USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Mbona stage ya 4 umebadili upande wa dushe
 
Mkuu nisanue hiyo dawa bi mkubwa wangu zimejaa usoni
 
Et eeeeh..
Sasa jichanganye
 
Doktari emu tolea ufafanuzi hapo kidogo ili utuongezee minyama, DR Mambo Jambo ufike huku utoe maelezo ya ziada kidogo
Yeah DR SANTOS yuko sahihi kabisa..
Virus wengi hasa hao HPV (human papillomavirus) can be 'Treated but Not cured"

Maana yake Inawesa Kutibiwa Ila haiwezi kupona kabisa na Inaweza Kurudi inategemea na Immune ya Muhusika pia..

Si Unafahamu hata Chicken Pox (Matete Maji/Tete Kuwanga) huwa yanatibika Ila Huwa hayaponi?
Na kama Kinga ya Mtu ikishuka ndo huwa Inafanya Reactivation kuwa Mkanda wa Jeshi?
So inshort yuko sahihi..

Kama Kuna Swali nitajitahidi kulijibu
 
Kwa hio hapo Doktari inamaana kwamba kwa kutumia dawa na kupotea maana yake sio kwamba umewamaliza ila umewafubaza maana yake kwamba ukipiga mechi na mtu mwingine na game ikiwa kavu kavu bila condoms ni kwamba wale virus wana uwezo wa kumuingia yule ambae anafanya nae au hio pia ni ngumu pia?

Tolea ufafanuzi hapo mkuu je unaweza kusambaza virusi pamoja na kwamba umetumia dawa ukavifubaza au hio pia inategemea na kinga mwili ya yule unaefanya nael?
 
Asili hua ina mambo ya ajabu sana.

Nilishawai kua na kisundo mithili ya hivyo vya warts, kilikua kimoja kushoto kwenye paji la uso.

Sikukitilia maanani saaana, kwasababu kipindi kile nilikua so stresssed na ajira nilio kua nafanya.

Mara moja moja nikiona kimekua, nilikua nakikata na Nailcuttor kinapungua size lkn kinarudi baada ya wiki.

Sasa sikumoja, kuna dogo alikua mwajiriwa mpya kazini, nikampokea akakaa kwangu kama mwezi hivi, ndo akanisanua broo hicho kata paka mavi ya mbuzi hakirudi tena 😀

Nikampuuzia tu, Fast foward imepita miezi 2 nikatoka kwenye ile ajira, nikaingia DSM akili ilivokaa sawa ndo nikaanza kuona kama hiki kitu kina ni annoy tu.

Basi nikaamka na kuanza kusaka mavi ya mbuzi, mpaka nikayapata nikaokota 3

Nikarudi home, nika visawazisha usawa wa ngozi kwa kutumia nailcuttor(Vinatoa damu mno).

Nikapala yale mavi ya mbuzi nikalala, ahsubuhi nikaoga nikaendelea na kazi zangu.

Sasa imepita miezi kama 4 hivi, hakijawai kurudi, Pako shwari kabisa japo kuna kakovu.

Hili ni moja ya tukio linalonifanya niamini asili iko na majibu ya maswali mengi tunayo jiuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…