Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Formula nyingi zimeua vijana na ndoa nyingi.
Wajiba kama Mwanaume,be a Man.

Mwanaume ni mtu wa mishe za jasho kali na akili nyingi.

Watoto wa kiume siku hizi wanatamani kuwa kama wanawake.
 

Ukijua maana harisi ya neno MWAMAUME utaelewa
By the way nmejifunza kitu toka kwako...




Samahani unatokea ukanda wa babati-arusha-moshi?
 

Sasa huyo ni popoma
 
Achana na mambo ya ndoa. Ndoa ni utapeli.
 
Ukijua maana harisi ya neno MWAMAUME utaelewa
By the way nmejifunza kitu toka kwako...




Samahani unatokea ukanda wa babati-arusha-moshi?
Jikite kwenye mada. Kwahiyo
Mwenye shida saizi ni mwanamke?
 
Sasa yuko humu na id yake maarufu tu anatukana wanawake. Ndo maana huwa nawajibu sana watu waache kutukana wanawake kwasababu uhalisia wao tunaujua
 
Nzuri.
 
Carlos The Jackal vipi nikitaka mwanaume anipende zaidi tukitoa ya kumtiii nakumheshimu nitumie mbinu gani nimteke akili yake zaidi,maana hayo uliyoandika ndio anayoyafanya huyu mwamba [emoji122]
Kwahiyo hizi mbinu zimefanya kazi kwako mkuu sio?
 
Sawa umetueleza yoote ya kweli ila sasa umetufokea sana
 
Sasa atakapokuta msg na picha ya utupu ya huyo mwanamke ndio utajua mgogoro unauweza kuucontrol au laπŸ˜…πŸ˜…
 
Itoshe kusema hakuna Formula ya kuishi na mwanamke,

Hawatabiriki hao viumbe... Narudia tena hawatabiriki

Kuna manzi alinianzishia vagi km utani vile, alipiga nikamwambia nilikua nimelala sasa kuna jirani akawa anapiga mziki wa juu nikashtuka nikaamka, manzi akasema usihofu tutaongea baadae eeh nikajua ni mambo ya kawaida tu yameisha haya hio baadae sasa kupiga tuongee ni ugomvi mkubwa 'unanichit huko na wanawake wako huko wanakuwashia mziki mkubwa....' namwambia 'hakuna mwanamke shida nini ugomvi ugomvi ugomvi nini shida?...' baadae nakuja kugundua kumbe ana nyege oooi hawa viumbe usiombe uwakute wameingia period ukajaa kwenye 18 zao utawaelewa vizuri kwamba wapo kwenye kipindi kipi wana mimba au wapo kwenye siku zao za kwenda mwezini

Chukua na hii....

Hawana formula na hawatabiriki muda wowote wanaweza wakakinukisha na kinanuka haswa yaan kinanuka kweli nyumba nzima uvundo unasikika leo kimevunda hata ubani hautii nguvu..

Utajashtuka unalea mtoto/watoto sio wako unageuzwa kituo cha watoto yatima na siku zote mnalala wewe na yeye kwenye kitandan kimoja na mtoto/watoto wote wanapatikana kwenye kitanda hichohicho ulichokinunua mwenyewe na mnakilalia pamoja, anawaingiza saa ngapi kumpelekea moto?

Hao ni masterminds wa dunia wakiamua kuficha Siri wanaificha kusikofikika uliza majasusi wa kike kwenye hii dunia, unawajua wangapi?...

Long live my mother's!

Hawana formula hawatabiriki narudia kwa mara ya mwisho hawatabiriki...

Anaweza akazaa mtoto kwa uchungu na kuvuja damu nyingi kiasi cha kuhatarisha uhai wake mwenyewe kisha baada ya hapo akaenda kumtupa mtoto kichakani/chooni/jalalani..

Hawatabiriki
Hawana formula...
 
Kwa bandiko hili itoshe kusema: KUISHI NA MWANAMKE NI KAZI KUBWA MNO.
Ndomana ntaendelea kuwafukunyua na SIOI ng'o!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…