Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

Sio rahisi kujua wake mpaka mwenyewe afunguke, tujue mazingara yake yalio msababisha awe Murtard huo ukaidi wake aliuanza na umri gani? Ndo tutaweza kuhukumu nani mwenye makosa.
Ninatamani kwenda kumsalimia kwakuwa sina kinyongo naye ingawa alikusudia mabaya mengi kwangu na hatajanipata.
Naona anaona aibu nilipo, hakudhani itakuwa hivi..
 
Kilichomfanya atafute imani nyingne cc hatujui coz hajaweka wazi ila amedeclare kuwa aliachana na imani ya baba yake na sasa yupo na imani nyingne aliyoipenda yeye kwasababu ana haki hzo. Mim na wew yatupasa tuheshim maamuzi yake na pia tuheshim anachokiamin kwa sasa. Kuwa murtad kama ni kosa kwenu ndo mseme na adhabu yake ni ipi, na wew umpe adhabu kama nani.karib
 
Mathayo 10:34-39
[34]Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
[35]Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;
[36]na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
[37]Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
[38]Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili.
[39]Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.
 
Ulikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?

Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.

Hivi unaishi Tanzania au wapi?
acha nikucheke tu, nikisema neno nitaonekana nakutusi
 
Ninatamani kwenda kumsalimia kwakuwa sina kinyongo naye ingawa alikusudia mabaya mengi kwangu na hatajanipata.
Naona anaona aibu nilipo, hakudhani itakuwa hivi..
Hamna mzazi anae husudia mabaya kwa mwanae, una mtuhumu bure baba mzazi, jirani yetu alikua na case kama yake mtoto baada ya kumaliza f4 alijufunza ushoga shuleni na akawa shoga kweli kweli nyumbani alitimuka mwenyewe sasa hivi Iko US, ila anaomba arudi nyumbani, kusalimia wazazi, ila wazazi wana masikitiko na huruma na mtoto wao kuliko pesa au vitu alio navyo, wanamuomba kitu kimoja ache ushoga ndo aje kuwasalamia bila hivo bora aendelee na maisha yake uko uko wanamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya.
 
Hamna mzazi anae husudia mabaya kwa mwanae, hata unamtuhumu bure, jirani yetu alikua na case kama yako mtoto baada ya kumaloza f4 alijufunza ushoga shuleni na akawa shoga kweli kweli nyumbani alitimuka mwenyewe sasa hivi Iko US, ila anaomba arudi nyumbani, kusalimia wazazi, ila wazazi wanamasikitiko na huruma na mtoto wao kuliko pesa au vitu alio navyo, wanamuomba kitu kimoja ache ushoga ndo aje kuwasalamia bila hivo bora aendelee na maisha yake.
Ushoga sio dini kaka. Ushoga ni tabia chafu ya mashetani na watu wanaokwenda kinyume na uhalisia . Hao wazazi wana haki ya kumtenga shoga kwasababu anaweza akashawishi na wanafamilia wengne wawe mashoga. Huyo ni wa kutengwa kabsa naunga mkono wazazi wake
 
Kilichomfanya atafute imani nyingne cc hatujui coz hajaweka wazi ila amedeclare kuwa aliachana na imani ya baba yake na sasa yupo na imani nyingne aliyoipenda yeye kwasababu ana haki hzo. Mim na wew yatupasa tuheshim maamuzi yake na pia tuheshim anachokiamin kwa sasa. Kuwa murtad kama ni kosa kwenu ndo mseme na adhabu yake ni ipi, na wew umpe adhabu kama nani.karib
Ni kweli tunapaswa kuheshimu maamuzi yake ya kuamua anako taka ila vile vile anapaswa aheshimu maamuzi ya wazazi wake wa kumtenga na kumkana, kwasbb wengi tunaamini suala la kupata mtoto murtard kitika ukoo nikama laana kwa ukoo lazima baba isipo weka msimamo ukoo wote utapata laana, mimi na sapoti baba mzazi kwa msimamo wake, usaliti wa mtoto bila sababu za msingi unauma huwezi kupata amani ya mwoyo.
 
Hamna mzazi anae husudia mabaya kwa mwanae, hata unamtuhumu bure, jirani yetu alikua na case kama yako mtoto baada ya kumaloza f4 alijufunza ushoga shuleni na akawa shoga kweli kweli nyumbani alitimuka mwenyewe sasa hivi Iko US, ila anaomba arudi nyumbani, kusalimia wazazi, ila wazazi wanamasikitiko na huruma na mtoto wao kuliko pesa au vitu alio navyo, wanamuomba kitu kimoja ache ushoga ndo aje kuwasalamia bila hivo bora aendelee na maisha yake.
You mean case yangu ni ya ushoga?
Una akili timamu?
 
Ni kweli tunapaswa kuheshimu maamuzi yake ya kuamua anako taka ila vile vile anapaswa aheshimu maamuzi ya wazazi wake wa kumtenga na kumkana, kwasbb wengi tunaamini suala la kupata mtoto murtard kitika ukoo nikama laana kwa ukoo lazima baba isipo weka msimamo ukoo wote utapata laana, mimi na sapoti baba mzazi kwa msimamo wake, usaliti wa mtoto bila sababu za msingi unauma huwezi kupata amani ya mwoyo.
"Murtad katika ukoo ni kama laana",, kwahyo kaka nyie ukoo wenu wote ni imani moja?? Au ulikuwa unamaanisha familia.
 
Ushoga sio dini kaka. Ushoga ni tabia chafu ya mashetani na watu wanaokwenda kinyume na uhalisia . Hao wazazi wana haki ya kumtenga shoga kwasababu anaweza akashawishi na wanafamilia wengne wawe mashoga. Huyo ni wa kutengwa kabsa naunga mkono wazazi wake
Mkuu samahani Dini ni tabia na mfumo wamaisha, ushoga ni tabia pia wengi wana imani, kuna kanisa za ushoga uko US kuna mapadri wa shoga kuna kanisa zinazo shabikiana na ushoga, kwahiyo ushoga ni imaani na ni vitendo.
 
Kaka haupo sahihi, kwani unaelewa nini unaposikia kanisa?
 
"Murtad katika ukoo ni kama laana",, kwahyo kaka nyie ukoo wenu wote ni imani moja?? Au ulikuwa unamaanisha familia.
Mkuu kuna tafauti ya Murtadi na muumini wa dini nyingine wakuzaliwa hao ni watu wawili tofauti........Murtadi ni laana kwenye familia lakini imani zingine ni sawa nikiweka jitihada tu warudi penyewe.
 
Mkuu samahani Dini ni tabia na mfumo wamaisha, ushoga ni tabia pia wengi wana imani, kuna kanisa za ushoga uko US kuna mapadri wa shoga kuna kanisa zinazo shabikiana na ushoga, kwahiyo ushoga ni imaani na ni vitendo.
Umesema kuna mapdre mashoga nk sawa mm nakubali ila naomba unijibu na mm je hakuna mashoga kwenye imani yako?
 
Back
Top Bottom