Dah!...mbona hatari sasa...genital warts uponi unambukiza tu wanawake hpv . na mwisho wa siku wanawake wa apata cancer ya kizazi.
mwanamke wakiwa na warts awaluhusiwi kuzaa kwa kawaida na mtoto ataambukizwa hpv.
Jamaa una generational condition. mke na watoto wapo kwa risk.
umetoka tu warts ujapoma. hpv ni kama ngoma.
it's over buddy acha kuusambaza
Huoni picha zote zilikuwa za upande wa kulia ila ya mwisho umeonesha upande wa kushotoUnataka
Upande gani
Bora ili kuondoa utataUkitaka natuma ya zote
Alichoma chanjo?Soma andiko majibu utayapata huko...
Mtu nlonaye kweny mahusiano tayr ana kinga...
Sio kila HPV italeta cancer 😅😅😅😅
Stak kuzama huko deep naishia hapa tu
Nimeipenda hii mwanaume ukiweza kuzuia,umefanikiwaBrother sitokuja kuumwa gono maisha had nakufa hilo nina uhakika...
Siri ya gono kwa wanaume ni kuokota madem wachafu wale wa stend na wasio na kwao
🤣🤣Wee jamaaa kama mimi tuu sema mi hayo mambo yalinikuta nikiwa jeshini mkuu...
Nakumbuka the last footdril nilishindwa kufanya maana hali ilikua tete ila nilipona baada ya kupata dawa moja hv inaitwa scaboma....
Kuna watu humu jf walinishauri nitumie BBE sijui oyaa ile dawa mpaka leo hata nikiona kichupa chak tuu huwa nasisimka...
Nafikili kama mwizi akiiba hapa hom nikimkamata tampaka hii dawa kwenye tundu la haja kubwa..
Akija rudia kuiba nahama jf hapa
Nawaza siku aibuke mdada.atoe ushuhuda nae aambanishe na mapichapicha kama hivyo live...mbona hapatatosha..
Kwa hii jf nnayoijua😄
Taratibu 🖐️🙏🤣Uke uliathiriwa na warts una sura mbaya mno,
Mkuu tulia twende taratibu utafikiwa tuBrother sitokuja kuumwa gono maisha had nakufa hilo nina uhakika...
Siri ya gono kwa wanaume ni kuokota madem wachafu wale wa stend na wasio na kwao
Kila mtu zamu yake itafikaMkuu tulia twende taratibu utafikiwa tu
Ipoje hyo mkuuBORA WARTS.
KUNA GERNITAL HERPES.
ISIKIE TU KWA JIRANI.
HAITIBIKI.
ANYWAY,NGONO NI KITU KIBAYA SANA.
HERI KUOA NA KUWA WAAMINIFU.
TaratibuAu Niwekee picha?😅Taratibu 🖐️🙏🤣