Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

Haishangazi. Vp alipotea hapa mwezi mzima baadae akaibuka- ni mzaliwa wa Kigoma huyu.
 
Walizika mgomba au gogo tu sio mtu.

Washirikina ni waovu mno
 
Msukule
 
Hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…