Oyaaa wakatiii nina furaha kupitilizaa kuonaa vidude vinakaukaaa.. nikawa najiongeza kuvikata na kucha vile vidude mana vilikuwa vigumu vyeusii baada ya kutumia ile dawa..
Nikawa navinyofoa alaf naweka yale mafutaa baada ya mda naweka ile cream kudadekiiiiiiii skumaliza wiki mbili kama mshkaji wanguu ngoma ikakaa sawa vidude vikapoteaaa kabisaaa kabisaa ile dawa ikabakiii ya kutosha hahahahahahahahhaha
Baada ya kupona ndo nikaja kumsanua yule jamaa kama na mm nilikuw mgonjwaa...
Baada ya kuponaa uume wangu
Picha hapo chinii
Oyaaa nilifurahiii sanaa kudadekiiiii
Sasa mtihani ulibaki hapaa.. vipi kuhusu yule dem? Basi me nikamsanua kama vile vidude vimepotea kabisa havipo kabisa yaaan hata alama tu ya warts haipooo... alishangaaa sanaaaa then akafurahi sanaa.. nikamwambia kabla ya kusex inabid tuende tukacheki kama una Virusi vya HPV na kam hauna basi upate kinga na mm nipate kinga maisha ya sex yarud kama kawaida.. kweli tukaenda kucheki, manzi matokeo yametoka yupo salama kabisa basi akapata chanjo na mm nkacheki bado virus ziko mwilin na nikaambiwa hizo zikifika haziondoki tena kweny damu so hazina madhara kam nitaimarisha tu kinga mwili.. aaah me nikaona poaaa tu ishu ni hivi vinyama bwanaa..
daaaaah yule demu hata kabla sjapiga c akafiwa bwana ikabidi aondoke kwao kigoma akazike daaah tangu kaondoka ajarud had leoo... na mm naogopa sana kupiga dem mwingne kwa kuhofia vidude vitarudi basi nikajikaza miezi ya mwanzo ile daaah sku nlvokuja kukamatia manzi niliosha kama akili sina but ni safe sex..
safari ilikuwa hivyo yaniii
Stage 1
Stage 2
Stage 3
Matibabu
Stage 4
Kuponaa uzimaaaa
Uzima raha wananguuuu
Naishukuru sana jamiii forums kwa kunisaidia kuipagana vita hiiii asehhh
SIKUSHAURI
kutokwenda hospital kama mimi..
Skwenda hospital kwasabb nilikuwa muoga wakuuu
namshukuru Mungu kwa kunionjesha ladha ya kuumwa na kuniponya maana hali ile ilinifanya nimkumbuke sana Sir God aseeh..
ugonjwa nimepona niko sawa kabisaa now..
Nimeshuhudia ili watu wajue kuwa Jamiiforums inaweza kuwa majibu ya maswali yako mengi magumu aseehh..
Nimemalizaa