Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

Hello habari za asubuhi!
Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana.
Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa.
Nilihitilafiana na wazazi pamoja na ukoo nzima 2009 kwasababu ya kuingia katika Imani tofauti.
Kwakweli yule baba yangu ana roho mbaya sana, hata sasa hajawahi kunitafuta. Nami natamani kwenda kumsalimia na kumpa msaada lakini msimamo wake ni kwamba niende kwake nikairudie dini yangu ya zamani kitu ambacho Mimi sikiafiki, sitakiafiki na hakitatokea hata kwa kuchinjwa.
Sasa katika maisha ya kuhangahikia ugali pasi na sapoti ya mtu (mzazi, mlezi, ndugu n.k) nikajiendea mgodini. Nikaenda kupiga kibarua kwa siku elfu 7, nilienda Mgodini November , December mgodini pakawa na mapumziko ya sikukuu hivyo watu wote tulipaswa kuondoka mgodini mpaka January.
Nikiwa na pesa kidogo sijui nifanye nini au niende wapi nikaamua niende Mkoa wa Ruvuma Tunduru.
Safari ya kwenda Tunduru nikitokea Nachingwea (Lindi) ikaanza.
Kwakuwa nilitumia Lori Tunduru tulifika siku ya pili . Nimefika Tunduru mchongo niliouendea ukagoma hivyo nikaunga mpaka Songea. Nafika Tunduru mfukoni nina pesa ndogo sana hata elfu 2 haifiki.
Safari ikaendelea barabara chafu maana ni masika. Njaa inauma Lori likisimama naangalia huku na kule kama kuna mwembe nikaangalie maembe.
Njaa ikaongezeka Songea tulifika kwa kuchelewa, Lori lilibeba nazi hivyo sometimes nilipata nazi zilizovunjika zenyewe na kuanza kula.
Tumefika Songea usiku wa saa 4, sina ndugu, Sina hata mia na ni mgeni huko
Am back.
Basi ile sijui niende wapi, nikaanza kuelekea mahali kwenye kelele nikafika stand kuu sasa pale nina njaa plus usingizi.
Nikajichanganya kwa machokoraa wa stand, Mungu awainue huko waliko, wakanipa andazi moja na chai kikombe kimoja.
Niliwashuru sana, pale stand hapakuwa na lounge ya abiria kipindi hicho. Sijui sasa kukoje.
Nikapita mitaani kuzurura kutafuta mahali nilale nikapata mahali pembezoni mwa mji nikalala kwenye shamba la mahindi.
Asubuhi nikashikwa na polisi nikiwa stand na kupewa kesi ya uzururaji, jumla ya watuhumiwa tulikuwa kama 15-20.
Tukiwa korokoroni gari ya super Feo iliyokuwa ikitoka Songea kwenda Dar es salaam ikapata ajali. Sasa mkuu wa kituo akaamuru tubebwe tupelekwe Central halafu wale maaskari wakaatend ajali.
Ile tunapandishwa kwenye gari tukitokea ndani kituoni kuingia kwenye karandinga mmoja mmoja Mimi nikafichwa na wingu la Mungu hawakuniona wakawasha gari wakaondoka . Polisi si chini ya watano wote hawakuniona ilhali nilisimama mbele yao na wengine niliwagusa.
Next day tena nikarudi stand, nikachujua nguo zangu nzuri nikaziweka mkononi na kujigeuza mmachinga. Nilizunguka manispaa yote, Aisee katika kipindi kigumu kila solution hugeuka kuwa ngumu. Nguo nilianza kutangaza nauza kwa elfu 5 , nikashushe bei ikawa elfu 3 na mwishowe nikawa nauza buku buku lakini hata moja sijaiuza.
Siku ikaisha njaa Kali, nikalala nje.
Kila nikijaribu kuomba kazi yoyote hata kulima au kulishia ng'ombe nilikosa. Watu wanasema hawanijui hivyo hawawezi kuniamini.
Hapo nilikuwa nimeibiwa vitu muhimu ikiwemo daftari la namba za simu, I'd ya kupigia kura na I'd ya skuli maana nilikuwa ndo nimetoka kumaliza form four.
Siku moja nikiwa taabani fundi viatu akanisaidia 500 ila suala la kunisaidia makazi ya kulala hakuweza sijui kwanini . Nikifurahi sana nikaanza kuzungukia migahawa nikaupata mmoja nikapewa ubwabwa wa 500 mwingi sana nikala huku nahemea maana nilikuwa nikikuta chocote kitu barabarani changu iwe muhindi, karanga au hata dagaa namla.
Kwa ufupi sasa niko Da es salaam, nimeajiriwa na Kaisari, nina familia yenye furaha na amani, niko kwenye uchumi wa kati.

