Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo aache kudanganya watu,
KabisaPoint ni hiyo moja tu. Hizo tatu za mwanzo umekosea kuziweka. Hizo ni kazi kama kazi zingine. Biashara karibu zote za Tanzania ni udalali tofauti ni majina tu. Kuhusu kuchanganyikiwa inategemea na mtu. Kuna mtu anashindwa kuhimili hali yake na kuishia kuchanganyikiwa hadi kujitoa uhai na wala haokoti makopo wala haendeshi bodaboda. Vijana wajifunze tu kukabiliana na hali zao na kujiambia ukweli.
Nimeona upumbavu mwingine umerudia kuutaja "GRADUATES"... kuwa Graduate ni kuelimika tu na sio lazima ukiwa graduate ndo uchague kazi. Vijana waelewe kazi za ndoto zao mara nyingi kuzipata ni lazima uanzie sehemu fulani.
joel bendera (hayati) ndio alimkuta stand after all ni mijengo tu ya kawaida aliojenga ila hajawa mwehu kama ndugu mtoa mada alivyotaka tuaminHuyo aache kudanganya watu,
Lazima ni pusher wa mizigo Fulani kupitia hayo makopo.
Nini maana ya kupumuliwa kisogoniKuna kazi moja hapo hulipwi mpaka upumuliwe kisogoni.Mzee Lema anaiita laana.
Namba moja ni kweli 100%I don't know how and why it happens like that1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta chupa/makopo ya maji/soda n.k! Mwingine ni wa Maramba mawili, hawakuchukua muda sana akili kuvuruga.
Jihadhari na hii kazi, hata maisha yawe magumu kiasi gani...
2. Bodaboda (esp. Graduates) Hapa nawazungumzia vijana walioenda shule kidogo, at least una shahada. Jiepushe sana na Bodaboda!! zinaharibu sana akili.
Vijana wengi waliohitimu vyuo vikuu na kujiingiza kwenye boda, kuchomoka huwa ni shughuli sana, japo wapo wachache sana wanaojitahidi.
3. Udalali; (hii kwa graduates pia)
Wapo vijana wengi wa sasa hasa kwa Dar wakimaliza vyuo wanaaanza kazi ya udalali wa nyumba na viwanja.
Kigamboni huko wamejazana sana, wengi wao ni walevi tu hakuna cha maana wanachoweza kufanya zaidi yakupata pesa na kuishia kwenye ulevi.
Hii kazi Usifanye. Haina matunda yoyote kwenye future yako.
4. Usidange; (hasa mabinti) umemaliza chuo huna ishu ya maana mjini rudi kwenu kakae na wazazi wako huku ukiendelea kutafuta cha kufanya.
Nawasilisha.
Hapo kwenye udalali hujafanya utafiti vizuri1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.

Acha ujinga sio Kila kinachoandikwa mitandaoni ni ukweli,mi kuishi kote morogoro Tena sehemu anayoishi Cheka sijawahi kusikia anaokota makopo😀 Bali yeye ni mnunuzi WA makopo yaani waokota makopo wanampelekea kumuuzia nyumbani kwake Kihonda na yeye anaenda kuyauza kwa jumla viwandani
sio mtandaoni rasta mwandishi wa gazeti la mwananchi alienda morogoro kufanya naye mahojiano baada yeye cheka kukutana naibu waziri wa michezo enzi hizo hayati joeli bendera akiwa na likiroba la machupa ya maji ya udzungwa katika msafara wa hayati waziri walikuwepo waandishi wa gazeti dada la mwanasport walipata habar za live then mwandishi wa gazeti la mwananchi akaenda kufanya naye makala maalumu ila kama mwananchi corporation unawachukulia kama porn.hub sawa nasta sina namna ya kuwashawishiAcha ujinga sio kil
Acha ujinga sio Kila kinachoandikwa mitandaoni ni ukweli,mi kuishi kote morogoro Tena sehemu anayoishi Cheka sijawahi kusikia anaokota makopo😀 Bali yeye ni mnunuzi WA makopo yaani waokota makopo wanampelekea kumuuzia nyumbani kwake Kihonda na yeye anaenda kuyauza kwa jumla viwandani
Wasidange..? 😁😁😁 graduates wanadanga sana naa wakiume wanapenda mishangaz1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta chupa/makopo ya maji/soda n.k! Mwingine ni wa Maramba mawili, hawakuchukua muda sana akili kuvuruga.
Jihadhari na hii kazi, hata maisha yawe magumu kiasi gani...
2. Bodaboda (esp. Graduates) Hapa nawazungumzia vijana walioenda shule kidogo, at least una shahada. Jiepushe sana na Bodaboda!! zinaharibu sana akili.
Vijana wengi waliohitimu vyuo vikuu na kujiingiza kwenye boda, kuchomoka huwa ni shughuli sana, japo wapo wachache sana wanaojitahidi.
3. Udalali; (hii kwa graduates pia)
Wapo vijana wengi wa sasa hasa kwa Dar wakimaliza vyuo wanaaanza kazi ya udalali wa nyumba na viwanja.
Kigamboni huko wamejazana sana, wengi wao ni walevi tu hakuna cha maana wanachoweza kufanya zaidi yakupata pesa na kuishia kwenye ulevi.
Hii kazi Usifanye. Haina matunda yoyote kwenye future yako.
4. Usidange; (hasa mabinti) umemaliza chuo huna ishu ya maana mjini rudi kwenu kakae na wazazi wako huku ukiendelea kutafuta cha kufanya.
Nawasilisha.
MKuu hapo kwenye udalal napinga kwa sababu m bado niko chuo na napiga hiyo harakati na bado SI MLEVI na ndio inshu ambayo inanisaidia kuniingizia kipato ambayo inanifanya niishi hapa mjini bila shida ndogo ndogo kama vile kula pia na kulipa code ya chumba.....ingawa sifanyi udalali wa nyumba na viwanja ila nipo kweny udalali wa simu,tv na vomputer used na mpya pia natuma mikoan mfano simu ya 100000 naiuza kwa 150000 mkoan kwahiyo muda mwingine niko na uwezo wa kuingiza hadi 400000 kwa mwezi1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.