Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

Okay.

Umesema jini ni kiumbe roho asietokana na binadamu na pepo ni kiumbe roho anaetokana na wafu na viumbe roho wengine ambao sio binadamu.

Je viumbe roho hao wengine ni wapi? Na je mapepo ina maana ndio mizimu?
We kiongozi kuna kitu unakijua na sasa unalinganisha kidogo na akijuacho mtoa mada ili uje na conclusion yako ambayo itaenda sawa na mtoa mada au itatofautiana!
 
Dah, mdau matusi haya ya nini?!!!!! Kwa kosa lipi?!!!! Hv umeona kuwa habari zake zinasomwa na kujibiwa na wengi sana?
 
Hapana umeme haupiti pasipopitisha umeme,means sio mtu wao,labda uwachokoze uanze vita nao
 
Vipi kuhusu kucha na nywele mkuu.
 
Natangaza maslahi yangu! Mimi sio mganga na sifanyi ushirikina tena..!
Waganga/ wachawi wako tofauti na hawa wanaotoa dawa za miti shamba? Unakuta una mchango tumbo linauma unaelekezwa kwa mtu akupatie dawa, unaenda unachukuwa dawa unakunywa, sometimes unapona au hauponi.

Na kila unapooenda atakubadilishua dawa, mara hii inatinu UTI, mara hii hutibu matatizo ya mgongo kuuma, na dawa nyingine anakupa majani uyapike unywe ila hayo majani unakuta unayajua etc

Je hawa watoa dawa za miti shamba nao ni genge moja na waganga?
 
Dah, mdau matusi haya ya nini?!!!!! Kwa kosa lipi?!!!! Hv umeona kuwa habari zake zinasomwa na kujibiwa na wengi sana?
Hakuna jamii ambayo imeendelea bila Mambo ya mila/waganga, Hakuna. Anzia hata huko Geita Gold Mine Mtu mweupe anapofanya kazi zake lazima mila zitumike.

Sasa huyu Mshana anachofanya ni kumdhihaki Mungu, leo anajifanya anasifia Mambo ya uganga na mara nyingi yeye husifia uchawi hata hivyo na kesho ajifanya yuko katika dini.

Hata Serikali zote duniani zimesimama katika misingi ya mila/uganga, na katika watu wanaologwa Sana ni watu wa dini, ninao uhakika, kwanini udiscourage kitu ambacho kinasaidia watu?

White people religions have failed to destroy witchcraft in Africa, why should you still continue to look for them?

Angalia Tanga kuna dini sana na ushirikina umejaa, tena walioleta dini ndo wakaleta na huo ushirikina...

Mshana abadilike aache tabia ya unafiki...
 
Uganga ama uchawi haupo, ni watu wenye akili fupi tu wanaweza kuamini kitu kinaitwa uganga, uchawi, ulozi ama ushirikina, ni watu wenye akili ndogo tu wanaamini hayo mambo.

Mwenye akili ndefu hebu jaribu kusoma historia lakini pia soma hata vitabu vya dini vimeandika kuhusu haya mambo ya ulizi, unless uwe haupo kote kote kwende dini na si muumini wa historia. Lakini pia unaweza kuuliza maswali kwa wazee wako waliokutangulia...tusikaze vichwa kuonekana wajuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…