 
Mama atafute Chaka kingine la kujificha Na si kuendekeza kuomba kuhongwa hongwa Tabia Za kupokea pokea Za wanawake ndo ameintroduce kwenye uongozi wa nchi
Na hawo chawa wake anaowalea atafute mbeleko awabebe. Hatuwezi kukubali pesa za umma zinatumiwa kujenga Kisimkazi na nyingine zinaliwa na machawa wapuuzi akina Steve Nyerere, Kitenge na Mwijaku. Kama anawapenda sana atoe mshahara wake awalipe. Hakuna pesa za bwerere kutoka Marekani atakazopata safari hii. Ubaya, ubwela!
 
Nasapoti Trump kuinyima Tanzania misaada, maana wezi na walafi wa madaraka huitumia kwa manufaa yao binafsi. Ccm ikikosa misaada humu ndani, njaa kali itasababisha hadi chawa wa kijani kuona umuhimu wa KATIBA MPYA.
KIMSINGI MAJIZI YA CCM HAYAWEZI KUTETEREKA, LABDA WANANCHI WATOKE USINGIZINI.
 
Ni mtu mwemye msimamo na tangu awali alionyesha hilo.
Wakati upigaji kura unaendelea CCM walikuwa wanafuatilia kwa karibu kama vile fisi anavyomfuata mtu nyuma akitarajia mkono udondoke ale nyama, lakini mpaka dakika hii hakuna mkono wowote uliodondoka. Ngoja sasa wajiandae kula ma.vi.
 
Trump asitume fedha huku kwetu ni kuchezea Kodi za USA
 

Attachments

  • VID-20250128-WA0033.mp4
    3.9 MB
  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB
Trump ni mkombozi kwa wale wanaotaka kujitegemea na kuachana na kutegemea uombaomba na vya dezo kana kwamba hawana vichwa wala mikono. Mnaotegemea makombo mtakoma miaka minne ya Trump. Kaza kamba mwanangu Trump shitholes wamezidi. Mali wanayo lakini wanaikalia.
 
J
Je, unadhani waafrika wanaweza kusimama wenyewe bila misaada chinj ya hizi tawala za kiimla, kama huu wa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…