Am happy.
YESU ni BWANA
Haleluyaaaaaa!ulilazimishwa ubaki kwa miungu migeni
 
Murtadi adhabu yako ni kifo , hakika utakufa na kifo ni adhabu pekee ninayostahili kukupa tukikutana.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Itakuwa imani yako ya ovyo sana kuliko imani zingine.
Hii imani haina tofauti na ya wachawi, majini, mapepo n.k ambapo ukiondoka adhabu yao ni kifo.

Yohane 8:7​

Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.”
 
Sawa Hoffenheim hii timu iko vizuri kweli msimu huu

Vipi lakini kaka Yanga leo anatoboa ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nisikuchangayie mada sana lakini Monks wanajifunza kung Fu kwa sababu ya kuzidi kulinda amani na upendo, ukileta wizi au fujo za lamiza unachezea mkong'oto wa kimataifa.

Lakini upendo wa Yesu umepitiliza hatupigi watu all the time.

Nakosa nini sasa hadi niache kuwa mfuasi wa Yesu ???

Petro alimshauri Yesu ashushe moto uwateketeze wabishi kama kipindi cha Eliya, lakini Yesu alikataa japo uwezo huo alikua nao na alizidi kutaka amani.
Kwani sisi mabudha hatutaki amani? Tena tunaogopa kuua hata sisimizi🙏
 
Ulikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?

Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.

Hivi unaishi Tanzania au wapi?
😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😴😴😴😴. Hii ni story ya kweli kbsa
Kuna siku nilipanda gari. Muislam (shekh) alikuwa ndiyo anatoza nauli. Natoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Ni Noah (private). Nikauliza nauli, akaniambia nauli ni sawa na basi ( kutoka sehemu nilipo mpk kufika kwa basi ni 7,000).
Tumeenda basi nikampa hela 10,000 najua atakata 7,000. Namuomba chenji anang'ang'ania 10,000 yote. Huwa sipendi kubishana na mtu.
Tukaanza kuzozana, akadai ni 8,000. Nikamwambia poa nipe hiyo 2,000. Tumekaribia naona mtu anaanza kuswali (dua). Nikaona haya ni maajabu, huyu huyu aliyetaka kunidhulumu hela anaswali? Nikacheka kimoyo moyo, tembea uone.
Siku narudi, nikauliza nauli nikaambiwa 7,000 ni coastal nzuri kuliko Noah tena ina TV ndani. Nimefika kwa amani kwa 7,000 ila yule shekh alitaka kunidhulumu.
Kuna sehemu nafanya kazi, shekh na kanzu yake anakunywa chai, hata kusema karibu chai ile ya kinafiki hapana. Kumbuka hapa ni nyumban kwa mtu nafanya kazi.
 
Mmh makubwa wewe unajua je imani ya mtu kwa kuangalia picha yake kwenye TV au kwa kutaja jina tu, tuko wengi majina yetu ayaendane na Imani mnazo fikilia, tena hapa nchini hamna sehemu kwamba 100% ni dini fulani niuongo tu tumechanganywa sana kila maeneo.
Acha na dini za ovyo ni bora kuwa pagan.
 
Almost watanzania wengi hawawezi kukunyima chakula. Mfan cc Hapa meru huwa tunawasaidia sana jamii ya watu wa kimasai wanakuja meru kipindi cha njaa na tunawapa chakula wanafungasha. Je sisi ni waislam? Na kumbuka asilimia 99.99 ya meru pipo si waislam
Sawa galatia
 
Ila waislam wengine hua ni wa wapi? Mimi wazazi wangu ni waislam safi. Nilikua muislam ila nilibadilisha dini. Sijawahi kufukuzwa wala kutishiwa kufukuzwa kwetu.

