tpaul JF-Expert Member Joined Feb 3, 2008 Posts 24,225 Reaction score 22,632 Jan 30, 2025 Thread starter #61 wax said: Chuma kimeanza kutema checheee Click to expand... Tutakoma. Tuombe Mungu Trump abadili msimamo wake mkuu.
wax said: Chuma kimeanza kutema checheee Click to expand... Tutakoma. Tuombe Mungu Trump abadili msimamo wake mkuu.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jan 30, 2025 #62 MamaSamia2025 said: Toto la 2000 naona umeandika baada ya kushiba wali maharage hapo kwenu. Marekani inazihitaji nchi za Afrika kuliko unavyodhani. Tanzania, DRC, Zambia, Ghana na nchi zingine zilizobarikiwa madini ni hot cakes. Ukikua utaelewa haya mambo. Click to expand... Too bad utu uzima haukukusaidia kuona yajayo. Imagine katoto ka 2000 kamekuzidi hekima.
MamaSamia2025 said: Toto la 2000 naona umeandika baada ya kushiba wali maharage hapo kwenu. Marekani inazihitaji nchi za Afrika kuliko unavyodhani. Tanzania, DRC, Zambia, Ghana na nchi zingine zilizobarikiwa madini ni hot cakes. Ukikua utaelewa haya mambo. Click to expand... Too bad utu uzima haukukusaidia kuona yajayo. Imagine katoto ka 2000 kamekuzidi hekima.
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,945 Reaction score 5,733 Jan 30, 2025 #63 magnifico said: Too bad utu uzima haukukusaidia kuona yajayo. Imagine katoto ka 2000 kamekuzidi hekima. Click to expand... Watajamba checheee
magnifico said: Too bad utu uzima haukukusaidia kuona yajayo. Imagine katoto ka 2000 kamekuzidi hekima. Click to expand... Watajamba checheee