USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada....
Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums..
Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana,

pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17 kuendelea zinakuwa juu sana..
nikiwa kama kijana niliyepitia huko, nina kisanga ambacho natamani kila mtu ajue kuhusu huu ugoniwa wa genital warts namna unavyohangaisha na kuharibu saikolojia zetu(victims) aseeh..
nitapost na picha zangu kama ushahidi, i'm too brave to post my pics kwasabb kwangu naona ni kama ushindi mkubwa sana na bonge la comeback nimefanya katk kuipambania afya yangu ya andindo maliaswesa...

brother kama ujawahi umwa warts jipongeze na jikinge sana huu ugonjwa sio poa kabisa asehh

1.hauumizi
2.hauwashi
3.haunenepi
4.haujiamini
5.depression
6.haufurahii sex
7.haushiriki kabisaaa sex if u have big heart to protect others..

Kwa mara ya kwanza niliona tofauti ya kwenye shina la uume wangu nikiwa na miaka 17 back in 2017
Skustuka sana, nilichukulia kawaida,
2021 mwishoni nikapitia andiko twitter lilikuwa linaelezea ishu ya warts, wakat huo bado sjui km nina warts nikajipa tu muda kulisoma lile andiko daaaah pale ndo nikagundua kama nina huo ugonjwa hali ilikuwa kama hivi
tazama picha
View attachment 3192323

nilikuwa na vidoti vitatu tu vya warts mwanzoni nikapotezeaaa

maisha yakasonga hadi 2023 hapo vile vidude aseeeh vilikuja kuwa vikubwa sana kiasi ambacho, nilikuwa stak kabsa mwanamke aone uume wangu na hata ule mda wa kujigi, skutaka kabisa ashike...

hali ilikuwa hivi tazama picha

View attachment 3192321

Broh narudia tenaa kama hujawahii umwa huu ugonjwa acha tuuuuu Q¥mam@e... ni noma sana

Hapo ndo nilipoanza kuona dunia na Mungu nimemkosea.. hiki kipindi nilikuw naomba kila dua aseehh....
Nitendeleaa maana uandishi kazi aseeh

Nyie hii dunia iko FAIR SANA
yaan wengine tunahangaika na vibamia na wenye magobole wanahangaika na Warts😂😂😂😂
Dunia ngumu sana hii
 
Wee jamaaa kama mimi tuu sema mi hayo mambo yalinikuta nikiwa jeshini mkuu...

Nakumbuka the last footdril nilishindwa kufanya maana hali ilikua tete ila nilipona baada ya kupata dawa moja hv inaitwa scaboma....

Kuna watu humu jf walinishauri nitumie BBE sijui oyaa ile dawa mpaka leo hata nikiona kichupa chak tuu huwa nasisimka...

Nafikili kama mwizi akiiba hapa hom nikimkamata tampaka hii dawa kwenye tundu la haja kubwa..

Akija rudia kuiba nahama jf hapa
ilikuaje mtu anaupata au uliupatajepataje
 
Hongera kwa Ujasiri wakutoa Ushuhuda huu. Kwa ambae hajawahi kutwa na hiyo dhahma hatoweza kukuelewa.

Inshort ukikutana na manzi sio muelewa, Huo unakua mwisho wa penzi.
Niliteseka na hiyo kitu yaweza kua zaidi ya mwaka, hadi naamua kuanza kutafuta tiba hali ilishakua mbaya sana. Mi vilianzia kwenye Outdoor, changamoto nitamuelezea nani au kumuonesha nani, ngoma ikanoga zaidi ilipofika kwenye Mzee wa kazi, vikajikusanya sehemu moja likawa li nundu hilo.

Maisha yalikua magumu sana kwenye issue yakula tunda, mwenzangu ni kulalalmika kuna kitu kinamuumiza nami staki aone ni nini. unga ulipozidiwa na maji tena kwa bampa too bampa ikabidi nionane na Dr nikiwa na mwenzangu maana nilishapewa deadline kama staki kwenda hospital itakua ndio basi na tena na yeye anataka awepo ajue nasumbuliwa na nini.

Kwakufupisha story, ikagundulika ndio hizo Wats na tiba nikaanza ya kuzichoma, ilamashrti ya matumizi ya ie dawa nayo yakaniongezea stress.. inaweza kuua mpaka cell zisizohusika, nikatibiwa nikaamini nitapona kwa dalili nilizoziona.. ngoma ikaanza kutokea upya sehemu zingine, yaani ikawa huku napona ila inaanza kwingine. Nikawaza nitakua mtumwa wa hii dawa mpaka lini na bei yake ni kubwa kutokana na matumizi yake ndani ya wiki unatumia si chini ya Elfu40.