Upendo na ubaguzi hauna dini ni tabia za watu wenye roho nzuri na mbaya respectively. Unambagua mtu utafikiri mbinguni utaenda naye au kama anaenda motoni mtachomwa wote. Kila mtu ataubeba msalaba wa kwake peke yake.
 
Samahani mkuu Murtadi ndio nini?? Ni imani ya aina gani??
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]. Hii ni story ya kweli kbsa
Kuna siku nilipanda gari. Muislam (shekh) alikuwa ndiyo anatoza nauli. Natoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Ni Noah (private). Nikauliza nauli, akaniambia nauli ni sawa na basi ( kutoka sehemu nilipo mpk kufika kwa basi ni 7,000).
Tumeenda basi nikampa hela 10,000 najua atakata 7,000. Namuomba chenji anang'ang'ania 10,000 yote. Huwa sipendi kubishana na mtu.
Tukaanza kuzozana, akadai ni 8,000. Nikamwambia poa nipe hiyo 2,000. Tumekaribia naona mtu anaanza kuswali (dua). Nikaona haya ni maajabu, huyu huyu aliyetaka kunidhulumu hela anaswali? Nikacheka kimoyo moyo, tembea uone.
Siku nauli, nikauliza nauli nikaambiwa 7,000 ni coastal nzuri kuliko Noah tena ina TV ndani. Nimefika kwa amani kwa 7,000 ila yule shekh alitaka kunidhulumu.
Kuna sehemu nafanya kazi, shekh na kanzu yake anakunywa chai, hata kusema karibu chai ile ya kinafiki hapana. Kumbuka hapa ni nyumban kwa mtu nafanya kazi.
Hao hawajafundishwa upendo , sisi wakristo ndo tumefundishwa upendo, wala hakuna haja ya kuwahukumu maana lait wangekua Wanajua hata robo ya uzuri wa kristo
Yaan kwenye swala Hilo alilokosea sisi wa kristo ndo tunakosea mara 7,
Nikikutana mtu anaemjua kristo alafu mwizi, mla rushwa ,mzinzi huyu ndo anapaswa ahukumiwe
Ungemuachia hata hyo buku mbili na umpige INJILI ya kristo [emoji4]
 
Ila waislam wengine hua ni wa wapi? Mimi wazazi wangu ni waislam safi. Nilikua muislam ila nilibadilisha dini. Sijawahi kufukuzwa wala kutishiwa kufukuzwa kwetu.

Upendo na ubaguzi hauna dini ni tabia za watu wenye roho nzuri na mbaya respectively. Unambagua mtu utafikiri mbinguni utaenda naye au kama anaenda motoni mtachomwa wote. Kila mtu ataubeba msalaba wa kwake peke yake.
1. Uzuri huko tunakoenda baada ya kufa, hakuna mtu anayejua
2. Kwenye ridhiki anafanikiwa yyte hata muabudu sanamu
Ndiyo ujue Mungu si mwanadamu.
 
Ila waislam wengine hua ni wa wapi? Mimi wazazi wangu ni waislam safi. Nilikua muislam ila nilibadilisha dini. Sijawahi kufukuzwa wala kutishiwa kufukuzwa kwetu.

Upendo na ubaguzi hauna dini ni tabia za watu wenye roho nzuri na mbaya respectively. Unambagua mtu utafikiri mbinguni utaenda naye au kama anaenda motoni mtachomwa wote. Kila mtu ataubeba msalaba wa kwake peke yake.
Acha kufananisha maamuma na waislamu wewe.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Huyu inaonekana alikua ameshakua Murtard adhabu yao ni kifo, naona mateso yali muanza mapema tu kwa hicho kitendo......baba mzazi alikua sahihi kama kweli ulikua Murtadi na mimi siwezi kukutafuta tena.
Samahani mkuu Murtard ndio nini?? Ni imani ya aina gani??
 
Back
Top Bottom