USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Hizo warts zishafika hapo Unaweza tumia Silver nitrate pencil ila Inabid uwe makini sana wakati unavitoa plus acyclovir tab dose ya week kuweka mambo sawa kabisa.
Niliwahi kupata zamani, mwanzo niliwashwa kupona kwake vikaota vipele yaani vinyama. Nina ndugu daktari akaniambia zinaitwa genital warts. Alinipa dawa ya kupaka ya maji ya blue akaniambia niwe napaka ila kyupi zitakuwa zinapata madoa. Nilipaka kila siku baada ya kuoga. Vikatoweka. Havijawahi kurudia. Ila aliniambia ni wafamasia walikuwa wanatengeneza huo mchanganyiko. Rangi yabluu.
 
Nimecheka mkuu mleta mada ila pole sana.

Niliwahi kuwa na mdada mwenye hpv, nikampeleka hadi hospitali ila cha ajabu hakuwahi kuniambukiza na tulidumu miaka miwili-mitatu.
Alikuambukiza.

Ila kinga yako ni strong, Ni kama COVID tu nyumba moja lkn kuna walio onyesha dalili, ambao hawajaonyesha dalili na ambao walikufa
 

Kwa ambae anahitaji dawa ni hizi hapa..
Nilijarib kumtafuta aliyeniuzia na kumuuliza kama dawa bado anazo, na nawezaje kuzipata kutokana na yey kuwa mbali na dar, bahati ni dawa alibakiwa nazo chache na jana alifika mjini kaziacha 5 kwa mdogo ake kijichi(nilimwambia kuhusu chapisho langu).. binafsi nilienda kuzichukua mbili ni hizi hapa chini kwa atakehitaji anicheki PM..
Note: mm nimechukua mbili tuuu skuwa na uwezo wa kuchukua zote.
 
Sawa Sawa
 
bei?
 
So ulitumia dawa gani kupona
 
Unaonaje ukatoa namba ya jamaa kwani huenda kuna watu wanasumbuliwa nayo na pengine wakajikuta wapo mkoa aliopo
 
kwahiyo mwishoni uume ulifikisha hadi watts ngapi
 

This is for informational purposes only. For medical advice or diagnosis, consult a professional.
Genital warts are small, fleshy growths that appear on the genitals, anus, or rectum. They are caused by the human papillomavirus (HPV), a sexually transmitted infection (STI).
Here are some key facts about genital warts:
* Common: Genital warts are one of the most common STIs.
* Caused by HPV: There are many different types of HPV, some of which can cause genital warts.
* Symptoms: Genital warts can vary in appearance, from small, flat bumps to large, cauliflower-shaped growths. They may be painless or cause itching, discomfort, or bleeding.
* Transmission: Genital warts are spread through sexual contact, including vaginal, anal, and oral sex.
* Treatment: There is no cure for HPV, but genital warts can be treated with medications or procedures to remove them.
* Prevention: The HPV vaccine is effective in preventing genital warts. Condoms can also help reduce the risk of transmission.
If you think you may have genital warts, it is important to see a doctor for diagnosis and treatment. Early treatment can help prevent the spread of HPV and reduce the risk of complications.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…