USHUHUDA WA MIMI NILIVYOPONA.
Kiukweli hata ukiniuliza dawa sintoijua ila nilipona ndani ya siku 2 tuu hata dalili yakua nilikua na tatizo haikuwepo mpaka muda huu.

Kwanza niliamua kula mboga za majani tuu kuanzia asubuhi, chai yangu ilikua ni supu ya mboga za majani tuu iwe mchicha au matembele.
Na pili ambalo ni Kubwa kuliko, Siku Moja Usiku wa manane nikiwa katika kutafakari juu ya tatizo hili litaishaje maana hata usingizi sikua naupata kwa mawazo, nilijikuta Nalia mwenyewe nikaamua Kupiga magoti nakumuomba Mungu wangu kwa neno moja tuu nililokua nalirudiarudia.

"EEH MUNGU WANGU, MIMI NATAKA KUPONA GONJWA HILI"
Amini usiiamini mpaka usiku wa kesho yake katika kujikagua sikuona kitu, full kutumia kioo lakini wapi, na Tangu siku hiyo mpaka leo Mwenye Kuamini Aamini. Nimepona kabisa na siachi kusali Kila siku usiku wa manane.

Mi nilishindwa kuulizia humu kila nikiandika uzi naona aibu naufuta, leo umenipa ujasiri japo ni story ya Ushuhuda, nangoja nijue JamiiForums ilikusaidia vipi, kama kuna uzi si vibaya ukaUshare nikaupitia kwakuwasaidia na wengine. Asante!!!
 
Baaada ya maelekezo na matumizi ya dawa za bebi wangu mkiha kugonga mwamba, nikajua sasa ngoma ishaingia usiku tenaa hiyo mambo yashakuwa magumuu...
Nikaaamua tu kujiachia basi kwasabb byb kashajua tatz langu ilibidi tu nimwambie kwanini navaa condom..
Then baadae nikaamua tusitishe ishu ya kusex kwasabb kama mara mbili hivi lilitokea tukio la kuchana kukatika condom wakat sex inaendelea..
Nikaogopa sana kile kitendo aseh,
My concern was if my byb got infected or not..

Basi nikasitisha suala la sex.
Siku moja bwana nikarudi tena Jamii forum kwa mara nyingne kutafta namna ya kujinasua nikakutana na mwamba mmoja alitagi dawa za kutibu ni castol oil pamoja na kitunguu swaumu+maji...
Babuuu sikulaza damu nikaingia maduka ya asili nikatafuta castol oil nikapata. Dozi ikaanza mara moja sasa, sasa kuna sku bwana nikatembelewa na rafik ang mmoja akanikuta nipo na yale mafuta ya castol oil.

Alianza kunihoji ni yanini hiv na vile.
Me nikamfix tu maisha yakaenda..
Sasa ilivofika jion jamaa ikabidi alale so mm ilinilazim siku ile nisitimize dozi kwa kuhofia jamaa atasanukaa...
Daaaah jamaa si ndo akashika smu yangu? Mda anaperuz huku na kule kaingia google chrome history kakuta bwana recent searches za warts..
Jamaa akaropoka aseeh moh unaujua huu ugonjwa? Nikamjibu yeaahhh!!
Akaniambia daaah huuu ugonjwa umenisumbua sana sema brother ila nimeponaa kabsa...
Ikabidi pale sasa nikae sawa nianze kudadisiiii mpaka aniambie dawa ilomfanya apone lakini staki ajue kam na mm ni mgonjwa

Itaendelea
 
😀😀😀
Hongera kwa Ujasiri wakutoa Ushuhuda huu. Kwa ambae hajawahi kutwa na hiyo dhahma hatoweza kukuelewa.

Inshort ukikutana na manzi sio muelewa, Huo unakua mwisho wa penzi.
Niliteseka na hiyo kitu yaweza kua zaidi ya mwaka, hadi naamua kuanza kutafuta tiba hali ilishakua mbaya sana. Mi vilianzia kwenye Outdoor, changamoto nitamuelezea nani au kumuonesha nani, ngoma ikanoga zaidi ilipofika kwenye Mzee wa kazi, vikajikusanya sehemu moja likawa li nundu hilo.

