The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Umeona mambo haya!!!?Hiyo dawa nimeshindwa kuisoma Jina lake,
Msaada kwenye tuta
Alikuwa anateketea huyu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona mambo haya!!!?Hiyo dawa nimeshindwa kuisoma Jina lake,
Msaada kwenye tuta
Hivyo vi warts wengine huvisugua kwa maganda ya ndizi mixer mavi kidgo then vina potea kwa kukatika vyenyewe tu. Asili ina majibu ya maswali mengi ni kweli. Tatizo tunapataje kujua yote ya asiliAsili hua ina mambo ya ajabu sana.
Nilishawai kua na kisundo mithili ya hivyo vya warts, kilikua kimoja kushoto kwenye paji la uso.
Sikukitilia maanani saaana, kwasababu kipindi kile nilikua so stresssed na ajira nilio kua nafanya.
Mara moja moja nikiona kimekua, nilikua nakikata na Nailcuttor kinapungua size lkn kinarudi baada ya wiki.
Sasa sikumoja, kuna dogo alikua mwajiriwa mpya kazini, nikampokea akakaa kwangu kama mwezi hivi, ndo akanisanua broo hicho kata paka mavi ya mbuzi hakirudi tena 😀
Nikampuuzia tu, Fast foward imepita miezi 2 nikatoka kwenye ile ajira, nikaingia DSM akili ilivokaa sawa ndo nikaanza kuona kama hiki kitu kina ni annoy tu.
Basi nikaamka na kuanza kusaka mavi ya mbuzi, mpaka nikayapata nikaokota 3
Nikarudi home, nika visawazisha usawa wa ngozi kwa kutumia nailcuttor(Vinatoa damu mno).
Nikapala yale mavi ya mbuzi nikalala, ahsubuhi nikaoga nikaendelea na kazi zangu.
Sasa imepita miezi kama 4 hivi, hakijawai kurudi, Pako shwari kabisa japo kuna kakovu.
Hili ni moja ya tukio linalonifanya niamini asili iko na majibu ya maswali mengi tunayo jiuliza
Kaka hapa umepuyanga 😀😀Ukiachana na ugonjwa, kingine nilichogundua zerominus10 na Ntanatz ni Id's za mtu mmoja.
Povu ruksa na sitojibu......
Sio kweli.
Mkewe kama kapata chanjo, hawezi kupata huo ugonjwa.
Kingine hicho kirusi ni dhaifu mno, kinakushambulia ukiwa na kinga ndogo ya mwili.
Mostly, kinaweza kupotea mwilini baada ya miaka kadhaa.
Na kuna watu wengi tu wanapata na kupona kimya kimya kabla ya kupata dalili za mtoa maada, kama ilivo kua kwa COVID - 19
Even braza chogoUkiachana na ugonjwa, kingine nilichogundua zerominus10 na Ntanatz ni Id's za mtu mmoja.
Povu ruksa na sitojibu......
Daktari unasema kweli ?Vikate upakae ugolo havirudi tena .
Huyo unaemuonesha rungu Miss Natafuta anatafuta kweli atakusaka umkamie, mimi ngoja niishie hapa ukipata lingine fanya hivi hivi sasa ufanye mpango wa gonjwa lingine hatari hatari kulisakia dawa yake anza na Gonno
Ninacho hapa na sijawahi kuwa aware nacho,nilikikata sikumbuki but nadhani mwaka uliopita mwanzoni sasa kinarudi na nina ndugu zangu watatu wana hali hii mmoja vipo shingoni wengine vipo kwenye viwiko vya mikonoWarts hata vidoleni hutokea
We ulikuwa unaumwa ukurutuNilipona mkuu tena baada ya hiyo dawa inaitwa scaboma chap tuu..
Alafu mkuu nikufundishe kitu
Usipende sana mambo ya kunyonyana sio wewe wala yeye... Kansa ya koo hata wewe inaweza kukupata ..
Acha kemea hilo pepo
Asante kaka me tayr nikichoma kingaFanikio la kwanza ni kuondoa hizo warts japo virus zitabaki lakini kwa kutumia kinga condoms na kuepuka maambukizi mapya au kuchoma chanjo hivyo virusi huondoka vyenyewe ndani ya muda fulani mwaka 1 mpaka miaka miwili,
sio virusi vya kutisha kwamba utaishia navyo milele, mwili ukishatengeneza kinga (antibodies) baada ya kuupata huo ugonjwa virusi vinashambuliwa na kuondoka vyenyewe cha msingi ni kuepuka maambukizi mapya kwa kuchoma chanjo au kutokuuza mechi
N B mi sio Daktari ila nafuatilia sana magonjwa ni kwa sababu ni mdau wa miti dawa au mitishamba (natural medicine) na lishe dawa (natural organic food)
Duh!kwa maelezo ni hivyo.. walinambia ukipga chanjo huwez kutana na hvy vinyama again ila n kwamb kirusi hakiwez kufa kitabaki ktk dam forever