Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila we bibi nouma sana.
Nisikuchangayie mada sana lakini Monks wanajifunza kung Fu kwa sababu ya kuzidi kulinda amani na upendo, ukileta wizi au fujo za lazima unachezea mkong'oto wa kimataifa.

Lakini upendo wa Yesu umepitiliza hatupigi watu all the time.

Nakosa nini sasa hadi niache kuwa mfuasi wa Yesu ???

Petro alimshauri Yesu ashushe moto uwateketeze wabishi kama kipindi cha Eliya, lakini Yesu alikataa japo uwezo huo alikua nao na alizidi kutaka amani.
 
Hello habari za asubuhi!
Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana.
Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa.
Nilihitilafiana na wazazi pamoja na ukoo nzima 2009 kwasababu ya kuingia katika Imani tofauti.
Kwakweli yule baba yangu ana roho mbaya sana, hata sasa hajawahi kunitafuta. Nami natamani kwenda kumsalimia na kumpa msaada lakini msimamo wake ni kwamba niende kwake nikairudie dini yangu ya zamani kitu ambacho Mimi sikiafiki, sitakiafiki na hakitatokea hata kwa kuchinjwa.
Sasa katika maisha ya kuhangahikia ugali pasi na sapoti ya mtu (mzazi, mlezi, ndugu n.k) nikajiendea mgodini. Nikaenda kupiga kibarua kwa siku elfu 7, nilienda Mgodini November , December mgodini pakawa na mapumziko ya sikukuu hivyo watu wote tulipaswa kuondoka mgodini mpaka January.
Nikiwa na pesa kidogo sijui nifanye nini au niende wapi nikaamua niende Mkoa wa Ruvuma Tunduru.
Safari ya kwenda Tunduru nikitokea Nachingwea (Lindi) ikaanza.
Kwakuwa nilitumia Lori Tunduru tulifika siku ya pili . Nimefika Tunduru mchongo niliouendea ukagoma hivyo nikaunga mpaka Songea. Nafika Tunduru mfukoni nina pesa ndogo sana hata elfu 2 haifiki.
Safari ikaendelea barabara chafu maana ni masika. Njaa inauma Lori likisimama naangalia huku na kule kama kuna mwembe nikaangalie maembe.
Njaa ikaongezeka Songea tulifika kwa kuchelewa, Lori lilibeba nazi hivyo sometimes nilipata nazi zilizovunjika zenyewe na kuanza kula.
Tumefika Songea usiku wa saa 4, sina ndugu, Sina hata mia na ni mgeni huko
Am back.
Basi ile sijui niende wapi, nikaanza kuelekea mahali kwenye kelele nikafika stand kuu sasa pale nina njaa plus usingizi.
Nikajichanganya kwa machokoraa wa stand, Mungu awainue huko waliko, wakanipa andazi moja na chai kikombe kimoja.
Niliwashuru sana, pale stand hapakuwa na lounge ya abiria kipindi hicho. Sijui sasa kukoje.
Nikapita mitaani kuzurura kutafuta mahali nilale nikapata mahali pembezoni mwa mji nikalala kwenye shamba la mahindi.
Asubuhi nikashikwa na polisi nikiwa stand na kupewa kesi ya uzururaji, jumla ya watuhumiwa tulikuwa kama 15-20.
Tukiwa korokoroni gari ya super Feo iliyokuwa ikitoka Songea kwenda Dar es salaam ikapata ajali. Sasa mkuu wa kituo akaamuru tubebwe tupelekwe Central halafu wale maaskari wakaatend ajali.
Ile tunapandishwa kwenye gari tukitokea ndani kituoni kuingia kwenye karandinga mmoja mmoja Mimi nikafichwa na wingu la Mungu hawakuniona wakawasha gari wakaondoka . Polisi si chini ya watano wote hawakuniona ilhali nilisimama mbele yao na wengine niliwagusa.
Next day tena nikarudi stand, nikachujua nguo zangu nzuri nikaziweka mkononi na kujigeuza mmachinga. Nilizunguka manispaa yote, Aisee katika kipindi kigumu kila solution hugeuka kuwa ngumu. Nguo nilianza kutangaza nauza kwa elfu 5 , nikashushe bei ikawa elfu 3 na mwishowe nikawa nauza buku buku lakini hata moja sijaiuza.
Siku ikaisha njaa Kali, nikalala nje.
Kila nikijaribu kuomba kazi yoyote hata kulima au kulishia ng'ombe nilikosa. Watu wanasema hawanijui hivyo hawawezi kuniamini.
Hapo nilikuwa nimeibiwa vitu muhimu ikiwemo daftari la namba za simu, I'd ya kupigia kura na I'd ya skuli maana nilikuwa ndo nimetoka kumaliza form four.
Siku moja nikiwa taabani fundi viatu akanisaidia 500 ila suala la kunisaidia makazi ya kulala hakuweza sijui kwanini . Nikifurahi sana nikaanza kuzungukia migahawa nikaupata mmoja nikapewa ubwabwa wa 500 mwingi sana nikala huku nahemea maana nilikuwa nikikuta chocote kitu barabarani changu iwe muhindi, karanga au hata dagaa namla.
Kwa ufupi sasa niko Da es salaam, nimeajiriwa na Kaisari, nina familia yenye furaha na amani, niko kwenye uchumi wa kati.

