USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Yap jamaa alikutana na scabies dawa zake ndo hizo scaboma au BBE,
genital warts ni kama seli zilizokufa na kurundikana huwezi sense kitu labda uzione au uzishike ndo utajua zipo
Wewe ndio nilikua nataka ufunguke kuna dokta 'Johnny Sins' hapo juu kasema Warts haiponi yaan ina kawaida ya kupotea tu ila itarudi, sasa wewe Doktari unasemaje kuna ukweli hapo au ni kamba koche?
 
Fanikio la kwanza ni kuondoa hizo warts japo virus zitabaki lakini kwa kutumia kinga condoms na kuepuka maambukizi mapya au kuchoma chanjo hivyo virusi huondoka vyenyewe ndani ya muda fulani mwaka 1 mpaka miaka miwili,

sio virusi vya kutisha kwamba utaishia navyo milele, mwili ukishatengeneza kinga (antibodies) baada ya kuupata huo ugonjwa virusi vinashambuliwa na kuondoka vyenyewe cha msingi ni kuepuka maambukizi mapya kwa kuchoma chanjo au kutokuuza mechi

N B mi sio Daktari ila nafuatilia sana magonjwa ni kwa sababu ni mdau wa miti dawa au mitishamba (natural medicine) na lishe dawa (natural organic food)
 
Kwa hio ukishautibu unakua umepona au ndio unakua umejificha kwanza then unarudi tena
Viral disease haiponi hasa hizo warts zitarudi kwa wakati mwingine
Unaona hapo Doktari anasema kwamba huo ugonjwa bwana hauponi, kwa hio hapo sasa inakuaje?
 
Back
Top Bottom