Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

Hapo ungeongeza Forex na wale Forever Living wazee wa networking market.
 
Kazi yoyote hile inaweza kuwa daraja la kuvuka kuifikia kazi iliokuwa bora zaidi inategemea na malengo yako

Wapo waliokota Makopo ikawa daraja la kufikia malengo yao

Wapo walioanza kubeba watu kwa baisikeli kisha bodaboda sasa wana safirilisha watu kwa mabasi yao

Wapo madalali wa viwanja vyumba wako vizuri tu

Ulisahau wabeba mizigo wapiga debe Makonda wa dala dala wavuzi wachana mbao kweli ukiwatazama maisha yao wengi wao walevi wazinzi sababu kipata ni kikubwa cha kila siku walicho kosa ni malengo tu
 
Mzee Baba Kuna Wengine Walikuwa Na Akili Timamu Kabisa, Baada Ya Kuingia Kwenye Ndoa Wakarukwa Na Akili.
 
kazi ni kazi kikubwa uwe na nidhamu,maadili na utu.
N.B: Never ever break your personal laws.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…