Am happy.
YESU ni BWANA
CHAI
 
Aisee .

Watanzania Wote Ni Wakarimu Bila Kujali Imani Zao Hilo Ni Moja Ya Mambo Baba Yetu Wa Taifa Alituachia.
Ulikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?

Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.

Hivi unaishi Tanzania au wapi?
 
Mtoto akiiacha imani ya baba yake anafukuzwa na kutengwa na familia na kuna comment nimeeleza vizuri tu
Mtoto kwa umri au kwa vipi?

Huyo unayemuita wewe "mtoto" ana umri gani?
 
Tumezaliwa mabinti wa2 baba yangu na mama yetu ni wakristo tena wazuri tu lkn mdogoangu tangu akiwa sec alipenda dini ya kiislam na baada ya kidato cha nne alibadilisha kabisaa na sasa nikama amezaliwa humo. Sala zote anaswali haimpiti hata moja. Tunampenda, hatujawahi kumtenga. ikifika azana tunazima redio na ikifika mda wa sisi kuomba anaheshim pia.
Dini hazijawahi kututofautisha ilimradi hatuingiliani Basi Mambo mengine yanasonga.
Sijui ni nini mnabishania hapa enyi Wana wa ibrahim wakati kwa Mungu hakuna mbora kuliko mwenzie.
KUBISHANIA DINI KWANGU MIMI NI UTOTO
 
Glory to God
 
Mkuu uko sahihi sana, mimi rafiki wangu wa kike wa utotoni ni RC tena ule anae umbea ata kunywa maji, ila hatujawahi kukosana tunapendana unaweza ukafikiri ni ndugu wa damu.
 
Hizo ni tuhuma tu, kama wanavo tuhumu kanisa kwamba mapadri yao ni mashoga hamna mwenye ushahidi kudhibitishia kwamba mapadiri wengi ni mashoga......wewe kama una ushahidi leta hapa tujionee
Unataka ushahidi wa nini?
 
Hizo ni tuhuma tu, kama wanavo tuhumu kanisa kwamba mapadri yao ni mashoga hamna mwenye ushahidi kudhibitishia kwamba mapadiri wengi ni mashoga......wewe kama una ushahidi leta hapa tujionee
Kuna comment umesema mapadiri na RC wengi ni mashoga ,ukasema kule USA kuna makanisa ya mashoga nk,. Sasa wew ndo ungetakiwa ulete ushahidi sio mimi
 
U
Hapana pot uhai haunipi kiburi nitakuja hapo getini kukuomba na kukusihi uirejee imani ya haki ukifeli sitasita kutimiza wajibu na sharia isemavyo .

Alafu siku nyingine usieleze kuwa unapata mshahara around one million ni chenji za watu tena wengi waliokuwa nduguzo katika imani ulipokimbia ni mambo ya kawaida sana.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
naweza ukaona sifa kwamba umeongea jambo la kawaida ila kiukweli unauchafua sana uislamu kwa kauli zako.. nimejikuta nakuchukia ghafra
 
Ulikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?

Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.

Hivi unaishi Tanzania au wapi?
Exactly, waislam waungwana sana
 
Exactly, waislam waungwana sana
Almost watanzania wengi hawawezi kukunyima chakula. Mfan cc Hapa meru huwa tunawasaidia sana jamii ya watu wa kimasai wanakuja meru kipindi cha njaa na tunawapa chakula wanafungasha. Je sisi ni waislam? Na kumbuka asilimia 99.99 ya meru pipo si waislam
 
U

naweza ukaona sifa kwamba umeongea jambo la kawaida ila kiukweli unauchafua sana uislamu kwa kauli zako.. nimejikuta nakuchukia ghafra
Nimesikitika sana wewe kunichukia maana hapa sitapata hela ya kula leo .

