Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

Mimi kwa umri wangu hu sijawahi kuona shoga live na wasikia tu kwamba wana makanisa yao, na baadhi ya makanisa ya RC mapadiri ni mashoga wanakula watoto witi, sija shuhudia kama ni kweli au la.
Mkuu ile video kutoka Zanzibar ya waalimu wanawauliza wanafunzi eeh wew unakaliaga ya nani, eeh na wew bonge unakaliaga ya nani?? Je wale ni mapadre?? Na pale walikuwa kanisani??
 
Bora ww ila hiyo ni cha mtoto tukiwa CONGO KAMA WANAJESSHI wa kuwatoa M24 walitulia mingo hatukuweza kuletewa chakula siku 7 hali ilikuwa mbaya sana katika platoon yetu tulikuwa 30 watatu walipoteza maisha
 
Mimi kwa umri wangu hu sijawahi kuona shoga live na wasikia tu kwamba wana makanisa yao, na baadhi ya makanisa ya RC mapadiri ni mashoga wanakula watoto witi, sija shuhudia kama ni kweli au la.
Kama hujawahi kuwaona mashoga pole sana , nenda zenji , mombasa, dsm yaan coastal areas haya yapo mengi tu
 
Mkuu ile video kutoka Zanzibar ya waalimu wanawauliza wanafunzi eeh wew unakaliaga ya nani, eeh na wew bonge unakaliaga ya nani?? Je wale ni mapadre?? Na pale walikuwa kanisani??

Mimi kwa umri wangu hu sijawahi kuona shoga live na wasikia tu kwamba wana makanisa yao, na baadhi ya makanisa ya RC mapadiri ni mashoga wanakula watoto witi, sija shuhudia kama ni kweli au la.
Pia mkuu popote alipokaa mwarabu, vijana hawana nati kabsa. Wew kama nakudanganya angalia hapa east Africa mwarabu alikaa wapi sana na angalia sifa ya hilo eneo. Utajua hujui
 
Hizo ni tuhuma tu, kama wanavo tuhumu kanisa kwamba mapadri yao ni mashoga hamna mwenye ushahidi kudhibitishia kwamba mapadiri wengi ni mashoga......wewe kama una ushahidi leta hapa tujionee
 
Mathayo 10:34-39
[34]Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
[35]Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;
[36]na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
[37]Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
[38]Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili.
[39]Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.
😂😂😂, hizo dini zenu za ukristo na uislamu zote ni ovyo zimekaa kijinga, kipumbavu na kitapeli.... Kama yesu anadiriki kusema hivyo dah asee, hizi dini ngumu sana... Karibuni dini yetu ya ukweli, budhism
 
What is Love?, according to budhism 😃😃😃😃😀
nione kama unaijua dini yako, maana mm ubuza naujua.
 
Ni kweli tunapaswa kuheshimu maamuzi yake ya kuamua anako taka ila vile vile anapaswa aheshimu maamuzi ya wazazi wake wa kumtenga na kumkana, kwasbb wengi tunaamini suala la kupata mtoto murtard kitika ukoo nikama laana kwa ukoo lazima baba isipo weka msimamo ukoo wote utapata laana, mimi na sapoti baba mzazi kwa msimamo wake, usaliti wa mtoto bila sababu za msingi unauma huwezi kupata amani ya mwoyo.
Uislamu ni jihad, yaani nyie watu huwa mnafanya mambo ya ajabu sana kwani mtoto akienda kwenye imani mpya anayotaka yeye, nyinyi wazazi mtapungukiwa nini, kila mtu ana haki ya kuheshimkwa na kuheshimu maamuzi yake.
 
What is Love?, according to budhism 😃😃😃😃😀
nione kama unaijua dini yako, maana mm ubuza naujua.
Love, in this simple Buddhist definition, is unselfishly wishing others to be happy; to be delighted to be in their presence; to offer our affection and smiles and hugs and help freely without wanting anything in return
 
Leta maana ya love kwenye madini yenu ya kishenzi.
 
Uislamu ni jihad, yaani nyie watu huwa mnafanya mambo ya ajabu sana kwani mtoto akienda kwenye imani mpya anayotaka yeye, nyinyi wazazi mtapungukiwa nini, kila mtu ana haki ya kuheshimkwa na kuheshimu maamuzi yake.
Wewe mwanao au mzazi wako akienda katika ushoga uta furahia au utamtenga?
 
Kwahyo mkuu kuwa na maoni tofauti na mzazi wako ni laana?? Mfan mim mshua akiniambia somea udaktari nika kataa nikamwambia mm nataka kusomea uinjinia, kwahyo hapo tayari laana. Ahhhahh mkuu imani yako ni ipi kwanza tuanzie hapo
Hizi dini za watu wengine unaweza kudhani sijui huwa wanawaza kupitia kiungo gani cha mwili?
 
Muongo huyo hana cha kuritadi wala Uislam.

Angekuwa murtad si angepokelewa kwa shangwe huko alikohamia. Asingekaa na njaa hata dakika moja.

Huyo aseme kweli, ni upinde tu.
😂😂😂😂😂 ila we bibi nouma sana.
 
Mimi kwa umri wangu hu sijawahi kuona shoga live na wasikia tu kwamba wana makanisa yao, na baadhi ya makanisa ya RC mapadiri ni mashoga wanakula watoto witi, sija shuhudia kama ni kweli au la.
Hata mimi toka nizaliwe sijawahi kuona shoga lakini nilikuwa nasoma magezi na kuangalia TV naona mashoga karibu wote wanapatikana maeneo ya waislamu kama, Tanga, mombasa, pwani na dar pamoja na zanzibar, pia mashoga wote ninaowasoma mtandaoni wana majina kutoka kwa mudy.
 
Kwa stori yako ilivyo hiyo kesi ya Uzembe na uzururaji ndo kesi iliyokua inakustahili kukukamata kwa kesi hiyo polisi walikua sawa hawajakumbambikia chochote
 
Hata mimi toka nizaliwe sijawahi kuona shoga lakini nilikuwa nasoma magezi na kuangalia TV naona mashoga karibu wote wanapatikana maeneo ya waislamu kama, Tanga, mombasa, pwani na dar pamoja na zanzibar, pia mashoga wote ninaowasoma mtandaoni wana majina kutoka kwa mudy.
Mmh makubwa wewe unajua je imani ya mtu kwa kuangalia picha yake kwenye TV au kwa kutaja jina tu, tuko wengi majina yetu ayaendane na Imani mnazo fikilia, tena hapa nchini hamna sehemu kwamba 100% ni dini fulani niuongo tu tumechanganywa sana kila maeneo.
 
Back
Top Bottom