USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Asili hua ina mambo ya ajabu sana.

Nilishawai kua na kisundo mithili ya hivyo vya warts, kilikua kimoja kushoto kwenye paji la uso.

Sikukitilia maanani saaana, kwasababu kipindi kile nilikua so stresssed na ajira nilio kua nafanya.

Mara moja moja nikiona kimekua, nilikua nakikata na Nailcuttor kinapungua size lkn kinarudi baada ya wiki.

Sasa sikumoja, kuna dogo alikua mwajiriwa mpya kazini, nikampokea akakaa kwangu kama mwezi hivi, ndo akanisanua broo hicho kata paka mavi ya mbuzi hakirudi tena 😀

Nikampuuzia tu, Fast foward imepita miezi 2 nikatoka kwenye ile ajira, nikaingia DSM akili ilivokaa sawa ndo nikaanza kuona kama hiki kitu kina ni annoy tu.

Basi nikaamka na kuanza kusaka mavi ya mbuzi, mpaka nikayapata nikaokota 3

Nikarudi home, nika visawazisha usawa wa ngozi kwa kutumia nailcuttor(Vinatoa damu mno).

Nikapala yale mavi ya mbuzi nikalala, ahsubuhi nikaoga nikaendelea na kazi zangu.

Sasa imepita miezi kama 4 hivi, hakijawai kurudi, Pako shwari kabisa japo kuna kakovu.

Hili ni moja ya tukio linalonifanya niamini asili iko na majibu ya maswali mengi tunayo jiuliza
Hivyo vi warts wengine huvisugua kwa maganda ya ndizi mixer mavi kidgo then vina potea kwa kukatika vyenyewe tu. Asili ina majibu ya maswali mengi ni kweli. Tatizo tunapataje kujua yote ya asili
 
Hahahahahaaaa,eti mkojo wa mbwa

Wanawake ni wafukunyuku,kuna mwanamke aliwah nichungulia matakoni wakati nimesinzia usiku na siku moja ananiambia nina alama za kulogwa matakoni
Nacheka kama mazuri 🤣🤣🤣 kuumwa sikia tu kaka
 
Kujichekesha na furaha ya Mwamba vimeishia hapa
Yaan happiness ya kushinda hii vita haiwezi kuharbiwa na comment za namna hiii🤣🤣
Nina muongozo wa nini nifanye aseeh ili niwe salama mimi na mwenza wangu
 
Kweli kabisa niliambiwa niimarishe kinga ya mwili kwa kufanya mazoezi na vyakula vya mbogamboga tangu hapo gud clean kabisa
Sio kweli.

Mkewe kama kapata chanjo, hawezi kupata huo ugonjwa.

Kingine hicho kirusi ni dhaifu mno, kinakushambulia ukiwa na kinga ndogo ya mwili.

Mostly, kinaweza kupotea mwilini baada ya miaka kadhaa.

Na kuna watu wengi tu wanapata na kupona kimya kimya kabla ya kupata dalili za mtoa maada, kama ilivo kua kwa COVID - 19
 
Brother sitokuja kuumwa gono maisha had nakufa hilo nina uhakika...
Siri ya gono kwa wanaume ni kuokota madem wachafu wale wa stend na wasio na kwao
Huyo unaemuonesha rungu Miss Natafuta anatafuta kweli atakusaka umkamie, mimi ngoja niishie hapa ukipata lingine fanya hivi hivi sasa ufanye mpango wa gonjwa lingine hatari hatari kulisakia dawa yake anza na Gonno
 
Warts hata vidoleni hutokea
Ninacho hapa na sijawahi kuwa aware nacho,nilikikata sikumbuki but nadhani mwaka uliopita mwanzoni sasa kinarudi na nina ndugu zangu watatu wana hali hii mmoja vipo shingoni wengine vipo kwenye viwiko vya mikono
IMG_20250105_114336.jpg


So mkuu ni kusema hiyo nayo ni HPV?
DR Mambo Jambo
kama una cha kusema weka neno!
 
Nilipona mkuu tena baada ya hiyo dawa inaitwa scaboma chap tuu..

Alafu mkuu nikufundishe kitu
Usipende sana mambo ya kunyonyana sio wewe wala yeye... Kansa ya koo hata wewe inaweza kukupata ..
Acha kemea hilo pepo
We ulikuwa unaumwa ukurutu
 
Fanikio la kwanza ni kuondoa hizo warts japo virus zitabaki lakini kwa kutumia kinga condoms na kuepuka maambukizi mapya au kuchoma chanjo hivyo virusi huondoka vyenyewe ndani ya muda fulani mwaka 1 mpaka miaka miwili,

sio virusi vya kutisha kwamba utaishia navyo milele, mwili ukishatengeneza kinga (antibodies) baada ya kuupata huo ugonjwa virusi vinashambuliwa na kuondoka vyenyewe cha msingi ni kuepuka maambukizi mapya kwa kuchoma chanjo au kutokuuza mechi

N B mi sio Daktari ila nafuatilia sana magonjwa ni kwa sababu ni mdau wa miti dawa au mitishamba (natural medicine) na lishe dawa (natural organic food)
Asante kaka me tayr nikichoma kinga
 
Back
Top Bottom