Nilisoma zile habari zako za watoto wa viwandani vipi umefikia wapi kaka mwanaharakati ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hello habari za asubuhi!
Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana.
Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa.
Nilihitilafiana na wazazi pamoja na ukoo nzima 2009 kwasababu ya kuingia katika Imani tofauti.
Kwakweli yule baba yangu ana roho mbaya sana, hata sasa hajawahi kunitafuta. Nami natamani kwenda kumsalimia na kumpa msaada lakini msimamo wake ni kwamba niende kwake nikairudie dini yangu ya zamani kitu ambacho Mimi sikiafiki, sitakiafiki na hakitatokea hata kwa kuchinjwa.
Sasa katika maisha ya kuhangahikia ugali pasi na sapoti ya mtu (mzazi, mlezi, ndugu n.k) nikajiendea mgodini. Nikaenda kupiga kibarua kwa siku elfu 7, nilienda Mgodini November , December mgodini pakawa na mapumziko ya sikukuu hivyo watu wote tulipaswa kuondoka mgodini mpaka January.
Nikiwa na pesa kidogo sijui nifanye nini au niende wapi nikaamua niende Mkoa wa Ruvuma Tunduru.
Safari ya kwenda Tunduru nikitokea Nachingwea (Lindi) ikaanza.
Kwakuwa nilitumia Lori Tunduru tulifika siku ya pili . Nimefika Tunduru mchongo niliouendea ukagoma hivyo nikaunga mpaka Songea. Nafika Tunduru mfukoni nina pesa ndogo sana hata elfu 2 haifiki.
Safari ikaendelea barabara chafu maana ni masika. Njaa inauma Lori likisimama naangalia huku na kule kama kuna mwembe nikaangalie maembe.
Njaa ikaongezeka Songea tulifika kwa kuchelewa, Lori lilibeba nazi hivyo sometimes nilipata nazi zilizovunjika zenyewe na kuanza kula.
Tumefika Songea usiku wa saa 4, sina ndugu, Sina hata mia na ni mgeni huko
Am back.
Basi ile sijui niende wapi, nikaanza kuelekea mahali kwenye kelele nikafika stand kuu sasa pale nina njaa plus usingizi.
Nikajichanganya kwa machokoraa wa stand, Mungu awainue huko waliko, wakanipa andazi moja na chai kikombe kimoja.
Niliwashuru sana, pale stand hapakuwa na lounge ya abiria kipindi hicho. Sijui sasa kukoje.
Nikapita mitaani kuzurura kutafuta mahali nilale nikapata mahali pembezoni mwa mji nikalala kwenye shamba la mahindi.
Asubuhi nikashikwa na polisi nikiwa stand na kupewa kesi ya uzururaji, jumla ya watuhumiwa tulikuwa kama 15-20.
Tukiwa korokoroni gari ya super Feo iliyokuwa ikitoka Songea kwenda Dar es salaam ikapata ajali. Sasa mkuu wa kituo akaamuru tubebwe tupelekwe Central halafu wale maaskari wakaatend ajali.
Ile tunapandishwa kwenye gari tukitokea ndani kituoni kuingia kwenye karandinga mmoja mmoja Mimi nikafichwa na wingu la Mungu hawakuniona wakawasha gari wakaondoka . Polisi si chini ya watano wote hawakuniona ilhali nilisimama mbele yao na wengine niliwagusa.
Next day tena nikarudi stand, nikachujua nguo zangu nzuri nikaziweka mkononi na kujigeuza mmachinga. Nilizunguka manispaa yote, Aisee katika kipindi kigumu kila solution hugeuka kuwa ngumu. Nguo nilianza kutangaza nauza kwa elfu 5 , nikashushe bei ikawa elfu 3 na mwishowe nikawa nauza buku buku lakini hata moja sijaiuza.
Siku ikaisha njaa Kali, nikalala nje.
Kila nikijaribu kuomba kazi yoyote hata kulima au kulishia ng'ombe nilikosa. Watu wanasema hawanijui hivyo hawawezi kuniamini.
Hapo nilikuwa nimeibiwa vitu muhimu ikiwemo daftari la namba za simu, I'd ya kupigia kura na I'd ya skuli maana nilikuwa ndo nimetoka kumaliza form four.
Siku moja nikiwa taabani fundi viatu akanisaidia 500 ila suala la kunisaidia makazi ya kulala hakuweza sijui kwanini . Nikifurahi sana nikaanza kuzungukia migahawa nikaupata mmoja nikapewa ubwabwa wa 500 mwingi sana nikala huku nahemea maana nilikuwa nikikuta chocote kitu barabarani changu iwe muhindi, karanga au hata dagaa namla.
Kwa ufupi sasa niko Da es salaam, nimeajiriwa na Kaisari, nina familia yenye furaha na amani, niko kwenye uchumi wa kati.

Am happy.
YESU ni BWANA
Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia
 
Short n clear, safi sana, wengine wangeandika hata mwezi mzima, ushuhuda mzuri, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
 
Murtard ni hatari sana kwa jamii ni kitendo cha unafiki mkubwa hastahili kuishi duniani tena. Nakushauri fanye toubah nasihi urudi kwenye uasilia wako kabla mabaya zaidi hayajakukuta.
Wewe ndiyo una haki ya kuishi kuliko Murtard?

Yohane 8:7​

Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, โ€œMtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.โ€
 
Back
Top Bottom