De Capri Don
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 481
- 947
Vitabu vya Hadith vingiHADITHI IDADI: 6,245 MANENO YA MU,WAIYA ABU IBN SUFYAN...
Exception doesn't make a Rule.Watu bwana na hii ushoga hadi nimechoka; anyway by now mnajua ushoga upo kw kila jamii regardless of its causes and tofauti ya jamii ni kati ya wale waliokubali na kuwaheshimu na kuwaruhusu waishi maisha yao bila kujificha na wengine wanaowakwaza kisheria na kijamii either way gays wapo kote full stop. Kuhusu Wayahudi ni shobo za watu ya kuwaita watakatifu wao hawajawahi kusema ni malaika wanajua kila kitu au waabudiwe in fact kw dini yao Judaism which isn't a missionary religion wanasema wamechaguliwa wao kuwa na covenant na Mungu na kuwapa muongozo fulani kuiongoza dunia ya Gentiles( non Jews) lakini kumbuka hawaamini Yesu au Messiah alishakuja km Wakristo so izo ni shobo za wakristo dhidi ya Jews not vice versa. Judaism km Ukristo na Uislamu wote ndio wanakataza ushoga lakini ushoga ulikuwepo tangu enzi izo ndo maana unatajwa so nothing new. Pia dunia yote hai revolve na Mungu wa Abraham kuna dini nyingi ambazo hazina shida na ushoga. Hinduism ni polytheism na wana miungu kibao na hamna specific restriction na hata km ipo kuna miungu milioni 33 so kuna wengine hawana shida๐Budhism pia haipo clear, kuna dini nyingi za enzi ya Roman Empire pia hawakupagawa na ushoga na ulikuwa tolerated sana hata kw kipindi cha awali za utawala wa Uislamu. Pia China kun dini ya Taioism ambayo kuna Mungu shoga wanaomuabudu๐๐๐ so sio dini zote wamekataa ushoga au kutaka watengwe. So iyo Israel na taifa teule ni shobo zenu. Israel is a secular country mostly na wale dini iliyowakaa km ultra orthodox hawasapoti ushoga na kuna wengine ughaibuni hawaipendi Israel coz wanaona ni secular tu na pia kwa imani yao taifa ilo likitakiwa liwepo Messiah akirudi. Pia kumbuka nchi nyingi za Kiislamu ambazo ni secular ushoga ni halali, mf Turkey tangia Ottoman Empire 1858, Jordan and West bank( Palestine) 1951, Bahrain 1976, Kazakhstan, Albania, Kosovo, Bosnia, Iraq, Egypt etc while USA imehalalisha kila jimbo 2003, Spain 1979, Portugal 1980's uko, UK na Germany 1967
Nimebisha kwa sio katazo? Nimesema tu dunia yote hairevolve kw dini izo zenu either way kila mtu mzima na akili zake timamu atajijua na mwili wake; cjaja kubishana kuhusu ushoga nishachoka; nlikuwa najibu iyo kuisingizia Israel ushoga tu utadhan Uarabuni au Africa haupo.Exception doesn't make a Rule.
Ni clear ktk Abrahamic faith ushoga ni katazo.
Na Kuna logic behind ya Hilo katazo
Kule ni kitovuNimebisha kwa sio katazo? Nimesema tu dunia yote hairevolve kw dini izo zenu either way kila mtu mzima na akili zake timamu atajijua na mwili wake; cjaja kubishana kuhusu ushoga nishachoka; nlikuwa najibu iyo kuisingizia Israel ushoga tu utadhan Uarabuni au Africa haupo.
Hata tanzania ushoga upo anachoongelea nchi kuhalalisha ushoga halafu unasahau maneno mnayoongea kila siku humu kuwa hao ni wateule wa mungu saa hz tena unatuambia wa israel ni watu tu km watu wengine inaamana wa israel kama mimi tu wa kwa mtogole uteule na utakatifu umewavua.Nioneshe nchi moja ambayo dhambi hii haifanyiki,wa Israeli ni wanadamu kama wanadamu wengine wa huko uarabuni na ulaya wanaofanya dhambi mbaya ya ushoga, usitufanye wengine hatujui kinachoendelea nchi zingine.
Basi tunaongea lugha Moja mkuu.Nimebisha kwa sio katazo? Nimesema tu dunia yote hairevolve kw dini izo zenu either way kila mtu mzima na akili zake timamu atajijua na mwili wake; cjaja kubishana kuhusu ushoga nishachoka; nlikuwa najibu iyo kuisingizia Israel ushoga tu utadhan Uarabuni au Africa haupo.
