USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Ujanja au sio!
Anyway, Nimekukumbusha tu, Internet will never forget. Kama unahisi kupost mapumbu yako ni ujanja sina la kusema hapo
Unaogopa nini mwanaume wewe hujaenda jando nini unaleta piga za wamama shughuli hapa, hujaelewa somo pita hivi usitujazie mainzi somo linaenda na uhalisia ulivyokua hatua kwa hatua wewe ulitaka aweke za kwako au?
 
Wewe ikikuuma chomoa kwa hio bado imeuma utatombewa mkeo kisa ameona mboo ya mwana?
Umegundua kwenye kila reply yako umekuwa ukisifia pumbu za mshkaji ?🤔
Unaogopa nini mwanaume wewe hujaenda jando nini unaleta piga za wamama shughuli hapa, hujaelewa somo pita hivi usitujazie mainzi somo linaenda na uhalisia ulivyokua hatua kwa hatua wewe ulitaka aweke za kwako au?
Jando ndo mnafundishwa hivi sio?
 
Unaogopa nini mwanaume wewe hujaenda jando nini unaleta piga za wamama shughuli hapa, hujaelewa somo pita hivi usitujazie mainzi somo linaenda na uhalisia ulivyokua hatua kwa hatua wewe ulitaka aweke za kwako au?
Tumekaa jando miezi miwili watupu mib@l0 inabembeaa.. huyu mtoto wa arts huyu
 
Broh hili andiko ni la kushuhudia tu namna jamii forums ilivonisaidia kupona huu ugonjwa niko poa kabisa shwariiiiiiiiiii kabisa yaan nimepona tangu mwez wa 8 mwaka jana hakuna hata alama ya hizo ndude

Brothe acha tuuu hadi napost hvo ni furaha ya kuishinda hiyo battle... nimepona mzma kabs
Viral disease haiponi hasa hizo warts zitarudi kwa wakati mwingine
 
Back
Top Bottom