Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

Ukiwa unatafuta chochote ambacho ni sensitive Kwenye maisha yako fanya jf iwe option ya Mwisho kuamini kwamba unaweza patia humo
Kwenye thread hizi mbili hapa chini, inaonesha JF ni kimbilio, na ni sehemu ya kwanza iliyo sahihi,

Je hawa wadau kwenye hizi thread mbili (kwa uchache watakuelewa kweli) kuwa JF ni option ya Mwisho?
 
Ungeongea nao vizuri hao walioleta feedback hawakutumia platform Hii kama first option walihangaika sana mtaaani baada ya kuona matokeo tasa ndo wakajaribu humu
 
Big point💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…