Maisha yalikua magumu sana kwenye issue yakula tunda, mwenzangu ni kulalalmika kuna kitu kinamuumiza nami staki aone ni nini. unga ulipozidiwa na maji tena kwa bampa too bampa ikabidi nionane na Dr nikiwa na mwenzangu maana nilishapewa deadline kama staki kwenda hospital itakua ndio basi na tena na yeye anataka awepo ajue nasumbuliwa na nini.

Kwakufupisha story, ikagundulika ndio hizo Wats na tiba nikaanza ya kuzichoma, ilamashrti ya matumizi ya ie dawa nayo yakaniongezea stress.. inaweza kuua mpaka cell zisizohusika, nikatibiwa nikaamini nitapona kwa dalili nilizoziona.. ngoma ikaanza kutokea upya sehemu zingine, yaani ikawa huku napona ila inaanza kwingine. Nikawaza nitakua mtumwa wa hii dawa mpaka lini na bei yake ni kubwa kutokana na matumizi yake ndani ya wiki unatumia si chini ya Elfu40.

USHUHUDA WA MIMI NILIVYOPONA.
Kiukweli hata ukiniuliza dawa sintoijua ila nilipona ndani ya siku 2 tuu hata dalili yakua nilikua na tatizo haikuwepo mpaka muda huu.

Kwanza niliamua kula mboga za majani tuu kuanzia asubuhi, chai yangu ilikua ni supu ya mboga za majani tuu iwe mchicha au matembele.
Na pili ambalo ni Kubwa kuliko, Siku Moja Usiku wa manane nikiwa katika kutafakari juu ya tatizo hili litaishaje maana hata usingizi sikua naupata kwa mawazo, nilijikuta Nalia mwenyewe nikaamua Kupiga magoti nakumuomba Mungu wangu kwa neno moja tuu nililokua nalirudiarudia.

"EEH MUNGU WANGU, MIMI NATAKA KUPONA GONJWA HILI"
Amini usiiamini mpaka usiku wa kesho yake katika kujikagua sikuona kitu, full kutumia kioo lakini wapi, na Tangu siku hiyo mpaka leo Mwenye Kuamini Aamini. Nimepona kabisa na siachi kusali Kila siku usiku wa manane.

Mi nilishindwa kuulizia humu kila nikiandika uzi naona aibu naufuta, leo umenipa ujasiri japo ni story ya Ushuhuda, nangoja nijue JamiiForums ilikusaidia vipi, kama kuna uzi si vibaya ukaUshare nikaupitia kwakuwasaidia na wengine. Asante!!!
Broooh yaan acha tu kama kuna kihoma kinatia stress basi hiki kiwart nishida sana aseeh
 
ilikuaje mtu anaupata au uliupatajepataje
Mkuu tukiwa pale jeshini lindi ..
Ulitokea huo ugonjwa kwa mlipuko tuu vaap vipere vilianza mkononi.... Mara paaap mi vikaamia huku pakuchu ila sasa show yake daah an mda wa usiku na lile joto la nachingwea kule vikaanza kuni sumbua alafu sasa uchawi wa hivi vidude ukisema uvikune tuu aaaaah raha kinoma noma..

Alafu vinaambukiza chap kwa haraka na kupona kwake ndo hvo mpka uwotee dawa mana nilitumia dawa nyingi mpka kuna mdada flan hv akawa ananipaka ile dawa ya mti chungu inaitwa alovara sijuiii.. ila wapi

Na mimi vilichelewa maana nilikua napaka dawa havijapona vizri naenda kunjunjana kwahyo nikawa vinakauka na kurudi tena..

Baada ya kuona haya mambo yanaweza kufanya kukosa show nikaona ngoja vipone mazima hapo nikawa nafata ushauri wa mdada nikawa natumia detol na scaboma ..

Ndan ya mwezi nikapona maana vilibaki huku chini tuu...

Nilivopona ndo nikaanza kutest kwa shangazi wangu wa kwanza kwabisa huyu alikuja hom kulikua na harusi nikatambulishwa kama mama angu mdogo ... ..
Baada ya kupona huwa naogopa sana mtu mwenye vipele hata nikigusana nae basi nahakilisha sijigusi huku chini hata kwa dawa dadek
 
Daaaaaahhh tupo wengiii
 
Back
Top Bottom