USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Hiyo dawa inawasha kwa mtindo wa kipekee i cant explain but ni hataree mkuu

Imagine with 30 min inawasha kiasi ambacho mwili unapanda joto mpka una sweat..

Ukitoka hapo mwili wote maji tuu yaan hapo kama ulipng kulala uwezi kulala
Hahahahahahahaha kakaa aalikutesa sana, dawa nlopona nayo mm haiumi haileti hali yyt yaani coool tu
 
Hata mii nilipona na dawa ya kawaida
Hyo iliyo nileteakasheshe ni ya humu jf kuna jamaa alikua anatoa ushuhuda
 
genital warts uponi unambukiza tu wanawake hpv . na mwisho wa siku wanawake wa apata cancer ya kizazi.

mwanamke wakiwa na warts awaluhusiwi kuzaa kwa kawaida na mtoto ataambukizwa hpv.

Jamaa una generational condition. mke na watoto wapo kwa risk.

umetoka tu warts ujapoma. hpv ni kama ngoma.

it's over buddy acha kuusambaza
 
We jamaa jau sana ujue
Upo filidi
 
Hiyo dawa inawasha kwa mtindo wa kipekee i cant explain but ni hataree mkuu

Imagine with 30 min inawasha kiasi ambacho mwili unapanda joto mpka una sweat..

Ukitoka hapo mwili wote maji tuu yaan hapo kama ulipng kulala uwezi kulala
Ulibaini ni nani aliyekuambukiza huo Ugonjwa
 
Huu ugonjwa kwanza ujue sio sexual transmitted diseases mkuu..

Kuna maginjwa yanaweza kuhama kutoka part moja ya mwili kwenda nyingine kutokana na conditions ya sehemu husika.

Ndio maana hivo vipele sehemu nyingine kupona rahisi sana ila huko chini kwenye ngozi laini ambayo ipo closed ni ngumu kidogo.

Mimi sikuambukizwa ila ilitokea kama mlipuko wa vipele pale kambini
 
Back
Top Bottom