Nimeamini wa Israel hawa si Original hawa ni planted kuna Documentary moja inaelezea waisrael original ni wa Afrika.....ukiona kabila lolote afrika wanafuga ng'ombe mbuzi na kondoo....hiyo ndiyo utambulisho wao.Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.
Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"๐ผ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐."
Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"๐ด๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐."
( Mambo ya Walawi 20:13)
Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.
Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.
Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.
Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.
Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.
Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."
Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.
Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.
Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.
Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.
Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.
Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.
๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ด๐ฎ๐ท๐ถ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ท๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.
Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.
Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.
Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.
๐จ๐น๐ถ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ณ๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ
Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:
๐๐๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.
๐จ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ท๐ถ๐ป๐๐ถ๐ฎ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.
๐๐ถ๐ณ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.
๐จ๐ฟ๐ถ๐๐ต๐ถ: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.
๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael
๐ฅ๐ฒ๐ธ๐ผ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐๐ธ๐ถ๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa
1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.
1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.
1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.
1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.
1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.
2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.
2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.
2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.
2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.
2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.
2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.
2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.
2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.
Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.
Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:
"๐บ๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐. ๐ด๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐.' ๐ฏ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐๐๐๐๐๐๐๐.โ
(Kutoka 19:5-6)
Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.
Rejea:
โขWikipedia
โขGay Israel
โขJerusalem Post
โขOUT
Kuna watu watakupinga mkuu kwa ukweli huuNimeamini wa Israel hawa si Original hawa ni planted kuna Documentary moja inaelezea waisrael original ni wa Afrika
Wana wa israel si walitoka egypt au hapo nini kigumuu...!! Sema hawakua weusiii[emoji1787]Nimeamini wa Israel hawa si Original hawa ni planted kuna Documentary moja inaelezea waisrael original ni wa Afrika.....ukiona kabila lolote afrika wanafuga ng'ombe mbuzi na kondoo....hiyo ndiyo utambulisho wao.
Lini me nimesema Wayahudi wateule wa kitu chochote??๐ณ๐ณ๐ณ Hao ni bogus Christians wenu wa Bongo au US uko; me nimeapproach mada km ilivyo; plus wayahudi wengi duniani km wayahudi wa Israel are atheists au non religious wanafuata vitu vichache sana kw Torah km wakristo wa Ulaya; so obviously majority hawajioni ni chosen people by God km majority are atheistsHata tanzania ushoga upo anachoongelea nchi kuhalalisha ushoga halafu unasahau maneno mnayoongea kila siku humu kuwa hao ni wateule wa mungu saa hz tena unatuambia wa israel ni watu tu km watu wengine inaamana wa israel kama mimi tu wa kwa mtogole uteule na utakatifu umewavua.
Sasa tuanzishie mada ya ushoga kwa nchi za kiarabu, huku ukutumia mifano kifani kutoka maeneo kama Zanzibar na Mombasa.Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.
Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"๐ผ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐."
Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"๐ด๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐."
( Mambo ya Walawi 20:13)
Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.
Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.
Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.
Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.
Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.
Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."
Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.
Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.
Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.
Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.
Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.
Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.
๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ด๐ฎ๐ท๐ถ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ท๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.
Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.
Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.
Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.
๐จ๐น๐ถ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ณ๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ
Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:
๐๐๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.
๐จ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ท๐ถ๐ป๐๐ถ๐ฎ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.
๐๐ถ๐ณ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.
๐จ๐ฟ๐ถ๐๐ต๐ถ: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.
๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael
๐ฅ๐ฒ๐ธ๐ผ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐๐ธ๐ถ๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa
1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.
1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.
1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.
1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.
1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.
2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.
2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.
2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.
2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.
2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.
2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.
2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.
2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.
Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.
Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:
"๐บ๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐. ๐ด๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐.' ๐ฏ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐๐๐๐๐๐๐๐.โ
(Kutoka 19:5-6)
Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.
Rejea:
โขWikipedia
โขGay Israel
โขJerusalem Post
โขOUT
Mke wa Musa alikuwa Mweupe?Wana wa israel si walitoka egypt au hapo nini kigumuu...!! Sema hawakua weusiii[emoji1787]
Tupo tumejaa tele,haya mambo yapo pia Zanzibar ushoga umekithiri na ni Nchi ya watu 95% wa Iman moja bila kuwasahau ndugu zao wa Mombasa.UMEUA.hauwezi kuwaona hapa
Na mwenzake Shujaa Mwendazake kila baada ya dk 10 anabandika Uzi kwa akili zao wanajua ndiyo wanapigana vita kule Gaza kupitia JF.Hawa waisiraeli watakuumisa kichwa yelo