Hivi Mungu akitutaka woote kuwa dini moja ili twende Mbinguni nini kinamshinda mpaka atumie vitisho? Kwa nini Mungu ameweka hukumu siku ya mwisho? Mungu wa kweli anatishia watu wasimkimbie, kweli? Ukimkimbia anaamuru uuwawe, kweli?Eeee lazima aende huko maana sasa tutafanyaje kizazi hiki hakitaki huruma .
Vipi lakini wewe uko upande gani ? Ili nijue naongea na ndugu yangu au mmoja wa wanaotakiwa kuuliwa .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Pepo ya waislamu Sio pepo ya wengine wasioSio tatizo la waislaam, ndio hukmu ilivyo maana hata akifa kabla hajarudi katika uislam hata kwenye viwanja vya pepo hawatakuwa pamoja
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
mudi kwake kaona si kitu ndo maana kaachana naeMkuu sijamtishia kifo ndo sheria ilivo, wewe ungependa mwanao awe shoga?
wazazi wako walitakiwa wakuue kwanza wewe kwa kuwa ni shoga.Mkuu sijamtishia kifo ndo sheria ilivo, wewe ungependa mwanao awe shoga?
Mimi sitaki majibizano na nyinyi akina TECMungu atamlinda dhidi ya dini ya majambia.
Isingekuwa hivyo vitisho, misikitini yangebaki mazuria tu.
Damu ya Yesu ikufunike na mabalaa yote daima.Ila waislam wengine hua ni wa wapi? Mimi wazazi wangu ni waislam safi. Nilikua muislam ila nilibadilisha dini. Sijawahi kufukuzwa wala kutishiwa kufukuzwa kwetu.
Upendo na ubaguzi hauna dini ni tabia za watu wenye roho nzuri na mbaya respectively. Unambagua mtu utafikiri mbinguni utaenda naye au kama anaenda motoni mtachomwa wote. Kila mtu ataubeba msalaba wa kwake peke yake.
Maamuma ni wewe mwenyewe
Comments zako kwenye huu uzi zimedhihirisha wewe ni dini gani.Mkuu mimi sijawahi kusema hivo nasikia hizo tuhuma tu kwa hao watu ila sijawahi kuhusudia na sina abudi kulitilia maanani kama ni kweli, mimi sina hasira na dini yoyote mimi niko poa kabisa ninacho amini ni utu na ustaarabu wa watu.
Utakufa wewe wa kwanza. Unatishia nani nyau. Mungu gani huyo wa kulazimishana? . Huyo Mungu ingekuta na yeye anafata hizo sheria zake angetuua sisi tulio na imani nyingne kwanza.Wa pili sasa wewe nakuunganisha na bwana Sandali Ali lazima muuwawe tu maana dawa ya usaliti ni kifo
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hata hao ni binadam na wana wasiwasi wa kumdhamini mtu wasiyemjua....kwa sasa mambo yameshakuwa mtifuano tunawindana zaidi ya swala na mamba so hakuna wa kukuamini kama huna vielelezo vya kudhibitisha uaminifu wako.Muhimu ukikwama ugenini onana na uongozi wa mtaa jieleze wakudhamini kisha nenda nyumba ya mtu au popote muombe mtu akupatie kazi yeyeto hata kwa malipo ya chakula.
Huyo mungu wao huwa ni kilaza sana yaani sana. Mungu gani hadi atetewe tena kwa mapanga!Utakufa wewe wa kwanza. Unatishia nani nyau. Mungu gani huyo wa kulazimishana? . Huyo Mungu ingekuta na yeye anafata hizo sheria zake angetuua sisi tulio na imani nyingne kwanza.
Wew Mungu Wangu unamjua ni yupi?? Uliona wapi nimebeba panga namtetea??Huyo mungu wao huwa ni kilaza sana yaani sana. Mungu gani hadi atetewe tena kwa mapanga!
Ndugu yanguMurtadi adhabu yako ni kifo , hakika utakufa na kifo ni adhabu pekee ninayostahili kukupa tukikutana.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Pambana nae boss....muabudu sana tena sana....uzuri ni kuwa kila mtu atajibu mashtaka yake "kama kweli kupo kwa kujibu mashtaka!"Wew Mungu Wangu unamjua ni yupi?? Uliona wapi nimebeba panga namtetea??
Hicho ndio nilichokuuliza?? Acha upambavu!!!Pambana nae boss....muabudu sana tena sana....uzuri ni kuwa kila mtu atajibu mashtaka yake "kama kweli kupo kwa kujibu mashtaka!"