Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungemsoma vizuri uongo wa mleta mada ungenielewa.Watanzania wengi tabia zao za ukarimu, uungwana na kusaidiana huwa zinafanana. Hivyo hii hoja yako ya kuhusu misikiti, sijui waislam na bla bla nyingine! kwa mtazamo wangu naona ni hoja ya kidwanzi..
Mkuu sasa zitaniathiri je wakati mimi sitoki kwenye familia yake? hilo ungeuliza wana familia yake uwauliza vinavyo wakumba uko tangu ndugu yao aritardi.
Mkuu niliwahi kusikia waislam wote ni ndugu. Yan ata uwe america au asia ata kule katoro wote ni ndugu na kama ni tatizo basi wanalitatua kwa ummoja, je nipo sahihi??? Kama ni ndio mbona hapa umejitoa kwenye kupata laana ya Mungu kwa yeye kuwa murtad tena umesema hyo ni issue ya familia yake wengne haiwahusu je tushike lipi tuache lipiMkuu sasa zitaniathiri je wakati mimi sitoki kwenye familia yake? hilo ungeuliza wana familia yake uwauliza vinavyo wakumba uko tangu ndugu yao aritardi.
Muongo huyo hana cha kuritadi wala Uislam.Huyu inaonekana alikua ameshakua Murtard adhabu yao ni kifo, naona mateso yali muanza mapema tu kwa hicho kitendo......baba mzazi alikua sahihi kama kweli ulikua Murtadi na mimi siwezi kukutafuta tena.
Mwongo huyo.Katika vitu vya kipuuzi na kipumbavu kabisa ambavyo binadamu unaweza kufanya, ni kumtenga ndugu yako wa damu/mtoto wa kumzaa kwa sababu ya imani /hadithi ulizoletewa na watu usiowajua. Hii inaonyesha kiwango cha chini kabisa cha akili kwa yoyote anaefanya hivyo!
Hii ata mm nimeshuhudia ni kweli kabsa na ushahidi ninaoMwongo huyo.
Ni muongo, anatafuta vya kudanganya.Ila una kila dalili ya uvivu.. unaandika kidogooo kisha im back
Tatzo misiba ya town wanakwambia "only invited guests are allowed"Njia nyepesi ya kupata chakula ugenini zunguka popote ukikuta Pana msiba hapo ndo kwako jibidiishe tu kufanya kazi za kupasua Kuni,kusomba maji,nk.
Peleleza kazi ya marehemu ili uwe na technic ikitokea ukiulizwa unamfahamu vipi unaweza sema nilikua fundi wake,kibarua wake nk.
Hadi msiba uishe utakuwa umeshapata ramani
Nini umeshuhudia? Umemshuhudia huyo muongo?Hii ata mm nimeshuhudia ni kweli kabsa na ushahidi ninao
Huyo ni muongo tu, nimemsoma nikaona ni muongo.Mkuu nimesoma post yako mwanzo mwisho na kurudia Ila hujasema pamoja na magumu uliyopita ulikuwa unalala wp?
Hivi ulisalimiika kutafunwa ?
Maana mjini kuna vijana na wazee wa hovyo Sana.
Mkuu kweli naskia muislamu ni ndungu ye mwislamu, ila hili halimaanishe kua na roho/nafsi moja, kila muislamu atakua na nafsi yake adhabu za mafsi anazipata peke yake na raha za nafsi anazipata peke yake, ila katika mambo ya kusaidiana mabaya na mazuri hao watu ni ndungu ona, katika misiba yao harusi zao hosipitalini jela wanatembeleana sana huo ndo undugu wanao maanisha sio wanafsi.Mkuu niliwahi kusikia waislam wote ni ndugu. Yan ata uwe america au asia ata kule katoro wote ni ndugu na kama ni tatizo basi wanalitatua kwa ummoja, je nipo sahihi??? Kama ni ndio mbona hapa umejitoa kwenye kupata laana ya Mungu kwa yeye kuwa murtad tena umesema hyo ni issue ya familia yake wengne haiwahusu je tushike lipi tuache lipi
Mtoto akiiacha imani ya baba yake anafukuzwa na kutengwa na familia na kuna comment nimeeleza vizuri tuNini umeshuhudia? Umemshuhudia huyo muongo?
Kwahyo huyu murtad wew hakuhusu?Mkuu kweli naskia muislamu ni ndungu ye mwislamu, ila hili halimaanishe kua na roho/nafsi moja, kila muislamu atakua na nafsi yake adhabu za mafsi anazipata peke yake na raha za nafsi anazipata peke yake, ila katika mambo ya kusaidiana mabaya na mazuri hao watu ni ndungu ona, katika misiba yao harusi zao hosipitalini jela wanatembeleana sana huo ndo undugu wanao maanisha sio wanafsi.
Mbona una hasira hivyo ndugu?? AhhahhhMuongo huyo hana cha kuritadi wala Uislam.
Angekuwa murtad si angepokelewa kwa shangwe huko alikohamia. Asingekaa na njaa hata dakika moja.
Huyo aseme kweli, ni upinde tu.
Ata ni husu kivip mkuu? Kama mashoga hawani husu sasa murtard hata ni husu je? Zaidi ya kumuonea huruma kwasbb murtard na shoga tafauti yao ni ile ile wote adhabu yao ni kifo.Kwahyo wew huyu murtad wew hakuhusu?
Sasa kama hakuhusu mbona unamtishia kifo?Ata ni husu kivip mkuu? Kama mashoga hawani husu sasa murtard hata ni husu je? Zaidi ya kumuonea huruma kwasbb murtard na shoga tafauti yao ni ile ile wote adhabu yao ni kifo.
Ivi mkuu mashoga kwa bongo wapi wako wengi sana?Ata ni husu kivip mkuu? Kama mashoga hawani husu sasa murtard hata ni husu je? Zaidi ya kumuonea huruma kwasbb murtard na shoga tafauti yao ni ile ile wote adhabu yao ni kifo.
Mkuu sijamtishia kifo ndo sheria ilivo, wewe ungependa mwanao awe shoga?Sasa kama hakuhusu mbona unamtishia kifo?
Mimi kwa umri wangu hu sijawahi kuona shoga live na wasikia tu kwamba wana makanisa yao, na baadhi ya makanisa ya RC mapadiri ni mashoga wanakula watoto witi, sija shuhudia kama ni kweli au la.Ivi mkuu mashoga kwa bongo wapi wako wengi sana?